Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)

1. Kama mkataba una manufaa, kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)

2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?

3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu



Dah… Assad ajikujibu in advance
 
Jinga wewe
Nimekusoma muda mrefu na kugundua sio mtu sahihi wa kudebate naye..
Nenda kaswali ustadh Shomari.
Sio mtu sahihi wa kudebate naye wakati unadebate na mimi, kaka pole sana.

Mwezi wa tisa inatangazwa tender ya kuendesha baadhi ya mageti hapo TPA, pia itatangazwa tender ya uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo.

Na hizo tender mbili na zenyewe mje humu jukwaani mzipinge kama mlivyoipinga hii ya DP World.
 
Back
Top Bottom