Maswali kuhusu Nuhu na gharika kuu

Maswali kuhusu Nuhu na gharika kuu

hiy
Hiki kitabu kina fifisha sana ubongo wa mwanadamu afu ukihoji utasikia unasoma kama gazeti omba roho mtakatifu akuongoze ndio utaelewa. Ajabu huyo roho mtakatifu anaewaongoza ni mmoja lakini huyu anaruhusu ushoga mwingine anakataa,huyu aruhusiwi kuoa huyu anaoa,huyu pombe halali huyu haram,hawa wanasali uchi,huyu ibada jumamosi mwingine jumapili sasa huyu roho mtakatifu anashindwa kuwasimamia kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yo ni kweli. hujui hao penguin wala tembo walifikishwa vipi huko. hata huo uchafu ulikuwaje. kama MUNGU aliwalisha waisraele kwa mana unadhani hawezi kuwafanya hao wanyama wasijisaidie kwa muda huo. hao wanyama yaani mijusi wanaosemekana walikuwa wakubwa kuliko tembo walikula nini? fikiri zaidi kwa huo mfano wataalamu wanavyosema.
 
Kutoka kipindi cha Adam mpka kipind cha Noah kabla ya Gharika kuu dunia ilikua one landmass,ilikua moja wanasayansi wanasema "pangea'
Baada ya flood kutokea ndo ikawaganyika na mabara yakatokea..
So herode Alivyosema atahesabu dunia mzima alimanisha atahesabu tu kwake.
 
Wakuu kuna kitabu kimeandikwa na Sir Henry H. Howorth kinaitwa "The Mammoth and the Flood.
Ambacho Howorth amewakosea na kuwasahihisha present day saints kuhusiana na Gharika LA Nuhu pia anaelezea evidences za Noah's flood ulimwenguni.
Usikose kukipitia.
 
Kutoka kipindi cha Adam mpka kipind cha Noah kabla ya Gharika kuu dunia ilikua one landmass,ilikua moja wanasayansi wanasema "pangea'
Baada ya flood kutokea ndo ikawaganyika na mabara yakatokea..
So herode Alivyosema atahesabu dunia mzima alimanisha atahesabu tu kwake.
ok,kama dunia nzima maana yake ni kwake tu basi sawa hamna tabu.
Huyo herode kumbuka alikua tu kama mkuu wa wilaya maana alikuwa kawekwa na utawala wa warumi kama msimamizi wa palestina,kipindi hicho hakukuwapo na israel kingdom wala juda,mantinki inaonyesha tu kuwa neno dunia nzima kama ulivyosema lilikua na maana ya eneo lililokua chini ya herode.
Same applied na kuhusu mafuriko ya noah,hayakuwa dunia nzima bali yalitokea eneo alikuwepo noah kwa mawazo yangu
 
Wakati tunaendelea kujadili hebu tupitie baadhi ya facts ambazo moja kwa moja Biblia katika Mwanzo 6 imezijulisha.

1. Mwa 6: 14 - Safina ilikuwa na vyumba ndani yake. Vingapi? Haijasemwa.
2. Mwa 6: 16 - Safina ilikuwa na ghorofa 3 ( dari ya chini, ya pili na ya tatu.
3. Mwa 6: 19 - Kila kilicho hai, ni wawili wawili ktk kila namna
4. Mwa 6: 21 - Ndani ya safina kulikuwa na kila kinacholika kwa ajili ya Nuhu na viumbe vingine

Hizi ni salamu kwa muuliza maswali atajibiwa tu, Biblia sio kitabu cha kufichaficha mambo na kusimuliwa. Watu wanasoma, na kuchimbua, ila ukiingia kichwakichwa lazima ile kwako
 
Kwenye mpango wa Mungu anakwenda mbali na mawazo yetu,pia jua mungu anaanzia unapoishia wewe kufikiri ndo maana hata hujui vizuri kuhusu mafundisho hayo au umekop somewhere ndo maana hujaweka kwenye mother tongue sasa mbona hujajua kivipi Daniel aliingia kwenye moto na kutoka mzima,kwenye Tundu la simba na hakuliwa?
 
