Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)

1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)

2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?

3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu

Yeye ni dhaifu na maamuma kwenye sheria. Abaki kimya huyo mzee wa makabati a.k.a bookkeeping.
 
Mkataba wa DP World ni sehemu muhimu katika kuelekea kuneemeka kwa Tanzania yetu. Tatizo ni nyinyi mnaojaribu kuipotosha jamii juu ya kinachokusudiwa kufanyika, labda kwa kutegemea malipo fulani kutoka kwa hao wanaohisi kuzibiwa riziki zao pale TPA kupitia mifumo mipya ya ushushaji na upakiaji wa makontena.
Unakokuona kuneemeka kwa akili yako baada ya kutupiwa visenti na makombo siyo kuneemeka kwa waTanzania.
Mtu hawezi kuneemeka kwa kurudishwa utumwani.

Mnachosahau ni kwamba hii ni karne ya ishirini na moja. Hivi viinchi vinavyoona vinaweza kurudisha watu utumwani kwa vihela wanavyomiriki havielewi dunia ilipofikia.

Kwanza vinchi kama hivi vya kiarabu viko hatarini sana. Watu mamilioni waliomo kwenye vinchi hivyo ni wageni. Siku moja wageni watavipindua na kuvisambaratisha.

Bahati yetu nzuri mafisadi nyinyi uroho umewajaa na kusahau kwamba mnaliamsha la waTanzania. Safari hii hamponi.
 
wewe bado una mawazo ya kanisa ya kuwa waarabu watarudisha utumwa , umenyeshwa propaganda kuwa waarabu ndio waliowafanya watu watumwa. Utumwa ulianza kabla waarabu , soma biblia yako vizuri.
Hapo uliporudiwa tena ni kanisa ndilo lilianzisha utumwa.

By the way hata waafrika waliwafanya na wanawafanya watumwa hata leo Waafrika wenzao au hujui hili ??
 
"Kanisa" umeliona wapi katika maandishi hayo kama siyo kujistukia wewe mwenye fikra za kijinga namna hiyo?
Sasa kwa kuwa ni mwarabu, watu wasiseme? Huko uarabuni hakuna mashetani?
 
Kwani nilikuandikia nimeliona kanisa ? Ukweli unakupa homa? Utumwa umeanza kabla ya Hao waarabu ukitaka ushahidi nitakupa

Mambo haya

Unakokuona kuneemeka kwa akili yako baada ya kutupiwa visenti na makombo siyo kuneemeka kwa waTanzania.
Mtu hawezi kuneemeka kwa kurudishwa utumwani.

Mnachosahau ni kwamba hii ni karne ya ishirini na moja. Hivi viinchi vinavyoona vinaweza kurudisha watu utumwani kwa vihela wanavyomiriki havielewi dunia ilipofikia.

Kwanza vinchi kama hivi vya kiarabu viko hatarini sana. Watu mamilioni waliomo kwenye vinchi hivyo ni wageni. Siku moja wageni watavipindua na kuvisambaratisha.

Bahati yetu nzuri mafisadi nyinyi uroho umewajaa na kusahau kwamba mnaliamsha la waTanzania. Safari hii hamponi.
Cha muhimu sana ni uwepo wa ufanisi pale bandarini kwa njia za kisayansi. JPM alikuwa na nia nzuri sana lakini bado mafisadi na wapigaji wakamzidi ujanja na wakawa wakipiga kila siku.

DP World unapoona anapigiwa kelele nyingi namna hii tambua kuwa teknolojia yake ni ya juu sana na uokoaji wa muda wa ushushaji na upakiaji wa makontena unakwenda kuugusa uchumi mzima wa Tanzania.

Demurrage na storage charges nyingi zinazolipwa pale TPA hazina ulazima wowote, ni kwa sababu ya foleni za kutengeneza za michakato ya kazi. Rais Samia kwa kuingia mkataba wa kazi na hawa waarabu anakwenda kuondoa hili tatizo.

Sasa tatizo limehamia kwa wale wote wenye kufaidika na uwepo wa muda mrefu wa haya matatizo ya bandarini.

Hivi tunavyoongea mikataba ya consession na lease inaandaliwa sehemu fulani nje ya nchi. SSH kaja kimapinduzi zaidi na Mungu analilinda taifa hili siku zote.
 
Kwani nilikuandikia nimeliona kanisa ? Ukweli unakupa homa? Utumwa umeanza kabla ya Hao waarabu ukitaka ushahidi nitakupa

Mambo haya

Naona unalo tatizo la uelewa wa unachokisoma.
Badala ya kuelewa kilivyoandikwa wewe unaweka yako yaliyomo ndani ya akili yako na kuyajibu hivyo hivyo.

Sijaeleza popote kuhusu nani aliyeanzisha utumwa, lakini hilo akilini mwako ndilo likawa jambo la muhimu kulijibu.
Sijaandika popote kuhusu kanisa, wewe akilini mwako ukaingiza kanisa.
Kwa hiyo unayo matatizo yanayokusumbua akilini mwako.

