Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

Wewe ni fisadi, na ni kibaraka tu huna zaidi ya hapo.
Mmetupiwa visenti na hao DP World, sasa mnakuja hapa JF kutupotezea muda kujibishana nanyi.
Maandishi yako yote yanajionyesha pasipo shaka yoyote.
Huna hata chembe ndogo ya kuipigania Tanzania wala maslahi ya wananchi.
Lakini hakuna anayekuzuia kufanya hadaa hiyo, kama wapo wanaovutwa na ujinga huo.
Elewa mradi mzima wa DP World na historia yao kabla hujaja na tuhuma za kwenye magazeti ya udaku.

Pia elewa maana ya bandari kwa mtazamo wa kisasa kwa mapana yake. Kabla ya kuwa dalali wa chuki dhidi ya Tanzania.
 
Huna uwezo wowote wa kunifundisha hayo unayoeleza hapa, ni kunipotezea muda tu kama ilivyo kawaida yako.

Unazungusha maneno tu, kama tapeli, ambayo ni tabia ya mafisadi wote ilivyo duniani.
Hayo hayo umayakomalia, hata baada ya kuambiwa tatizo hasa siyo hayo unayoimba wewe, lakini hutaki kuachana nayo. Kwa sababu huna jipya la kueleza kuhusu ubaya wa mkataba kwa nchi yetu.
 
Huna uwezo wowote wa kunifundisha hayo unayoeleza hapa, ni kunipotezea muda tu kama ilivyo kawaida yako.

Unazungusha maneno tu, kama tapeli, ambayo ni tabia ya mafisadi wote ilivyo duniani.
Hayo hayo umayakomalia, hata baada ya kuambiwa tatizo hasa siyo hayo unayoimba wewe, lakini hutaki kuachana nayo.
Mikataba ya consession na lease kwa sasa inaandaliwa nje ya nchi. Hatua inayofuata ni kuwaita wadau wa sekta ya bandari ili iweze kusainiwa na biashara iweze kuanza.

Hayo maneno mengi anaachiwa Kalamu na wapingaji wengine wa humu jukwaani.
 
Hayo ni maneno ya kipuuzi. Hujui chochote.

Na hata ingekuwa ni hivyo, hao washirika wenu kwenye uhujumu huo uhai wao ni muda mfupi sana hapa.

Hakuna gharama kubwa zaidi ya kunyanyaswa mnakowafanyia waTanzania wakati huu.
 
Kama wewe ni mwarabu, sina tatizo na wewe, kwa sababu hivyo ndivyo ulivyoumbwa, lakini kama wewe ni mwigizaji tu wa uarabu kwa sababu zako mwenyewe hapo ndipo penye tatizo.

Umekomalia sana huu uarabu, kanisa na mambo kama hayo wakati mimi sijasema chochote kuhusu hayo.

Huoni kuwa unalo tatizo kubwa kichwani mwako?
Mwenye matatizo ni wewe kwani hata ulichokiandika unajifanya hukukiandika , sidhani Kama wewe ni mwafrika kweli , utakuwa ni chotara la kizungu au mtoto wa Padri
 
Nilikuelewa toka mwanzo nilipokujibu ulipoandika habari ya "kanisa" ambayo haikuwemo katika uliyojibu.

Kwa hiyo ninakuelewa vizuri msukumo wako unatoka wapi, nami nilishasema mara nyingi tu humu, kwa watu walevi wa dini kama wewe, huwa sijisumbui nayo kabisa.

Kwa hiyo nakuacha, endelea na kilevi chako, ambacho hakinihusu kabisa.
Kilevi pekee ninachokifurahia maishani mwangu ni hiki tu cha Tanzania. Ukigusa hapo, hata uwe umelewa kiasi gani na hizo dini zako, sikuachi.
Uarabu siyo dini, sasa hapo kinachokuumiza ni kitu gani, unakijua mwenyewe.
Pengine ni kwa kukosa uelewa tu na hiyo dini unayolewea, na unaihusisha na hao watu.
 
Hayo ni maneno ya kipuuzi. Hujui chochote.

Na hata ingekuwa ni hivyo, hao washirika wenu kwenye uhujumu huo uhai wao ni muda mfupi sana hapa.

Hakuna gharama kubwa zaidi ya kunyanyaswa mnakowafanyia waTanzania wakati huu.
Upeo wako ni tatizo na hakuna dawa zinazouzwa maduka zenye kuweza kukutibu.
 
EeeehEEEeeee!
Angalia chizi huyu sasa anarukia mambo asiyoyafahamu kabisa.

Unataka sasa tuhamie kwenye mambo ya madawa. Una cho chochote unachokijua huko, au unatafuta tu ufundishwe?

Kwa mtu mwenye akili kama hizi zako, za kitapeli na uwakala wa kuiuza nchi hata ukipewa miaka ishirini kujifunza fani hiyo hutaambulia chochote huko.

Ukweli ni kwamba sasa umekwisha kabisa, hata huo utetezi wa ufisadi umekushinda.

Subirini tu kiyama chenu kinakuja. Safari hii hamponi.
 
