Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kitabu kina fifisha sana ubongo wa mwanadamu afu ukihoji utasikia unasoma kama gazeti omba roho mtakatifu akuongoze ndio utaelewa. Ajabu huyo roho mtakatifu anaewaongoza ni mmoja lakini huyu anaruhusu ushoga mwingine anakataa,huyu aruhusiwi kuoa huyu anaoa,huyu pombe halali huyu haram,hawa wanasali uchi,huyu ibada jumamosi mwingine jumapili sasa huyu roho mtakatifu anashindwa kuwasimamia kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]halafu ni za kitoto mno
hii hadithi pia haipo kwenye Quran?Hiki kitabu kina fifisha sana ubongo wa mwanadamu afu ukihoji utasikia unasoma kama gazeti omba roho mtakatifu akuongoze ndio utaelewa. Ajabu huyo roho mtakatifu anaewaongoza ni mmoja lakini huyu anaruhusu ushoga mwingine anakataa,huyu aruhusiwi kuoa huyu anaoa,huyu pombe halali huyu haram,hawa wanasali uchi,huyu ibada jumamosi mwingine jumapili sasa huyu roho mtakatifu anashindwa kuwasimamia kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwenye Qur-an hakuna hadith mkuu tutake radhi mule kuna "wahyi"hii hadithi pia haipo kwenye Quran?
mwneyewe nimejiuliza hili swali, yaani alichofanya ni kama mtu kuchoma nyumba ili aue panya wanaokula nafaka zake, wakati alikua na uwezo wa kutumia mbadala mzuri zaidi
halafu anaposema zamani simba wala chui hawakua hatari anamaanisha walikua hawali nyama??
hii story ya nuhu ukiitafakari utaona ni kama zile fable story za darasa la pili wanazosimuliwa watoto ili kuwatisha wawe na maadili
bible inasema dunia nzima kabisa, sio mashariki ya kati tuNiulize swali tu. ivi hakuna uhusiano wowote wa haya mafuriko na mafuta yaliyopo middle east pia tukumbuke swala la jig so fit hata baadhi ya nchi kaskazini mwa afrika kuna mafuta. hii haiwezi kuwa sababu Mona wapo kuamini kuna nilikua na mafuriko makubwa eneo hill!! Maoni yenu wadau.
dah, unataka kuanzisha dhehebu yDunia ni kiumbe hai,pia dunia inatii sheria zote za MUNGU,hivyo inatakiwa ibatizwe kwa maji na kwa roho mtakatifu.
Kitendo cha maji kujaa mpaka juu na kufunika hadi milima kinatuonyesha ni symbolism% ambayo MUNGU aliitumia kwenye gharika LA nuhu maana yake ni kwamba pale ndipo dunia ilibatizwa kwa maji,tunasubiri tu dunia ije ibatizwe kwa moto kwenye siku ya mwisho ili iwe complete baptism.. Haiwezi kuwa makazi mapya ya wateule kama isipopitia ubatizo,Mathew 5:5 "and the meek shall inherit the earth" tunasubiri ubatizo Wa moto.
whatever, ila zote naona ni hekaya tu za kutisha watoto
kuna kipindi mto frat na tigris ilikuaga inafurika balaa,sasa hao waandishi wa zamani wakajua mafuriko yametokea ulimwengu mzima.Kwa uelewa wangu juu ya bible ni kwamba, hiyo gharika sio kwamba Dunia nzima iliathirika bali ni eneo/mahali/nchi aliyoishi Nuhu/Noah.
Ni kama yale matukio mengine ya adhabu kama Sodoma na Gomora au miaka 7 ya njaa Misri au kama namna Mungu alivyotaka kuiadhibu Ninawi, hayo yote ni eneo husika tu ndo linge-suffer.
biblia pia imeandika clear kabisa kuwa mfalme herode au daud mmoja kati yao alitoa amri Watu wahesabiwe dunia nzima.ila bible imeweka clear kabisa hii ilikua ni dunia nzima
mkuu hayo mafuriko hayakuwa na uhusiano wowote na mungu.Kama ni mafuriko yalikuwa hiyo mito unataka kusema Mungu ni mwongo maana mwisho wa hiyo hadithi kuna ahadi imetolewa kuwa hakutakuja kuwa na mafuriko kama hayo tena duniani. Sasa ni mara ngapi mito inafurika na watu wanakufa hapa duniani? Ina maana Mungu alidanganya?!
ssasa hebu culculate ukubwa wa chombo hicho kwa urefu na mapana,kisha jaribu kuingiza humo wanyama 16000 wenye ukubwa wa digidigi uone kama wataenea humoMaterial mbona yametajwa mkuu,Genesis 6:14 inasema kwenye KJV " make thee an ark of gopher wood,rooms shalt thou make in the ark,and shalt pitch it within and without which pitch"
So material yalikua gopher wood au kwa sasa yanaitwa cypress wood"
Dimensions zilikua 300 cubits(about 450 ft long,50 cubits wide,30 cubits high
The vessel was three storeys high and was divided into "rooms"