Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Elewa mradi mzima wa DP World na historia yao kabla hujaja na tuhuma za kwenye magazeti ya udaku.Wewe ni fisadi, na ni kibaraka tu huna zaidi ya hapo.
Mmetupiwa visenti na hao DP World, sasa mnakuja hapa JF kutupotezea muda kujibishana nanyi.
Maandishi yako yote yanajionyesha pasipo shaka yoyote.
Huna hata chembe ndogo ya kuipigania Tanzania wala maslahi ya wananchi.
Lakini hakuna anayekuzuia kufanya hadaa hiyo, kama wapo wanaovutwa na ujinga huo.
Pia elewa maana ya bandari kwa mtazamo wa kisasa kwa mapana yake. Kabla ya kuwa dalali wa chuki dhidi ya Tanzania.