Kama ni mafuriko yalikuwa hiyo mito unataka kusema Mungu ni mwongo maana mwisho wa hiyo hadithi kuna ahadi imetolewa kuwa hakutakuja kuwa na mafuriko kama hayo tena duniani. Sasa ni mara ngapi mito inafurika na watu wanakufa hapa duniani? Ina maana Mungu alidanganya?!Yalikuwa ni mafuriko ya mto frati,na safini ilikua ngalawa,
wanyama walikua mbuzi wachache na kondoo