Mrema kanichekesha eti No Reform No Election ilimaanisha kuleta makundi pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inanikumbusha mbali sana, wakati ule yule jamaa alikumbana na kibatala akaomba ruhusa kwenda msalani, sasa sijui alikwenda kumeza dawa au laa
Hao madogo hawakuomba ruhusa kweli
Very soon somo litawaingiaMrema kanichekesha eti No Reform No Election ilimaanisha kuleta makundi pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dadeki kweli Lissu aongeze dozi watu wanadata huku! Walizoea udalali saivi kipele kimepatq mkunaji asiyetania.🤣🤣🤣🤣
PsyOp yaani Psychological Operation kwa kifupi propaganda ya chama dola kongwe tawala CCM imeharibu uwezo wa bongo za wanasiasa wa kundi la G55 la CHADEMA kuamini kuwa ni lazima washiriki uchaguzi usio huru wa 2025 bila mabadiliko, ikidaiwa uchaguzi ni suala la matakwa ya Katiba ya nchi na kuwa kinyume na hapo ni uasi
Aliyeomba pesa nje ni Maria Sarungi. Ameomba pesa kwa jina lake na si Chama. Kila anachoambiwa Lissu na Maria anakubali, hapingi kwakuwa anajua atakosa mgao kwa ajili ya chama. Maria Sarungi ni nani CHADEMA?.
View: https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quwBaada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi huo ni wa chama:
Chief Odema wa Star TV , John Marwa wa Jambo TV maswali 5 magumu , Humphrey wa Michuzi TV maswali 2 mazito na waandishi wengine nguli wauliza maswali magumu kupata ni nini G55 kinasimamia, wakati muda wote kundi hilo lilisema hakuna mazingira huru ya kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi mkuu, kuenguliwa, kutangazwa
View attachment 3294958
Picha : Kundi la G55 la CHADEMA
Waandishi warejea historia ya CHADEMA toka 2019, 2020, 2024 uchaguzi wa TAMISEMI na sasa nini kimebadilika 2025 katika nyakati ya hizi kiasi mna matumaini kuwa G55 CHADEMA inaweza kushawishi uchaguzi mkuu wa 2025 ni tofauti ni mingine iliyobatizwa Uchafuzi wa Chaguzi ...
Mbowe mjasiriamali mzuri tu nskumbka kuna siku bibi faiza foxy aliandika mbowe ni pandikizi la ccm pale chademaHiki ni kikundi cha Mbowe chini ya ufadhili wa CCm
Taka taka kutoka kwa parody la luhanga mpinaAliyeomba pesa nje ni Maria Sarungi. Ameomba pesa kwa jina lake na si Chama. Kila anachoambiwa Lissu na Maria anakubali, hapingi kwakuwa anajua atakosa mgao kwa ajili ya chama. Maria Sarungi ni nani CHADEMA?.
Alimwambia amrudishe Dr Slaa akakubali, sasa amemtaka amfukuze Catherine Ruge, amekubali pia. Haya.
Na Abdul ni nani?Aliyeomba pesa nje ni Maria Sarungi. Ameomba pesa kwa jina lake na si Chama. Kila anachoambiwa Lissu na Maria anakubali, hapingi kwakuwa anajua atakosa mgao kwa ajili ya chama. Maria Sarungi ni nani CHADEMA?.
Alimwambia amrudishe Dr Slaa akakubali, sasa amemtaka amfukuze Catherine Ruge, amekubali pia. Haya.
Imekugusa siyo!! Basi ujumbe umefikaTaka taka kutoka kwa parody la luhanga mpina
yaani ni mbutambuta mbelekwambeleMrema kanichekesha eti No Reform No Election ilimaanisha kuleta makundi pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dadeki kweli Lissu aongeze dozi watu wanadata huku! Walizoea udalali saivi kipele kimepata mkunaji asiyetania.🤣🤣🤣🤣
no reforms no electionAliyeomba pesa nje ni Maria Sarungi. Ameomba pesa kwa jina lake na si Chama. Kila anachoambiwa Lissu na Maria anakubali, hapingi kwakuwa anajua atakosa mgao kwa ajili ya chama. Maria Sarungi ni nani CHADEMA?.
Alimwambia amrudishe Dr Slaa akakubali, sasa amemtaka amfukuze Catherine Ruge, amekubali pia. Haya.
Matapeli wa kisiasa mnashughulikiwa kila upande kumbafu weweImekugusa siyo!! Basi ujumbe umefika
Wewe unakula pesa ya Maria Sarungi, malaya anayeishi Kenya??Matapeli wa kisiasa mnashughulikiwa kila upande kumbafu wewe
Mnakuja na vunyuzi uchwara kuchonganisha serikali na wananchi wake
Kumbe gizani mnakula pesa ya utapeli