Maswali magumu ya waandishi kwa G55 ya CHADEMA

Hiki ni kikundi cha Mbowe chini ya ufadhili wa CCm
Hilo kundi la G55 chini ya Mbowe litapewa support yote na dola kama walivyopata Covid19 huko bungeni. Kilichotokea kwa CUF hadi Maalim Seif akahama na wafuasi wake, ndio hichohicho kinaenda kuikuta cdm sasa.

Haya ni madhara ya kuwa na viongozi wa muda mrefu kwenye hivi vyama vya upinzani, ambao hugeuza vyeo vyao kama sehemu ya kuvuna maslahi binafsi toka ccm.
 
Lissu alionywa kuyaleta makundi pamoja akapuuuza angeweka Roadmap kwa hilo,leadership maturity inatakiwa sana kwa hatua hii siyo ubabe chama ndiyo mwisho wake
 
 

Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Kundi la G-55 ni ubunifu wa huyu hapa
 

Attachments

  • FB_IMG_1743955210578.jpg
    32.6 KB · Views: 21
Hiki ni kikundi cha Mbowe chini ya ufadhili wa CCm
Kwa mtizamo wangu nahisi hao jamaa walikuwa machawa wa Mbowe na sasa inawezekana Mbowe kaamua ajikite kwenye biashara zake na mambo yake mengine binafsi sasa hao wa jamaa maisha yamekuwa magumu inabidi wajitoe ufahamu. Na ukitaka kujua kuwa njaa mbaya wanajifanya hata hawajui "no reform no elections" imetoka wapi wakati walipitisha wenyewe kwenye vikao na wao wakiwa sehemu ya wajumbe wa hivyo vikao.

Aisee nikiwaangalia hao jamaa ndio naamini ule msemo kuwa nitampiga mchungaji wa kondoo na kondoo (hapo weka neno chawa badala ya kondoo) wote watatawanyika. Na huu ni mwanzo tu kadri siku zinavyoenda tutazidi kuwaona wakijitoa ufahamu zaidi.
 
Ukisikia ushirikina ndo huu sasa, huyu jamaa kumbe zero brain namna hii.

LIssu mpeni kazi huyu jamaa - ni njaa tu inamsumbua.
 
No reforms no election👿👿
 
He is smart! amewajibu vizuri sana!

Amepuyanga Sana. Halafu wao wanataka chama kishiriki basi. Halafu huyo mrema hata uwezo wa kampeni Hana. Mwaka 2010 alipigwa Chini Vunjo Tena akawa wa tatu.
 
Lissu alionywa kuyaleta makundi pamoja akapuuuza angeweka Roadmap kwa hilo,leadership maturity inatakiwa sana kwa hatua hii siyo ubabe chama ndiyo mwisho wake

Ipo Kamati ya wazee inashughulikia Hilo. Ila inaonekana Kun watu wanatafuta vijisababu vidovidogo ili kumyumbisha Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…