Maswali magumu ya waandishi kwa G55 ya CHADEMA

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398

View: https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quw
Baada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi huo ni wa chama:

Chief Odema wa Star TV , John Marwa wa Jambo TV maswali 5 magumu , Humphrey wa Michuzi TV maswali 2 mazito na waandishi wengine nguli wauliza maswali magumu kupata ni nini G55 kinasimamia, wakati muda wote kundi hilo lilisema hakuna mazingira huru ya kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi mkuu, kuenguliwa, kutangazwa

1743948204279.jpeg

Picha : Kundi la G55 la CHADEMA

Waandishi warejea historia ya CHADEMA toka 2019, 2020, 2024 uchaguzi wa TAMISEMI na sasa nini kimebadilika 2025 katika nyakati ya hizi kiasi mna matumaini kuwa G55 CHADEMA inaweza kushawishi uchaguzi mkuu wa 2025 ni tofauti ni mingine iliyobatizwa Uchafuzi wa Chaguzi ...
 
Attachments

  • Snapins.ai_video_AQMJ2WyxhI-vrxFWQMz4bakwy2qUxSjBhzRD0JPs69nSz3l5vaGa1i0NZ_D_blz_sjdfrsG030UeJ...mp4
    5.3 MB
  • Snapins.ai_video_AQMkEp5cJjoLy0ShEL5GCJAlxkjOoI0pmL_pNRZEvoJb8DL48sYFx88V3SyyLIEeTUsz-6Y6fQcZD...mp4
    28.1 MB
Inanikumbusha mbali sana, wakati ule yule jamaa alikumbana na kibatala akaomba ruhusa kwenda msalani, sasa sijui alikwenda kumeza dawa au laa
Hao madogo hawakuomba ruhusa kweli
Mrema kanichekesha eti No Reform No Election ilimaanisha kuleta makundi pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Dadeki kweli Lissu aongeze dozi watu wanadata huku! Walizoea udalali saivi kipele kimepata mkunaji asiyetania.🤣🤣🤣🤣
 
PsyOp yaani Psychological Operation kwa kifupi propaganda ya chama dola kongwe tawala CCM imeharibu uwezo wa bongo za wanasiasa wa kundi la G55 la CHADEMA kuamini kuwa ni lazima washiriki uchaguzi usio huru wa 2025 bila mabadiliko, ikidaiwa uchaguzi ni suala la matakwa ya Katiba ya nchi na kuwa kinyume na hapo ni uasi
 
G55 CHADEMA waisikilize hotuba hii ya askofu Bagonza, kweli G55 wanaungana na agenda ya CCM kusisitiza kushiriki uchaguzi wa amani usio na haki ?

TOKA MAKTABA:
31 March 2023

Askofu Bagonza - Watawala wanasisitiza Amani kuliko Haki

View: https://m.youtube.com/watch?v=M2LZAy8j-Aw
Askofu Benson Kalikawe Bangoza wa dayosisi ya Karagwe ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT ...

Katika mada aliyotoa tarehe
31 March 2023 yaani miaka miwili iliyopita (leo 2025) kwa hadhira ikiyofika Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), iliyokuwa imeandaa mjadala wa miaka 30 ya demokrasia ya Tanzania katika Ukumbi wa Kisenga LAPF Conference Center, Jijini Dar es Salaam ....

Ujumbe mzito wenye ushahidi unaonesha kuwa Watawala wanasisitiza Amani kuliko Haki.. anafafanua askofu Bagonza,...

N.B mwaka 2025
Hivi kweli waTanzania tutegemee HAKI leo 2025 tukielekea uchaguzi wa 2025 huku tuna ushahidi usio na shaka wa Uchafuzi wa chaguzi za 2020, 2024 TAMISEMI ila tunapenda kujisaulisha kuwa kuna mabadiliko bila shindikizo la NO REFORMS NO ELECTION 2025 kufanyiwa kazi?
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quw
Baada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi huo ni wa chama:

Chief Odema wa Star TV , John Marwa wa Jambo TV maswali 5 magumu , Humphrey wa Michuzi TV maswali 2 mazito na waandishi wengine nguli wauliza maswali magumu kupata ni nini G55 kinasimamia, wakati muda wote kundi hilo lilisema hakuna mazingira huru ya kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi mkuu, kuenguliwa, kutangazwa

View attachment 3294958
Picha : Kundi la G55 la CHADEMA

Waandishi warejea historia ya CHADEMA toka 2019, 2020, 2024 uchaguzi wa TAMISEMI na sasa nini kimebadilika 2025 katika nyakati ya hizi kiasi mna matumaini kuwa G55 CHADEMA inaweza kushawishi uchaguzi mkuu wa 2025 ni tofauti ni mingine iliyobatizwa Uchafuzi wa Chaguzi ...

Aliyeomba pesa nje ni Maria Sarungi. Ameomba pesa kwa jina lake na si Chama. Kila anachoambiwa Lissu na Maria anakubali, hapingi kwakuwa anajua atakosa mgao kwa ajili ya chama. Maria Sarungi ni nani CHADEMA?.

Alimwambia amrudishe Dr Slaa akakubali, sasa amemtaka amfukuze Catherine Ruge, amekubali pia. Haya.
 
Taka taka kutoka kwa parody la luhanga mpina
 
Aliyeomba pesa nje ni Maria Sarungi. Ameomba pesa kwa jina lake na si Chama. Kila anachoambiwa Lissu na Maria anakubali, hapingi kwakuwa anajua atakosa mgao kwa ajili ya chama. Maria Sarungi ni nani CHADEMA?.

Alimwambia amrudishe Dr Slaa akakubali, sasa amemtaka amfukuze Catherine Ruge, amekubali pia. Haya.
Na Abdul ni nani?
 
Mrema kanichekesha eti No Reform No Election ilimaanisha kuleta makundi pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Dadeki kweli Lissu aongeze dozi watu wanadata huku! Walizoea udalali saivi kipele kimepata mkunaji asiyetania.🤣🤣🤣🤣
yaani ni mbutambuta mbelekwambele
 
Aliyeomba pesa nje ni Maria Sarungi. Ameomba pesa kwa jina lake na si Chama. Kila anachoambiwa Lissu na Maria anakubali, hapingi kwakuwa anajua atakosa mgao kwa ajili ya chama. Maria Sarungi ni nani CHADEMA?.

Alimwambia amrudishe Dr Slaa akakubali, sasa amemtaka amfukuze Catherine Ruge, amekubali pia. Haya.
no reforms no election
 
Matapeli wa kisiasa mnashughulikiwa kila upande kumbafu wewe
Mnakuja na vunyuzi uchwara kuchonganisha serikali na wananchi wake
Kumbe gizani mnakula pesa ya utapeli
Wewe unakula pesa ya Maria Sarungi, malaya anayeishi Kenya??
 
Back
Top Bottom