Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Kuhusiana na issue ya viongozi wa dini na nyaraka anasema hawawezi kujibizana lakini anasema ni jambo ambalo limeishtua serikali.

Hofu kubwa ya Serikali ni kuelekea kwenye uchaguzi ujao ambapo watanzania watapiga kura kwa maelekezo ya dini zao!

Serikali ilitakiwa iwe na watu wenye akili ya kutafiti kwamba nyaraka za Kanisa Katoliki zimetoka zaidi ya mara 100 kwa muda wa karne sasa. Huwezi kusema serikali imeshtuka wakati miaka yote nyaraka zimekuwa zikitoka kana kwamba serikali za dunia hii zilikuwa zimelala wakatoliki wakitoa nyaraka kila kona ya dunia hii.

Serikali ilikuwa na wajibu wa kueleza kwamba wakatoliki ni kawaida yao kutoa nyaraka hizo duniani na lisionekane jambo la ajabu. Vinginevyo Serikali hiyo inajichelewesha maana hata wakikaa na viongozi wa Kanisa Katoliki hilo ndilo litakuwa jibu na ikibidi watawaonyesha nyaraka zaidi ya 1000 zilizotoka nchi mbalimbali.

Hapohapo serikali itaulizwa na wakatoliki je, huu waraka wa kanisa una toafuti gani na nyaraka zingine tena kali kama zile zinazotoka Marekani ambako hawazishangai?

Au ni ushamba wa baadhi ya watanzania kwa jambo wanaloliona ni geni wakati wangefanya utafiti wasingeona ni geni!
 
I am rushing to the pub...this is crap! sorry guyz
,.......ulikuwa na miadi ya kuangalia BB jana wat changed ur mind? mi mwenzio nilikuwa nawacheki vidume tena jana kulikuwa na madogo wanatuburudisha na kucheza muziki kwenye BB house heehee......told u nothing would come out of that Q n A session....sadly nimekuwa proven right.....
 
I was wrong! kwa kweli nothing came out
 
Kama kweli JK anataka kusikia kero za Watanzania kwanini asifanye townhall meeting? Kwa dar afanye mkutano Kinondoni, Temeke and Ilala watu wamuulize maswali kwa kuchagua moja kwa moja.
.

Mtanganyika,

Sitegemei kama anaweza kufanya hiyo kitu ni mjanja, kama amekwepa kuongea na waandishi/wahariri wa vyombo vya habari hataki hata kusikia! Pia akakwepa hata hizo hotuba za kila mwezi wala hawaelezi kwanini walisitisha hiyo kitu.

Kwa jinsi wanavyojua wenyewe ujanja ujanja wa kiCCM wakaona watumie hii njia ya Tido na maswali haya ya kiujanja kusudi wapate kuwaingia Mashehe na Maaskofu! na kama unajua kutegua! hilo ndo lilikuwa swali la kwanza! ahaa ahaa sina hamu!
 
Mkuu Invisible do us a favour,hii thread kulingana na umuhimu wake nakuomba huo mlolongo wa quotation ya gazeti uuondoe ili iweze kuwa rahisi kwa msomaji mpya wa hii thread kusoma ukurasa mmoja hadi mwingine kwa haraka maana kila ukiingia ukurasa mpya kwanza unakutana na hilo lolongo la gazeti na ku scroll hadi chini upate comment za wadau inachukua mwaka mpaka kidole kinauma,chonde chonde Mkuu,mi ntarudi baadae kwenye thread utakapokuwa kuwa umetusaifdia kwa hilo.Thread muhimu sana hii tusaidie kuharakisha mambo!
 
Kanifurahisha tu pale alipokiri wabunge wa ccm hawapatani na wanaogopana kiasi cha mtu kushindwa kuacha glass ya maji mezani akiogopa kufanyiwa mambo! tehe teh ete
 
Mtanganyika,

Sitegemei kama anaweza kufanya hiyo kitu ni mjanja, kama amekwepa kuongea na waandishi/wahariri wa vyombo vya habari hataki hata kusikia! Pia akakwepa hata hizo hotuba za kila mwezi wala hawaelezi kwanini walisitisha hiyo kitu.

Kwa jinsi wanavyojua wenyewe ujanja ujanja wa kiCCM wakaona watumie hii njia ya Tido na maswali haya ya kiujanja kusudi wapate kuwaingia Mashehe na Maaskofu! na kama unajua kutegua! hilo ndo lilikuwa swali la kwanza! ahaa ahaa sina hamu!

Kama kweli yupo serious alitakiwa azungumze na waandishi wa habari na kuwapatia fursa ya kuuliza maswali au laa akazungumze na wanafunzi chuo kikuuu etc...

