torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
ah ha ha aahMajibu yote kuhusu nuhu hutoweza kutapatapa ila kwenye kitabu kimoja tu nayo Qur-an ambayo haina shaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ah ha ha aahMajibu yote kuhusu nuhu hutoweza kutapatapa ila kwenye kitabu kimoja tu nayo Qur-an ambayo haina shaka
kuua viumbe kwa kuwanyima pumzi hiyo ni sayansi
Hapo sasa mwenyewe nashangaa ndio maana nimeuliza hayo maswali, ameua viumbe kwa kutumia mafuriko ambayo yaliharibu kila kitu including chakula ambacho hao viumbe wangekula ili waendelee kuendeleza kizazi, wakati angeweza kutumia hizo power zake with a minimum lossKwa hiyo kama mungu aliweza kutuumba hajui jinsi ya kutuua, labda nikuulize kwako wewe mungu ni nani na anauwezo gani?
Hapo sasa mwenyewe nashangaa ndio maana nimeuliza hayo maswali, ameua viumbe kwa kutumia mafuriko ambayo yaliharibu kila kitu including chakula ambacho hao viumbe wangekula ili waendelee kuendeleza kizazi, wakati angeweza kutumia hizo power zake with a minimum loss
Mungu kwangu bado ni myth ambayo siielewi
sasa wewe huoni alisababisha maafa kwa weengi wasio na hatia kama watoto wadogo na wanyama wasio na utashi na pia akampa nuhu kazi kuuubwa ya kutengeneza safina na kukusanya hao wanyama dunia nzima, kwa nini asingefanya hiyo miujiza yake kazi ikawa tu simple?Mungu anasrma tu na kitu kinakuwa, unaposema kuwa katumia nguvu kubwa kama alifanyakazi ya kuchotelea maji na kuwa sikuelewi, mungu ni suala la kusema tu nataka ulimwengu wote uangamie kwa maji kasoro niliowateua basi kashamaliza sasa hiyo nguvu kubwa aliyoitumia mungu kumrisha hivyo mbona siioni?
mfano tu mkuu kwasababu hakuna theory yeyeto inayoelezea
wananisikitisha sanaMm hua nawashangaa watu sana!eti ikija hoja tu ya imani,hasa inayo onekana kukosa majibu kulingana na uelewa wao,au wakitoa majibu yataadhiri imani yao.utawasikia:mungu hahojiwi na ni dhambi kuhoji uwezo wa mungu!Huu ni uzembe wa kufikiri na upungufu wa kutumia akili.
nuhu pia alikuja kuwa mlevi mkuu, hadi kuna mtoto wake mmoja akamcheka akiwa uchi alafu akalaaniwa
Hizo ni mojawapo ya option alizokuwa nazo ila yeye aliamua kuchagua hiyo ya kuwaweka kwenye arkSasa ukianza hizi argument za uweza wa chochote kulikuwa na haja gani ya kukusanya hao wanyama wawili wawili, kwani wangeshindwa kukaa kwenye hayo mafuriko na kuendelea kuishi kwa uweza wake? Au hata wasingeendelea kuishi kama aliwaumba mwanzo kuna ugumu gani kuwaumba kwa mara ya pili?
Kuielewa Bible ufanye kazi mkuu lakini ukikurupuka tu hutaelewa chochote.ila bible imeweka clear kabisa hii ilikua ni dunia nzima
kwa hiyo tueleweje sasa, ilikua kijiji au nchi au niniKuielewa Bible ufanye kazi mkuu lakini ukikurupuka tu hutaelewa chochote.
Mfano unaambiwa Mungu aliumba Dunia kwa siku 6, je kwa akili zako unadhani ni hizi siku 6 za kibinadamu? Yaani from monday to saturday? Kama unadhani hivyo basi umeingia chaka.
Hata habari ya "dunia nzima" kaa ukielewa kuwa haikuwa "Dunia nzima"
Ahahahahh....
Ati hiyo lugha nayo ni jipuu.....
Imesha tumbuliwa by default....
hivi wadau pamoja na shule nyingi za kata kuchipua kila mahali, internet za simu n.k bado English ya kusoma ni tatizo hivi?Haya maswal mazr bt lugha tatizo
Baba wengine sisi, " This is Maimuna"Genesis6:19 You are to bring into the ark two of all living creatures, male and female, to keep them alive with you.
In Genesis posits that Noah gathered "kinds" of animals and not all "species," an estimated 16,000 pairs, which raises a few animal-related questions:
1.What about specialized diets (bamboo for the giant panda, meat for the carnivores, fresh vegetation for the herbivores)?
2.Who cleaned each stall and shoveled the tons of daily excrement through the huge ark’s single window?
3.How did they separate the predator and prey animals? Did the lion lay with the lamb?
4.How do you explain the acquisition and loading of animals not indigenous to the Middle East (many separated by oceans), like the polar bear, the sloth, the crocodile, the fruit bat, the anaconda, etc?
5.And how did the penguins and other cold-climate creatures survive in the blistering desert heat?
6.Wouldn’t freshwater rains from the sky have made the saltwater deadly to ocean marine life?
7.And wouldn’t saltwater have proven equally toxic to all freshwater fish?