Mungu hayupo humo kwenye mawazo yako madogo hivyo,anazidi mbali sn na upeo wako ulipoishia
 
mkuu hayo mafuriko hayakuwa na uhusiano wowote na mungu.

Tunaambiwa eti maasi yalizidi,NUHU na family yake eti ndo walikua wakishika njia ya mungu kwa maana kuwa walikuwa safi na wasio na maovu.

Lakini Nuhu hakuwa safi,alikua mlevi na pia muasherati kama sikosei si ndo alifanya ngono na mabinti zake akawapachika mimba.
Kwahiyo habari ya nuhu kwa mjibu wa bible haijakaa sawa,

Umekosea kidogo mkuu,huyo alikua LUTU NA SIO NUHU.JAPO KUA HATA HADITHI ZAO NI KAMA ZA KUTUNGA VILEEEEE
 
Kutoka kipindi cha Adam mpka kipind cha Noah kabla ya Gharika kuu dunia ilikua one landmass,ilikua moja wanasayansi wanasema "pangea'
Baada ya flood kutokea ndo ikawaganyika na mabara yakatokea..
So herode Alivyosema atahesabu dunia mzima alimanisha atahesabu tu kwake.
We jamaa upo shallow kwenye bible, aliyekwambia kwamba kutoka kipindi cha "Adam mpaka Gharika kuu dunia it was just one big landmass called pangea"?

Nitakuelimisha bure, iko hivi
Adam kama first human on earth pamoja na vizazi vyake vyote vinaelezewa vizuri in the theory of "creation" in which scientists dont believe, na issue ya "pangea" ipo clearly elaborated kwenye theory of "evolution" ambapo utakutana mambo ya 'continental drift' na nduguze which is nowdays present continents.

Kwahiyo you cant match these two theories since they dont match.

According to the "theology in creation theory" Adam lived 50,000yrs ago Kabla ya Wakati wa Kawaida (KWK) yaani BC while Mussa 'Moses' lived almost 10,000 of yrs ago and Jesus himself,first was born in 29yrs kabla ya wakati wa kawaida na he died in the year 2 AD...kumbuka hakukuwa na mwaka 0 hivyo Yesu aliishi miaka 33 tu hapa duniani.

Now according to the "evolution theory" early man lived about 5m of yrs ago wakati all continents were already existing,refer issue ya plate tectonics.

Noah's issue now:

Mungu utoa adhabu kulingana na sehemu husika,hawezi haribu ulimwengu mzima eti sbb ya makosa ya sehemu fulani, mfano kule Sodoma alimuahidi Ibrahimu kama kungekuwa hata watu wema wa5 tu hasingeuteketeza mji,ndivyo ilivyotokea kwa Nuhu.

Natumaini umepata picha angalau.
 
kuna kipindi mto frat na tigris ilikuaga inafurika balaa,sasa hao waandishi wa zamani wakajua mafuriko yametokea ulimwengu mzima.

Pia hakuna ngalawa au safina inaweza beba wanyama 500 achilia mbali wanyama 16,000.
Hata USS SARATOGA aircrafit carrie haiwezi beba wanyama zaidi ya 5000.
Hatuelezwi hata material yaliyotumika kutengezea hiyo ngalawa,je walitumia fible au chuma au fito na kamba
hahaaaa, umenena mkuu, hapa watu wasiopenda ku reason watakuambia ilikua ni kwa miujiza ya Mungu
huo ulimwengu unaozungumziwa hapo ni ulimwengu wa Wayahudi
 
We jamaa upo shallow kwenye bible, aliyekwambia kwamba kutoka kipindi cha "Adam mpaka Gharika kuu dunia it was just one big landmass called pangea"?

Nitakuelimisha bure, iko hivi
Adam kama first human on earth pamoja na vizazi vyake vyote vinaelezewa vizuri in the theory of "creation" in which scientists dont believe, na issue ya "pangea" ipo clearly elaborated kwenye theory of "evolution" ambapo utakutana mambo ya 'continental drift' na nduguze which is nowdays present continents.

Kwahiyo you cant match these two theories since they dont match.