Nimalizane nawe: Nakushauri uvue huo mnyororo mzito unaokulemea. Hata kama huoni mnyororo wa chuma shingoni mwako na miguuni mwako, mnyororo mzito zaidi unaokuumiza sasa hivi ni huo uliomo ndani ya akili yako. Huu mnyororo wa kisasa ndio unaowapumbaza watu kama wewe.

Lakini, hata baada ya kukueleza haya yote, najua huna uwezo wa kuyaelewa yana maana gani.
Kwa mtu wa aina hiyo, ni kumwacha tu abaki na utumwa wake.
 
Cha muhimu sana ni uwepo wa ufanisi pale bandarini kwa njia za kisayansi. JPM alikuwa na nia nzuri sana lakini bado mafisadi na wapigaji wakamzidi ujanja na wakawa wakipiga kila siku.

DP World unapoona anapigiwa kelele nyingi namna hii tambua kuwa teknolojia yake ni ya juu sana na uokoaji wa muda wa ushushaji na upakiaji wa makontena unakwenda kuugusa uchumi mzima wa Tanzania.

Demurrage na storage charges nyingi zinazolipwa pale TPA hazina ulazima wowote, ni kwa sababu ya foleni za kutengeneza za michakato ya kazi. Rais Samia kwa kuingia mkataba wa kazi na hawa waarabu anakwenda kuondoa hili tatizo.

Sasa tatizo limehamia kwa wale wote wenye kufaidika na uwepo wa muda mrefu wa haya matatizo ya bandarini.

Hivi tunavyoongea mikataba ya consession na lease inaandaliwa sehemu fulani nje ya nchi. SSH kaja kimapinduzi zaidi na Mungu analilinda taifa hili siku zote.
Hayo yote unayoyaongea huko juu, ni marudio tu yale yale uliyokwishayaweka humu , nadhani mara kumi au zaidi, na kujibiwa vile vile kwamba hakuna anayepinga hayo kufanyika, kwani sisi wote tunayataka.
Ili kuonyesha usivyokuwa na nia ya hayo unayorudiarudia, bali unayaweka tu kuhadaa watu ni kung'ang'ania maovu yaliyomo kwenye hiyo IGA na usione lolote lenye kasoro huko.

Kwa hiyo, maana yako ni kuondoa uozo mwepesi mwepesi bandarini, ambao kiuhakika serikali inao uwezo wa kuukomesha; na badala yake kuweka mfumo toka nje tunaoupa madaraka makubwa hata kuuwajibisha tunakuwa hatuwezi.
Huu ndio utumwa mkubwa wa mawazo yako tokea uingie humu.
Unaona ufisadi utakaokupa faida wewe binafsi na kundi lako ni bora zaidi kuliko itakachopoteza Tanzania kwa kuuza uhuru wake kwa wageni.

Na ujuha ni kuwa, unahimiza kabisa, tena waziwazi hapa, yatakayokuwemo humo yawe siri, ili ufisadi wenu ufane zaidi!
Kama nilivyokwishaeleza mara kadhaa ssasa, safari hii mkipona, mtakuwa na bahati ya kipekee sana. Ni vizuri kwamba mmetoka mbele na kujitambulisha kwa waTanzania jinsi gani mlivyopania kuwahujumu.

Mwisho, nikuombe hili; kama huna jambo jipya la kueleza, bali unarudiarudia tu yale yale uliyokwishawaandika mara nyingi tu humu, usipoteze muda wako kuniandikia hayo, kwani nitakuona kama umepungukiwa kichwani mwako.
 
Uingereza wana bandari mbili zinazomilikiwa na DP World. Hawana mawazo ya kitumwa kama ya mkuu kalamu.

China wanazo bandari sita zinazoendeshwa na hao hao waarabu. Ni watawala wa uchumi huu wa kisasa.

Hao wote wenye maendeleo kutuzidi ni wajinga kukubaliana na uwekezaji kutoka Dubai?.

Biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa ukosefu wa maarifa na ni maneno aliyoyarudia Profesa Assad kwamba mkataba hauna tatizo bali tatizo ni sisi wanasheria uchwara tuliojaa kwenye mitandao.
 
Hivi huko kichwani unazo akili za kutosha, au kumejaa makamasi?
Inabidi nitumie lugha ya namna hii, pengine ndiyo utakayoielewa, maana ni kama huna akili kabisa kichwani mwako.

Hizo IGA za huko Uingereza, China nazo umezisoma ukajiridhisha ni kama hi hii ya kwetu?

Mbona hata umepewa mfano hapa wa IGA ya hao hao UAE na Sweden, bado hadi sasa huwezi kuelewa chochote?

Hivi wewe huu ufisadi koko, na hii dini inayokuondoa akili kabisa kichwani, unakuwa kama kichaa hivi itakufikisha wapi wewe?

