29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,975
- 8,270
Nakula pesa ya mama ako unaeishi naeWewe unakula pesa ya Maria Sarungi, malaya anayeishi Kenya??
Tapeli wa kisiasa wew
Nakula pesa ya mama ako unaeishi naeWewe unakula pesa ya Maria Sarungi, malaya anayeishi Kenya??
Nakula pesa ya mama ako unaeishi naeNakula pesa ya mama ako unaeishi nae
Tapeli wa kisiasa wew
Hilo kundi la G55 chini ya Mbowe litapewa support yote na dola kama walivyopata Covid19 huko bungeni. Kilichotokea kwa CUF hadi Maalim Seif akahama na wafuasi wake, ndio hichohicho kinaenda kuikuta cdm sasa.Hiki ni kikundi cha Mbowe chini ya ufadhili wa CCm
View: https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quw
Baada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi huo ni wa chama:
Chief Odema wa Star TV , John Marwa wa Jambo TV maswali 5 magumu , Humphrey wa Michuzi TV maswali 2 mazito na waandishi wengine nguli wauliza maswali magumu kupata ni nini G55 kinasimamia, wakati muda wote kundi hilo lilisema hakuna mazingira huru ya kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi mkuu, kuenguliwa, kutangazwa
View attachment 3294958
Picha : Kundi la G55 la CHADEMA
Waandishi warejea historia ya CHADEMA toka 2019, 2020, 2024 uchaguzi wa TAMISEMI na sasa nini kimebadilika 2025 katika nyakati ya hizi kiasi mna matumaini kuwa G55 CHADEMA inaweza kushawishi uchaguzi mkuu wa 2025 ni tofauti ni mingine iliyobatizwa Uchafuzi wa Chaguzi ...
Wacha kukashifu watu kwa chuki zako za kishamba, malaya alishakuuzia K ?Wewe unakula pesa ya Maria Sarungi, malaya anayeishi Kenya??
Kwa mtizamo wangu nahisi hao jamaa walikuwa machawa wa Mbowe na sasa inawezekana Mbowe kaamua ajikite kwenye biashara zake na mambo yake mengine binafsi sasa hao wa jamaa maisha yamekuwa magumu inabidi wajitoe ufahamu. Na ukitaka kujua kuwa njaa mbaya wanajifanya hata hawajui "no reform no elections" imetoka wapi wakati walipitisha wenyewe kwenye vikao na wao wakiwa sehemu ya wajumbe wa hivyo vikao.Hiki ni kikundi cha Mbowe chini ya ufadhili wa CCm
Ndiyo alishaniuzia !! Kwani na wewe unataka? Nenda NairobiWacha kukashifu watu kwa chuki zako za kishamba, malaya alishakuuzia K ?
No reforms no election👿👿Mrema kanichekesha eti No Reform No Election ilimaanisha kuleta makundi pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dadeki kweli Lissu aongeze dozi watu wanadata huku! Walizoea udalali saivi kipele kimepata mkunaji asiyetania.🤣🤣🤣🤣
I second you brotherHiki ni kikundi cha Mbowe chini ya ufadhili wa CCm
He is smart! amewajibu vizuri sana!
Lissu alionywa kuyaleta makundi pamoja akapuuuza angeweka Roadmap kwa hilo,leadership maturity inatakiwa sana kwa hatua hii siyo ubabe chama ndiyo mwisho wake
Vijana wa nyama na pombe za bureNakula pesa ya mama ako unaeishi nae
Tapeli wa kisiasa wew
ew