Nilikuelewa toka mwanzo nilipokujibu ulipoandika habari ya "kanisa" ambayo haikuwemo katika uliyojibu.

Kwa hiyo ninakuelewa vizuri msukumo wako unatoka wapi, nami nilishasema mara nyingi tu humu, kwa watu walevi wa dini kama wewe, huwa sijisumbui nayo kabisa.

Kwa hiyo nakuacha, endelea na kilevi chako, ambacho hakinihusu kabisa.
Kilevi pekee ninachokifurahia maishani mwangu ni hiki tu cha Tanzania. Ukigusa hapo, hata uwe umelewa kiasi gani na hizo dini zako, sikuachi.
Uarabu siyo dini, sasa hapo kinachokuumiza ni kitu gani, unakijua mwenyewe.
Pengine ni kwa kukosa uelewa tu na hiyo dini unayolewea, na unaihusisha na hao watu.

Nimekuelewa tokea mwanzo msukumo wako unatoka wapi nilishasema mara nyingi watu kama nyinyi mlionyweshwa ulevi wa kuchukia waislamu kwa kutumia uarabu huwa sijisumbui nao kabisa.

Unajifanya kusema uarabu sio dini lakini hata mpemba mweusi pepepe maadamu ni muislamu huwa mnawaita waarabu

Pengine kwa chuki mliyonyweshwa na Nyerere na kanisa lake ndio inakufanya uwe hivyo
 
Kwa hiyo wewe ni mwarabu, na wala siyo raia wa Tanzania, au siyo?

Uarabu wako ndio unaokufanya uwe mwislam, huwezi kuwa kitu kingine chochote?

Kama wewe ni mTanzania mwenye asili ya uarabu, ina maana Tanzania kwako haina maana yoyote zaidi ya uislam wako?
Unawaona waTanzania wote wasiokuwa waislam kuwa maadui zako, lakini waarabu ambao siyo waTanzania ni ndugu zako zaidi?

Kama huyo "Mpemba" unayemsema hapo juu anajiona yeye ni mwarabu kwa sababu ya uislam wake, sioni tofauti yoyote na wewe hapa kwa namna unavyojitambulisha mwenyewe. Yeye na wewe, ni waarabu kwanza kutokana na dini ya uislam, kama mnavyojibainisha wenyewe. UTanzania kwenu hauna maana yoyote, na waTanzania wengine wote wasiokuwa waislam ni maadui zenu.
Kama hivyo ndivyo unavyojihisi wewe mwenyewe, sifichi kabisa, wewe ni adui wa waTanzania wote bila kujali dini zao.

Imetosha na wewe.
Kama hunielewi, hutaki kunielewa.
 
Kama uelewa wako ndio huo wa kumsingizia Raisi Samia kwa kuwa ni Mzanzibari na muislamu kuwa kauza bandari tena mnamtoa uTanzania kwa kusema kauza bandari ya Tanganyika yaani hizo si chuki mlizonazo dhidi ya Wazanzibari ?? Na wala hatujawasikia na midomo yenu mirefu wakati kila kitu cha Zanzibar mumekichukuwa na kukiingiza katika huo mnaouita mkataba wa muungano ??
Mtabakia kubweka tu humu JF , DP wanakuja na watainvest wala hamuwezi kufanya Kwiiii na mara hii hatufanyi makosa tena kuwaachia nyinyi mnaojifanya waafrika koko mkatuchafulia nchi yetu
 
Aaah!
Kumbe wewe ni mZanzibari!

Kwa hiyo utambulisho wako ni kama ifuatavyo, kwa mpangilio huo huo wa umuhimu:

1. Mwarabu
2. Muislam
3. Mpemba
4.Mzanzibari

Na inapolazimu kufanya hivyo kwa sababu maalum
5. mTanzania

Sina la ziada la kujadili nawe hapa.

Ila nikukumbushe tu kuhusu mstari wako huo uliouweka hapo mwisho unaosomeka ifuatavyo:

"Mtabakia kubweka tu humu JF, DP wanakuja na watainvest wala hamuwezi kufanya Kwiii; na mara hii hatufanyi makosa tena kuwaachia nyinyi mnaojifanya waafrika koko na kutuchafulia nchi yetu."

Haya maneno ni kama yaliyoandikwa na mwenda wazimu, asiyekuwa na uelewa wa kitu anachokizungumzia au andika. Ila kwa mtu kama wewe, kutokana na jinsi ulivyojitambulisha toka mwanzo uliponijibu mimi, naona kuwa wewe ni mmoja wa watu waliomo kwenye kundi linalojiaminisha maajabu ya namna hiyo kuwezekana tena wakati huu!
Ni ajabu sana kuwa na fikra za aina hii karne hii.

Mkuu 'jag', nimemalizana nawe, na nashukuru sana kwa kukujua uhalisia wako ulivyo.
 
Hiithread imenikumbusha hii katuni
1691934884924.jpeg
 
Tangia mijadala ianze hakuna mwana ccm,kiongozi wala chawa aliyejibu hoja wote wameegemea penye upotoshaji hivi jopo lote halina hata msomi mmoja wakujibu hoja hizo??
 
Back
Top Bottom