Tunarudiarudia yale yale kukueleza, kuwekeza kwenye bandari siyo tatizo kubwa, kama sisi wenyewe tumeamua kwamba hatuwezi kufanya hivyo kwa sasa; lakini wewe unaendelea tuuu, kung'ang'ania kwamba watu hawataki uwekezaji!
Wewe ni mtu mmoja mpuuzi sana, inanilazimu sasa nikueleze hivyo bayana. Huu ulafi wenu umewaingiza kwenye matatizo ambayo hamna uwezo wa kuyazuia yasiwazoe wote.
Mumemharibia sana huyu mama na heshima ndogo aliyokuwa kajijengea, pamoja na kutokuwa na uwezo wa kuongoza nchi.
 
Porofesa majalala chini ana ndala, kwasababu ya Maimuna yupo pale kila kitu kwake sawa tu.
 
Biashara inakaribia kuanza kufanyika kati ya DP World ya Tanzania, nyinyi msio na makamasi kwenye ubongo endeleeni kulialia tu.

IGA ya Sweden na UAE sio lazima ifanane na ya TZ pamoja na UAE ili eti mridhike kwamba hatujapigwa.

Chombo ndio kimeshaondoka hivi sasa mpango unaoendelea ni utengenezaji wa mikataba ya upangishaji na ukodishaji.

Kuwekeza bandarini kinadharia ni kazi nyepesi sana, shughuli ipo kwenye nidhamu ya vitendo. Tungekuwa ni watu wenye umakini na huo uwekezaji mpaka muda huu tungeshamalizana na tatizo la foleni ya kuingiza meli.

Tunaziweza sana hizi nadharia ndefu ndefu za mitandaoni, matendo na matokea yake ni tofauti na huu ujuaji wetu.
 
Hakuna anayekuzuia kujifurahisha vyovyote unavyotaka mwenyewe bila ya kuathiri wengine.
 
Hakuna anayekuzuia kuishi na maumivu ya kushindwa mbinu zako zote ovu za kutaka kuikomoa serikali ya CCM.
EeeeenHeeeeee!
Ona sasa unavyozidi kuwa bwege.
Kwa hiyo hapa unadhani umekwishamaliza kazi, siyo?

Kinakachofuata ni zaidi ya maumivu kwa watu wapuuzi kama nyinyi.
 
Naona unalo tatizo la uelewa wa unachokisoma.
Badala ya kuelewa kilivyoandikwa wewe unaweka yako yaliyomo ndani ya akili yako na kuyajibu hivyo hivyo.

Sijaeleza popote kuhusu nani aliyeanzisha utumwa, lakini hilo akilini mwako ndilo likawa jambo la muhimu kulijibu.
Sijaandika popote kuhusu kanisa, wewe akilini mwako ukaingiza kanisa.
Kwa hiyo unayo matatizo yanayokusumbua akilini mwako.

Nimalizane nawe: Nakushauri uvue huo mnyororo mzito unaokulemea. Hata kama huoni mnyororo wa chuma shingoni mwako na miguuni mwako, mnyororo mzito zaidi unaokuumiza sasa hivi ni huo uliomo ndani ya akili yako. Huu mnyororo wa kisasa ndio unaowapumbaza watu kama wewe.

Lakini, hata baada ya kukueleza haya yote, najua huna uwezo wa kuyaelewa yana maana gani.
Kwa mtu wa aina hiyo, ni kumwacha tu abaki na utumwa wake.

Wewe umejazwa fikra za kuwa waarabu watawafanya waafrika ni watumwa. Umesahau kama waafrika waliuzwa na waarabu huku kwetu , asingalibaki mwafrika hata mmoja . Ujinga huu na chuki hii imejaa akilini mwako.

Angalia namna waafrika wenzako walivyobadilishwa na DP halafu uniambie ni nani kafanywa mtumwa ??

Tatizo kuna mijitu ikiamini jambo haitaki wengine waamini kinyume chake wakati huo ni Uhuru wa kila binadamu ni uchizi uliotukuka kulazimisha imani yako au ya kikundi unachokipenda kwa maslahi yako iwe ya wote.
Ndiyo maana katika Haki za binadamu Uhuru wa mawazo umepewa nafasi.

Kundi A linaunga mkono hoja ya DP W na Kundi B linapinga kuna namna nyingi za kufikia muafaka moja ni kupiga kura na nyingine ni kupeleka Mahakamani.

Suala hili kwa kupitia mahakama maamuzi yametoka wenye akili timamu wanapitia hoja mojamoja kuona kama Mahakama ilipotoshwa au imejipotosha na kujielekeza vibaya katika uamuzi wake kesi hii ni kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na lazima kufahamu kwamba Ngazi za mahakama bado zipo mwisho wa siku itabainika nani kati ya pande mbili aliye sahihi.

Utamaduni wa kupinga maamuzi ya mahakama kwasababu hawajakubaliana na hukumu yako ni wa hovyo mno haiwezekani ukawa mlalamikaji au mshtakiwa alafu ukawamtoa maamuzi/Hukumu kwa jambo lako.
 
Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)

1. Kama mkataba una manufaa, kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)

2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?

3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu

acquired stupidity
amefeli mzee
 
Back
Top Bottom