Maswali kuhusu Nuhu na gharika kuu

Maswali kuhusu Nuhu na gharika kuu

Kichwa cha habari ni kwa kiswahili, maelezo ndani kiingereza? hivi hapa jf hakuna hukwaa la kiingereza?
 
hata kama lilikua bara moja lilikua kubwa sana, sasa kukusanya hizo pair za wanyama bara kubwa kiasi hicho na usafiri hakuna,
vp hapo mkuu?
Mnapenda Sana kumchokonoa Mungu vile mwenyewe hapendi.
 
Majibu yote kuhusu nuhu hutoweza kutapatapa ila kwenye kitabu kimoja tu nayo Qur-an ambayo haina shaka
 
Andika kiswahili, wengine tulipishana na mwl wa kingereza mlangoni
Hizi lugha za kuja na ndege kwangu chanel zote chenga
 
Mkuu mbona jibu lako simple sana. Kilichotokea ni uweza wake Mwenyezi Mungu. Hakuna linaloshindikana kwakwe yeye aliye juu na Muumba wetu.

Wanyama hao walipigwa na usingizi mkaree kiasi kwamba hawakuweza kufurukuta na kuleta uharibifu hata kujamiana hawakuweza for 40 days.
 
Dunia ni kiumbe hai,pia dunia inatii sheria zote za MUNGU,hivyo inatakiwa ibatizwe kwa maji na kwa roho mtakatifu.
Kitendo cha maji kujaa mpaka juu na kufunika hadi milima kinatuonyesha ni symbolism% ambayo MUNGU aliitumia kwenye gharika LA nuhu maana yake ni kwamba pale ndipo dunia ilibatizwa kwa maji,tunasubiri tu dunia ije ibatizwe kwa moto kwenye siku ya mwisho ili iwe complete baptism.. Haiwezi kuwa makazi mapya ya wateule kama isipopitia ubatizo,Mathew 5:5 "and the meek shall inherit the earth" tunasubiri ubatizo Wa moto.
Huu ni uongo uliopitiliza
 
Andika kwa kiswahili upanue wigo
alicho maamisha katika hayo maswali anayo jiuliza yeye hao wanyama waliwezaje kuishi ilighali kila mmoja alikuwa anakula chakula tofauti na alipata wapi chakula kwa kila mmoja wao na aliwezaje kuwatenganisha na fikili hilo nda swali la muhimu; ilo la maji maji hayajichanganyi
 
Hiyo stori nayo ukiitafakari uwezekano wa kuwa ni ukweli ni mdogo sana
hiyo ni ukweli hapo ndipo mungu anajiziilisha ya kuwa muweza mfano jua no one knows about the what is behind the sun ?
 
Andika kwa kiswahili upanue wigo
Ushamfukuza mtoa post......maana kichwa cha habari kiswahili ndani lugha ya malkia

[emoji124] [emoji124] [emoji124] nami ngoja nipite tu akiandika kiswahili nitarudi.
 
Swali lako linajibika kiimani tatizo lako umeliuliza kisayansi ni kama umevamiwa na majambazi ukabeep ambulance, kwa swali lako basi dini hakuna kwa kuwa hata nikikujibu utazalisha swali lingine maana kuna musa kugawa bahari, kuna adamu kuishi na wanyama, kuna samsoni kusukuma nguzo mpaka jengo kuanguka, kuna waisrael jangwani waliambia watazame picha ya nyoka na wakapona, kuna watu wanapona kwa kusomewa neno la mungu na kupona lakini maswali haya kisayansi hatajibiki
sasa kama mungu hahitaji sayansi, kwa nini sasa alitumia mvua kubwa na safina kubwa kuwanyima pumzi viumbe asiowapenda ili vife (hii ni sayansi) wakati angeweza kutumia huo uwezo wake kirahisi zaidi?
 
Mkuu mbona jibu lako simple sana. Kilichotokea ni uweza wake Mwenyezi Mungu. Hakuna linaloshindikana kwakwe yeye aliye juu na Muumba wetu.

Wanyama hao walipigwa na usingizi mkaree kiasi kwamba hawakuweza kufurukuta na kuleta uharibifu hata kujamiana hawakuweza for 40 days.
siku 40 zilipopita ilikuaje, maana hata mafuriko yalipoisha dunia ilikua empty kasoro hao wanyama waliokua saved, je walikula nini ili wa survive na kuendeleza kizazi???
 
sasa kama mungu hahitaji sayansi, kwa nini sasa alitumia mvua kubwa na safina kubwa kuwanyima pumzi viumbe asiowapenda ili vife (hii ni sayansi) wakati angeweza kutumia huo uwezo wake kirahisi zaidi?

Nithibitishie kuwa mungu alitumia sayansi na siyo utashi wake,
 
Back
Top Bottom