Kama ni mafuriko yalikuwa hiyo mito unataka kusema Mungu ni mwongo maana mwisho wa hiyo hadithi kuna ahadi imetolewa kuwa hakutakuja kuwa na mafuriko kama hayo tena duniani. Sasa ni mara ngapi mito inafurika na watu wanakufa hapa duniani? Ina maana Mungu alidanganya?!Yalikuwa ni mafuriko ya mto frati,na safini ilikua ngalawa,
wanyama walikua mbuzi wachache na kondoo
ila bible imeweka clear kabisa hii ilikua ni dunia nzimaKwa uelewa wangu juu ya bible ni kwamba, hiyo gharika sio kwamba Dunia nzima iliathirika bali ni eneo/mahali/nchi aliyoishi Nuhu/Noah.
Ni kama yale matukio mengine ya adhabu kama Sodoma na Gomora au miaka 7 ya njaa Misri au kama namna Mungu alivyotaka kuiadhibu Ninawi, hayo yote ni eneo husika tu ndo linge-suffer.
Sasa ukianza hizi argument za uweza wa chochote kulikuwa na haja gani ya kukusanya hao wanyama wawili wawili, kwani wangeshindwa kukaa kwenye hayo mafuriko na kuendelea kuishi kwa uweza wake? Au hata wasingeendelea kuishi kama aliwaumba mwanzo kuna ugumu gani kuwaumba kwa mara ya pili?
umenena mkuu, big upSasa ukianza hizi argument za uweza wa chochote kulikuwa na haja gani ya kukusanya hao wanyama wawili wawili, kwani wangeshindwa kukaa kwenye hayo mafuriko na kuendelea kuishi kwa uweza wake? Au hata wasingeendelea kuishi kama aliwaumba mwanzo kuna ugumu gani kuwaumba kwa mara ya pili?
im wondering about that tooIn fact Noah gathered all kinds of animals, 2 clean and 7 unclean. The bible doesn't tell us there are species which didn't enter the ark. BTW have you ever wondered how did Noah manage to take all animals in the ark, including dangerous animals such as lion, leopard, snakes, etc?
mhh, ila asingemaliza yote mkuu, maana walikua wawili tu, halafu na hizo pair nyingine zilikua maelfuNamba 2, nadhani aliyefanya hiyo kazi ni yule mdudu mpendwa, mwenye nyama nyeupee lainiii yenye mafuta meeengi,mara nyingi ukiwa kwa muuzaji unajipimia kilo utakazo then inatayarishwa jikoni
sasa tukisoma bible tusipoelewa tusiulizane mkuu??"Mambo ya siri ni ya Bwana, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii." - Kumbukumbu la Torati 29:29
Kama hayo uliouliza hayajafunuliwa au kuwekwa wazi, basi yanabaki kuwa siri ya Mungu mwenyewe. Hapa, mnajadili upepo tu!
Hapana mkuu ni dunia yote, na walipona watu 8 tu dunia nzima, na ndipo kizazi cha dunia ya leo kilianzia hapo.Kwa uelewa wangu juu ya bible ni kwamba, hiyo gharika sio kwamba Dunia nzima iliathirika bali ni eneo/mahali/nchi aliyoishi Nuhu/Noah.
Ni kama yale matukio mengine ya adhabu kama Sodoma na Gomora au miaka 7 ya njaa Misri au kama namna Mungu alivyotaka kuiadhibu Ninawi, hayo yote ni eneo husika tu ndo linge-suffer.
Umenena vema mno.Ukisoma kuna watu waliwekwa kwenye tanuru la moto na hawakuungua..
Kakae wewe tuwashe moto tuone..
'Alitenga maji na anga kisha akatenga maji na maji'
sasa kumuweka simba na kondoo pamoja anashindwaje???
excretion???? kama aliwafunga matumbo je..
Heri yao waaminio kama mtoto mdogo maana ufalme wa mungu ni wao..
ujitahidi kusali kabla ya kusoma bible ili uweze kufunuliwa uyasomayo
Kwani ni lazima yeye angemtuma mwana wake wa pekee aje atuokoe??? Au hata angemtuma, si angekuja angeshuka na moto na mikwala mingi ili aonekabe kweli ni mwana wa mungu?? kwa nini alizaliwa kimasikini katika holi la ngombe.Sasa ukianza hizi argument za uweza wa chochote kulikuwa na haja gani ya kukusanya hao wanyama wawili wawili, kwani wangeshindwa kukaa kwenye hayo mafuriko na kuendelea kuishi kwa uweza wake? Au hata wasingeendelea kuishi kama aliwaumba mwanzo kuna ugumu gani kuwaumba kwa mara ya pili?
Snakes and leopard walikuja kuwa dangerous baada ya uasi..im wondering about that too
so kipindi cha nuhu pia tayari walikua hatari,Snakes and leopard walikuja kuwa dangerous baada ya uasi..
adam aliishi nao vizuri tu kina simba n.k
baada ya uasi agano la awali la mungu na binadamu likabatilishwa..
tujitahidi kuisoma biblia kwa undani kwani kuna hatari ya vizazi vyetu vijavyo vikakosa kabisa maarifa hayo
WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFAso kipindi cha nuhu pia tayari walikua hatari,
swali ni kua wanyama walao nyama walikua wanakula nini? na wanaokula majani walikua wanakula nini?
jibu swli mkuu....kwa uelewa wangu mdogo gharika ilikuwa baada ya Adam..je walikuwa hatari na je waliishije humo ndani!? Na kwa nini huyo mungu alitumia process ndefuu hivyo while anauwezo wa kusema kitu na kikatokea!?WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
mwneyewe nimejiuliza hili swali, yaani alichofanya ni kama mtu kuchoma nyumba ili aue panya wanaokula nafaka zake, wakati alikua na uwezo wa kutumia mbadala mzuri zaidijibu swli mkuu....kwa uelewa wangu mdogo gharika ilikuwa baada ya Adam..je walikuwa hatari na je waliishije humo ndani!? Na kwa nini huyo mungu alitumia process ndefuu hivyo while anauwezo wa kusema kitu na kikatokea!?