Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

Yani ulivyohusisha bandari ya Zanzibar tu nikajua ww ndio walewale Kila cku mnaambiwa Bandari haipo ktk masuala ya Muungano
Hata ingekuwa ni sehemu ya mambo ya muungano hao DP World wanamiliki mali zilizo Congo na Rwanda hazipo Zanzibar hivyo hawana sababu ya kuwekeza kwenye bandari isiyo na maslahi kwao.

Pia kuna uwekezaji ulishafanyika katika bandari za huko Zanzibar tangu mwaka jana.
 
Siasa za kuhamisha magoli. Elewa kwanini mkataba kwanza ulipita bungeni ndio uje na hoja hizi za kujaribu kujipa umuhimu kwenye suala hili la bandari.
Wakati mwingine akili zenu zinafanya kazi kiajabu ajabu, na bila kuona aibu kuhusu maswala ya kipuuzi.
Yale yaliyofanyika Bungeni nayo unayapa heshima katika jambo kama hili?
 
Unataka nisiyape heshima wakati kile ni chombo cha kutunga sheria kinachotuwakilisha mimi na wewe?. Akili mbovu ni za watu kama wewe unayekuja na mapovu yasiyo na msingi,
 
Prof Assad huyu huyu mliyemuonea huruma alipopigwa chini na hayati JPM leo hii mnamshutumu baada ya kusimamia weledi!. Kazi ipo.
Hapana, mkuu 'Stevie', kwetu wengine Tanzania ni kubwa zaidi ya mambo mengine yoyote. Kama Profesa sasa hivi anakengeuka kwa sababu azijuazo mwenyewe, kamwe hatuwezi kuacha kumsema kwa kuwa tulimwonea huruma wakati ule.
 
Unataka nisiyape heshima wakati kile ni chombo cha kutunga sheria kinachotuwakilisha mimi na wewe?. Akili mbovu ni za watu kama wewe unayekuja na mapovu yasiyo na msingi,
Nitaivaa hiyo lebo ya "akili mbovu" kama beji ya heshima sana, kwa kutojitoa akili kichwani na kutambua upumbavu kama ule uliomo humo unaloliita Bunge.
 
Lakini yanayohusika Bungeni ni kuwa kama Tanzania haiyataki yatakayokuwemo humo ndani ya HGA, haina njia ya kujinasua na kuondoka bila ya ruhusa ya Dubai, au siyo? Hii ni akili sawasawa hii?
Kama Tanzania haiyataki hayataingia kwenye mikataba ya kibiashara itakayosainiwa, simple as that.

Mnachoshindwa kuelewa au msichotaka kukielewa ni ukweli kwamba kufa kwa mikataba ya kibiashara ndio kufa kwa IGA iliyokwenda bungeni. Na huu sio mkataba wa kwanza kusainiwa na kutumika hapa nchini.
 
Achana na ujinga huu wa kudhani watu hawaelewi kinachofanyika hapa.
IGA kwa nini iwe na masharti haya kwa Tanzania kama siyo kuandaa mazingira ya ukandamizaji kwenye hiyo HGAs?

Hii IGA ipo kwa sababu zipi hasa, hili ndilo mnalotakiwa kuwaeleza watu walitambue.
 
Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)

1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)

2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?

3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu

Kwa hiyo

Kwa hiyo hapa Tanzania tumeshapigwa?
 
Ndugu wa Mwislamu ni Muislam,hata yale yaliyompa umaarufu kipindi cha Magufuli ni kwasababu Magufuli alikuwa Mgalatia.
Na haya ya sasa yangefanyika kipindi cha Magufuli bandari wakapewa Waitalia ,bado angejizolea umaarufu mkubwa sana,maana angepinga kwa hoja nzito nzito.
 
Profesa kajishushia heshima alio kuwa nayo , siku zote tukumbuke kutafakari kabla ya kuongea, na ikibidi kukaa kimya .
Kimya huwa kina mazuri mengi mno.
 
Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)

1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)

2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?

3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu

Ndio maana MAGUFULI ALIMFUKUZILIA MBALI
 
Hata ingekuwa ni sehemu ya mambo ya muungano hao DP World wanamiliki mali zilizo Congo na Rwanda hazipo Zanzibar hivyo hawana sababu ya kuwekeza kwenye bandari isiyo na maslahi kwao.

Pia kuna uwekezaji ulishafanyika katika bandari za huko Zanzibar tangu mwaka jana.
Bro DpW hana shida na bandari yetu sis ndio wenye shida na DpW
 
Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)

1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)

2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?

3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu

Mungeonyesha uungana kidogo kwa kutoa dosari za majibu yake kuliko kumattach kwa sababu ya kanzu yake.

Magufuli alivyoamua kujenga kwanza kwao kulipiga kelele.

Kwa kutambua hilo Samia kaamua kujenga miji isiyo ya kwao mnapiga kelele.

Next phase Samia akiamua kupeleka uwekezaji kwao utapima kelele.

Ndio asili ya watu wasiotoka mwambao.
 
Swali hili msingi wake ni hiyo exeption ya Bandari ya Zanzibar. Huwezi ukasema DP Wedi apewe bandari zote nchini za Bahari na Maziwa kasoro za Zanzibar, halafu utegemee watu waache tu wasijiulize
Hili swala la Bandari za Zanzibar kutohusishwa linazidi kuongeza uzito zaidi juu ya nuio/kusudio la mradi mzima.
Ukiongeza na jinsi swala zima lilivyofanywa, inaonekana kuwa njama iliyokusudiwa kuhujumu upande mmoja wa muungano.

This is very serious.

Watu sasa hili wamelinyamazia, lakini sidhani kuwa watalisahau.
 
Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)

1. Kama mkataba una manufaa , kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri kweli uache kula na ndugu zako Zanzibar, uwape jirani?)

2. Wewe si mwanasheria (unaweza ukawa na uelewa kidogo wa sheria za uhasibu and the like). sasa authority ya kusema akina Shivji, Lugemeleza, Lisu, Mwabukusi, Madeleka na wengine hawana uelewa katika International treaties unaitoa wapi?

3. Mbona hujajibu hoja kwa hoja ambazo hao niliowataja hapo juu wanazilalamikia? Umetoa blanket answers kama za Joseph Kasheku Msukuma, Kitenge, Wasira na watu kama hao. Kama msomi you need to be specific when answering questions...kama ilivyokuwa ukiwataka wanafunzi wako wajibu

Wachumia tumbo TZ ni wengi sana,ila Professor kuwa mchumia tumbo ni aibu sana.
 
Kumbe ndio maana alifukuzwa u CAG
 
Hivi hata wewe kwa akili ya kawaida tu kama mfanyabiashara, utashusha mega ships Zanzibar halafu walaji wako DRC? Seriously? Ili upate nini?
Seriously, kweli wewe hulioni hili?
Nimekusoma toka huko juu umeling'ang'ania sana na kulipa kipaumbele chote, kumbe hujafikiria linavyoweza kuwa la msingi sana kwa mwekezaji.

Unajua Singapore ilipo, au hata Dubai yenyewe?
 
Back
Top Bottom