According to the "theology in creation theory" Adam lived 50,000yrs ago Kabla ya Wakati wa Kawaida (KWK) yaani BC while Mussa 'Moses' lived almost 10,000 of yrs ago and Jesus himself,first was born in 29yrs kabla ya wakati wa kawaida na he died in the year 2 AD...kumbuka hakukuwa na mwaka 0 hivyo Yesu aliishi miaka 33 tu hapa duniani.

Now according to the "evolution theory" early man lived about 5m of yrs ago wakati all continents were already existing,refer issue ya plate tectonics.

Noah's issue now:

Mungu utoa adhabu kulingana na sehemu husika,hawezi haribu ulimwengu mzima eti sbb ya makosa ya sehemu fulani, mfano kule Sodoma alimuahidi Ibrahimu kama kungekuwa hata watu wema wa5 tu hasingeuteketeza mji,ndivyo ilivyotokea kwa Nuhu.

Natumaini umepata picha angalau.
Kwa hiyo mkuu biblia inadanganya inaposema mungu aliapa ataingamiza tena kwa moto wala maji!? Kumbuka according to bible ilisema hayo baada ya Ghalika!
 
Material mbona yametajwa mkuu,Genesis 6:14 inasema kwenye KJV " make thee an ark of gopher wood,rooms shalt thou make in the ark,and shalt pitch it within and without which pitch"
So material yalikua gopher wood au kwa sasa yanaitwa cypress wood"
Dimensions zilikua 300 cubits(about 450 ft long,50 cubits wide,30 cubits high
The vessel was three storeys high and was divided into "rooms"
kwa hiyo kilikua na uwezo wa kubeba wanyama 32,000 kikielea, kwa vipimo hivyo??
 
Ndo hapo biblia MUNGU anaposema njia yangu sio za kwenu,mawazo yangu si ya kwenu" hatuwezi jua walitoshaje lakin naamin walitosha kwa. Vipimo alivyompa NUHU,huwez kumpa mtu vipimo kama haujapiga hesabu ya viumbe wangap wataingia.
Hata waliotengeneza USS SARATOGA au meli yeyote wamepewa hiyo Akili na maarifa na yule aliempa NUHU
huku ndiko kuishiwa na hoja sasa
 
Biblia iko sahihi kabisa
Tatizo ni sisi kutoamini kile kilichoandikwa ndani ya biblia...
 
Umekosea kidogo mkuu,huyo alikua LUTU NA SIO NUHU.JAPO KUA HATA HADITHI ZAO NI KAMA ZA KUTUNGA VILEEEEE
nuhu pia alikuja kuwa mlevi mkuu, hadi kuna mtoto wake mmoja akamcheka akiwa uchi alafu akalaaniwa
 
Ya nini kumtilia Mashaka MUNGU kuhusu safina wakati yeye ndo great scientist in the world??
The one and only.

Hao NASA na idara yetu ya Hali ya Hewa tunafata tu.
 
Kwa hiyo mkuu biblia inadanganya inaposema mungu aliapa ataingamiza tena kwa moto wala maji!? Kumbuka according to bible ilisema hayo baada ya Ghalika!
Mkuu Mungu hajawahi kuiangamiza dunia kwa moto wala maji isipokuwa maeneo fulani fulani but not the whole world.
Alipoahidi kuwa hataangamiza dunia tena iwe kwa moto au kwa maji alimaanisha kwamba hatawaka hasira tena juu ya uso wa dunia,
Shukrani za dhati kabisa zimuendee Nuhu alisaini mkataba (Agano) na Mungu,ndo maana hiyo neema tunaishi nayo mpaka leo ingawa maovu ni mengi juu ya nchi.
 
Hiki kitabu kina fifisha sana ubongo wa mwanadamu afu ukihoji utasikia unasoma kama gazeti omba roho mtakatifu akuongoze ndio utaelewa. Ajabu huyo roho mtakatifu anaewaongoza ni mmoja lakini huyu anaruhusu ushoga mwingine anakataa,huyu aruhusiwi kuoa huyu anaoa,huyu pombe halali huyu haram,hawa wanasali uchi,huyu ibada jumamosi mwingine jumapili sasa huyu roho mtakatifu anashindwa kuwasimamia kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.
 
Back
Top Bottom