Kuna maswali kama matatu aliishia kusema "wananchi wasubiri waone" hii inaonesha rais mwenyewe hana majibu ya matatizo/kero za wananchi wake..kwa kweli inahuzunisha na kukatisha tamaa
 
Mtanganyika,

Sitegemei kama anaweza kufanya hiyo kitu ni mjanja, kama amekwepa kuongea na waandishi/wahariri wa vyombo vya habari hataki hata kusikia! Pia akakwepa hata hizo hotuba za kila mwezi wala hawaelezi kwanini walisitisha hiyo kitu.

Kwa jinsi wanavyojua wenyewe ujanja ujanja wa kiCCM wakaona watumie hii njia ya Tido na maswali haya ya kiujanja kusudi wapate kuwaingia Mashehe na Maaskofu! na kama unajua kutegua! hilo ndo lilikuwa swali la kwanza! ahaa ahaa sina hamu!

hata kama atakutana na watanzania ana kwa ana, ni asilimia kiduchu mno ya watanzania watakao jiamini kumuuliza rais, ndiyo maana atuendelea, HAKI yetu wengi wetu hatuijui. ndiyo maana unaona sometime jitu kubwa tu linachapwa bakora na polisi, sijui hakukaa vizuri kwenye foleni na hachukui hatua yoyote hile.
 
Usiku wa kuamkia leo, JK alikuwa na Kipindi TBC 1 ambacho kilirushwa pia na TV kadhaa zikiwemo ndogo ndogo, isipokuwa Star TV - ingawa sijui ni kwa sababu zipi!

Katika maswali yale ambayo yalionekana kama yameundwa ama waulizaaji kutayarishwa ama kurekodiwa mapema na kuchujwa, lakini pia baadhi ya watu katika Baa na mahali pengine pa umma hawakuonekana kuvutiwa na mjadala ule ambao Moderator alikuwa Tido, Mkurugenzi wa TBC - Tofauti alivyokuwa kifaa wakati akiwa BBC.

Lakini kingine JK alizingumzia suala la CCM na Ufisadi akasema kuna siku moja alikuwa akiangalia Kipindi kimoja cha majadiliano ambacho kilijidhihirisha kusema kuwa ndani ya chama chake CCM kuna mafisadi, akacheka kama kwa dharu hivi. Hivi hii ni TV gani anayoizungumzia?
 
Mbona ktk hiyo nukuu hapo ya gazeti sijaona utumbo aloujibu kuhusu suala la znz(Muafaka)????
 
kilichosikitisha zaidi ni jibu kuhusu kwenda majuu kupita kiasi ila kupewa msaada wa seventymillion na tajiri mmoja hii ni aibu kwani hata chenge tu au mramba au rostam angeweza kutoa hiyo amount badala ya kugharamia safari hiyo pengine ni amount hiyo hiyo iliyotumika na vyandarua kidogo hivyo,
ha ha ha ingekuwa mimi nisingesema.e mi nashauri atafute kuhusu malaria msaada wa ndege za sprayers ili miji iwe sprayed jioni kila siku hadi mbu watokemezwe na vizalia vyao kama kwa wazungu wale arusha wenye kuspray mashamba ndio dawa ya kutibu malaria na sio vyandarua na mipango imara ya kuspray madimbwi kila kata iajiri wafanyakazi hiyo.
 
* President says two or three cases imminent
* Says tackling sharks, not just "small fish"

logo_reuters_media_us.gif

By George Obulutsa
Sept 10, 2009

Tanzania's anti-graft agency will bring two or three big cases to court soon as part of a drive against corruption that has already claimed several senior officials, President Jakaya Kikwete has said.

Kikwete is expected to stand for re-election at a poll towards the end of next year. He has placed fighting graft, especially in public procurement, among his top priorities.

Speaking on local TV and radio late on Wednesday, the president said there were 578 graft cases currently before the Tanzanian courts, up from just 50 four years ago.

Of those, Kikwete added, 27 involved individuals implicated in grand corruption, including senior civil servants.

"But we think this is just the beginning. We have to keep doing more," he said. "PCCB (Prevention and Combating of Corruption Bureau) are preparing two or three more big cases which they are soon taking to court."

In the Doing Business 2010 report compiled by the International Finance Corp (IFC), the World Bank's private sector lender, Tanzania was ranked 15th for sub-Saharan Africa, behind Nigeria, Uganda and Ethiopia.

Kenya, the region's economic powerhouse, was 8th. Rwanda was hailed as the world's biggest business reformer. [ID:nN08290192]

CATCHING THE "BIG FISH"

Global anti-graft watchdog Transparency International ranked Tanzania 102nd in the world in its 2008 Corruption Perceptions Index, down from its position of 94th the year before.

Critics have accused Tanzania's government in the past of concentrating on tackling petty corruption at the expense of major prosecutions, but that trend appears to have changed.

At least 13 individuals are in court in the east African nation over a 2005 scandal where the government paid $105.5 million to companies using flawed or nonexistent records from the central bank's External Payment Arrears Account (EPA).

