Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kamleteni mzungu aje awekeze halafu andikeni mkataba kama ulivyo huu wa Dubai uone kama kuna muislam yeyote ataupinga. Kwenye hilo tushapita, huko. Wether mchina au mjapani au mzungu sisi hatuna shida nao.Tatizo uislamu unawasumbua kwenye mkataba huu sijaona mwislamu anaupinga there something hidden
Yes, mimi ni muislam lakini situmii uislamu wangu kuusapoti huo mkataba bali uelewa wangu.