Mawazo na njia zetu ziko tofauti na MUNGU kwa sabubu yeye ni mkamilifu hana madhaifu(weakness) wakati sisi tuna madhaifu na si wakamilifu,ndo mana Tupo hapa duniani moja ya lengo ni kuwa wakamilifu, mkuu,ukisoma KJV matthew 5:48 "be ye therefore perfect,even as your father which is in heaven is perfect" hapo YESU anatupa insight kidogo kuhusiana na ukamilifu wa MUNGU sisi tumeumbwa kwa mfano wa MUNGU kimwili,kwamba IMAGE yetu binadamu wote duniani iko sawa,wote tuna kichwa kimoja,mikono miwili na viungo vingine so aliposema ametuumbwa kwa mfano wake alimaanisha image,MUNGU anafanana na sisi kiumbo if you see him today you will see him as a man,ana mikono miwili,kichwa,miguu miwili na kadhalika.tofauti ya mwili wake na mwili wetu ni kwamba mwili wake ni exalted body(uliotukuka)usiopata magonjwa,usiochoka na sifa zinginezo hauendeshwi na damu hence ni mwili usiokufa,wakati sisi binadamu mwili wetu ni kinyume na mwili wake sisi tunakufa,mwili wetu unategemea damu ili mifumo iende vizuri na kadhalika.
So hata mawazo yetu hayataweza kua sawa na ya kwake sababu hatufanani na MUNGU na hata njia zetu zinakua tofauti na sisi.
Ila kila mtu hapa duniani ana potentials' za kuwa kama MUNGU in the future kama atatii amri zake zote na maelekezo yote ambayo MUNGU anayatoa.
Ametupa amri na maelekezo ili siku moja tuwe kama yeye,na hapa duniani tuko kwenye test ya kupimwa kama tunayafata anayotaka.