Last year, Kikwete fired central bank governor, the late Daudi Ballali, over the affair and ordered that account frozen.

"The concerns people have is that I am just dealing with the small fish but not the sharks," Kikwete said.

"The challenge is the big fish are sophisticated and know how to hide. But we have followed them and caught up with EPA."

In 2008, the government also charged two former ministers with impropriety over the award of a 2002 mineral audit tender.

Kikwete's first prime minister, Edward Lowassa, resigned last year after a parliamentary probe into an emergency power procurement tender. Infrastructure Minister Andrew Chenge quit amid local media reports of corruption in a controversial 2002 radar purchase agreed while he was Tanzania's attorney-general.
 
Hivi kuna mtu alitegemea kupata kitu kipya kutoka kwa huyu JK?
Ameshindwa kazi aliyopewa na ndio maana hana kitu anachoweza kusema , kwa mfano anasema eti kuna kesi 27 zilizowahusu vigogo zipo mahakamani , hivi ni kesi zipi hizo na ni kwenye mahakama gani?
List of shame iliwataja 11 , ila mpaka leo kwenye ile list ni watu 3 tuu ndio wamefikishwa mahakamani, ambao ni Mramba, Mgonja na Daniel Yona.
 
kilichosikitisha zaidi ni jibu kuhusu kwenda majuu kupita kiasi ila kupewa msaada wa seventymillion na tajiri mmoja hii ni aibu kwani hata chenge tu au mramba au rostam angeweza kutoa hiyo amount badala ya kugharamia safari hiyo pengine ni amount hiyo hiyo iliyotumika na vyandarua kidogo hivyo,
ha ha ha ingekuwa mimi nisingesema.e mi nashauri atafute kuhusu malaria msaada wa ndege za sprayers ili miji iwe sprayed jioni kila siku hadi mbu watokemezwe na vizalia vyao kama kwa wazungu wale arusha wenye kuspray mashamba ndio dawa ya kutibu malaria na sio vyandarua na mipango imara ya kuspray madimbwi kila kata iajiri wafanyakazi hiyo.

subira, post (sio thread) yako hii ungeipeleka kwenye utani na udaku. Sio mahali makini kama hapa. Umewaza nini kupost utumbo huu hapa?
 
Mzaha kama kawaida na kucheka cheka hovyo bila sababu maalum!
Miafrika banaaaaaaaaa!
 
wandugu,

..sasa hivi ni miaka 4 tangu Raisi aingie madarakani.

..majibu yote aliyotoa Raisi ni VISINGIZIO vya kushindwa kazi.
 
Hivi kuna mtu alitegemea kupata kitu kipya kutoka kwa huyu JK?
Ameshindwa kazi aliyopewa na ndio maana hana kitu anachoweza kusema , kwa mfano anasema eti kuna kesi 27 zilizowahusu vigogo zipo mahakamani , hivi ni kesi zipi hizo na ni kwenye mahakama gani?
List of shame iliwataja 11 , ila mpaka leo kwenye ile list ni watu 3 tuu ndio wamefikishwa mahakamani, ambao ni Mramba, Mgonja na Daniel Yona.

Jamani naomba tumsamehe na kumwonea huruma Rais wetu kipenzi cha watu (ana mtaji wa zaidi ya 80% ya watanzania). Alisema mwenyewe kuwa kafunga na kadiri muda unavyoyoyoma swaumu inakuwa kali sana. Amejitahidi sana tena sana eti! 🙄

Kama kuna mtu haamini basi akasikilize TBC (1 and Taifa). Kila kona ya nchi wanampongeza Rais wetu, kapiga 3-0! Week ijayo tutakuwa na maandamano ya kumpongeza. Ni mchawi tu asiyetaka kuyakubali haya. Mission accomplished!😕
 
Mzaha kama kawaida na kucheka cheka hovyo bila sababu maalum!
Miafrika banaaaaaaaaa!

Wewe una lako jambo! Wengine tulikuwa tume-miss tabasamu na kicheko chake. Ametupa raha sana!!🙄
 
Hivi kuna mtu alitegemea kupata kitu kipya kutoka kwa huyu JK?
Ameshindwa kazi aliyopewa
na ndio maana hana kitu anachoweza kusema , kwa mfano anasema eti kuna kesi 27 zilizowahusu vigogo zipo mahakamani , hivi ni kesi zipi hizo na ni kwenye mahakama gani?
List of shame iliwataja 11 , ila mpaka leo kwenye ile list ni watu 3 tuu ndio wamefikishwa mahakamani, ambao ni Mramba, Mgonja na Daniel Yona.

Afadhali yake yeye kapewa na wananchi kuliko wewe uliyepewa na baba mkwe! Tunasubiri hicho kitu chako kipya baada ya kubebwa na baba mkwe kwenye hiyo NGO ya familiya.
 
Back
Top Bottom