Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

JK anasema Richmond haijathibitishwa rushwa ila yupo open kwa further enquiries hata kwa msaada wa nje. Ana maana gani?...
 
inaonekana liliwekwa kwa ajili ya kujisifia na kutoa vitisho
kasema yeye anapenda watu wawe huru, lakini chombo cha habari kikijaribu kuvuruga amani kitaona
"chombo cha habari kijaribu kione- vitisho"


...kama amepaniki kidogo hivi, au ??!!?
 
I have a big doubt hata maswali ya simu yalikuwa recorded, nina wasiwasi sana...

Yani hakuna swali la Dar kabisa?
 
Fatuma Ali Ntandu kutoka singida kaulliza juu ya uzibaji midomo wa NEC wapiganaji wapinaji wa ufisadi
 
I have a big doubt hata maswali ya simu yalikuwa recorded, nina wasiwasi sana...

Yani hakuna swali la Dar kabisa?

Hii kitu ni recorded Mkuu!...Haiingii akilini kuona kwamba hakuna swali hata moja kutoka Dar
 
TRL nadhani JK hana cha kuongea, ngoja msikie...
 
Maisha Bora kwa kila Mtanzania...

Enhe, JK anajibu sasa
 
Dar es salaam umbeya mwingi ndo maana hampati nafsi, na amekana kuahidi maisha bora kwa kila mtanzania
 
Hahaha JK anatumia lugha ya kisiasa kujibu swali hilo. Kwa raia wa kawaida hamwelewi kabisaaa
 
Maisha bora kwa kila mtanzania to day we have new version of the definition!
 
Nasikia next time atakuwa mama salma akijibu maswali
 
Back
Top Bottom