Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Watu tunachohoji kwa nn apewe mwarabu, bila kufuata taratibu za manunuzi, tenda walitangaza wapi. Sheria ipo very clear kuhusu kushindanisha .Huyo Dp kapataje hill deal, . Utarabu ungefuatwa pasingekuwa na shida, Kwa makosa kama haya anayoyafanta mama ,nchi hii haitakuja kutawaliwa tens na Rais mwanamke, watanzania tumejifunza mengi kupitia huyu mama, kuna udhaifu mkubwa ukilinganisha serikali zilizopita. Yeye anaona mikopo ndio njia pekee ya kuendesha nchi, baada ya kubuni na kutegemea vyanzo vya ndani. Hata ndani ya nyumba tu huwezi endesha nchi kwa kutegemea vikoba na vyama