Maswali na Majibu kuhusu Kitabu cha Mohamed Said

Mengi sana, kwa mfano, kuna majina ya watu wengi tu humo nilikuwa siyajui; pia sikuwa najua kuhusu 'majungu' dhidi ya 'wasauzi' wa dar ila hilo limeniletea swali la (8), niko mbali na kitabu hivyo nitaliuliza baadaye maana nataka kuweka nukuu.

Udadisi,

Majuingu hayakuwa kwa Wazulu peke yao.

Majungu yalikuwa kwa wote ''wakuja.''
Wazulu, Wamanyema na Wanubi.

Wazulu akina Kleist Sykes, Thomas Plantan na ndugu zake.
Wamanyema akina Mzee bin Sudi, Salum Abdallah, Sheikh Hussein Juma.

Wanubi akina Ibrahim Hamisi.

Waliokuwa wakiwachimba ni Warufiji, Wazaramo, Wangindo nk.
 
Naam, hapo ndipo kwenye swali langu la nane, 'wakuja' Fiah alikuwa anawaona wenzake ni 'wakuja' zaidi? Rejea:

8. "Abdulwahid also came to learn that his former opponent for the union post and his father's political adversary, Erika Fiah, was instigating the union leadership to overthrow 'that South African son of Kleist'" (p. 75)

"Like all politicians of his time, Fiah was a Pan-Africanist first and a nationalist second" (p. 68)
 
Mdadisi unataka mie ndiye nimjibie Fiah vipi yeye alijiona mzalendo kushinda wahamiaji wenzake. Sitoweza. Mie sijui kila kitu.
 
Sawa, ila natatizika kidogo maana ukurasa wa 68 umesema alikuwa Mmajumui wa Afrika kwanza ila hapo ukurasa wa 75 umeweka nukuu kuonesha hakika alisema hayo maneno yanayoashiria vinginevyo , imetoka wapi hiyo nukuu?
 
Mdadisi ikiwa sasa niko mahakamani utanipa kazi kubwa nirudi katika nyaraka ambazo hata sijui leo ziko wapi. Ila kwa haraka ni kuwa Kleist na Fiah walikuwa maadui. Inawezekana hiyo ndiyo ikawa sababu ya Fiah kubadili msimamo wake.
 
Karibu kwenye ukurasa wa maswali na majibu kuhusu Kitabu cha 'The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The Untold Story of the Muslim Struggles Against British Colonialism in Tanganyika'. Ukurasa huu ni tofauti na ile mingine hivyo tunaomba isiunganishwe. Hapa tunajikita katika kuhakiki maandishi halisi yaliyomo humo ili kukiboresha kitabu n.k.

Hivyo, ni ukurasa unaoratibiwa. Nitakuwa naweka maswali yanayohitaji ufafanuzi/uthibitisho. Tuanze na hayo hapo chini.

1. "Aziz Ali Dosa was the first African to own a car and was always chauffer driven" (p. 30)

2. "The two [Kleist Sykes and Aziz Ali] were the only Africans in Dar es Salaam permitted by the government to drink beer" (p. 31)

3. "The Germans halted fighting [in World War 1] throughout Tanganyika for seven days in honour of Affendi Plantan [a.k.a. "Mohosh", "Chief of the Imhambane" and husband of "Sykes Mbuwane's sister"] (p. 35)

4. "In a strange twist of fate, Abdulwahid's driver [?] in Burma came to be one of the top brass in the Tanganyikan army" (p. 55)

5. "It was here [Imphal, Burma] on Christmas eve of 1945 that Abdulwahid and other askaris, including his young brother Ally and James Mkande, made a pact to found a political party when they returned home after the war...The name of the party was to be Tanganyika African National Union (TANU). Ally Sykes remembers that Abdulwahid wrote the name of the proposed party in his diary" (p. 57-58)

6. "he [Abdulwahid], certainly no match for [Erika] Fiah" (p. 69)

7. "Stanley [Street] (called Aggrey Street after independence in honour of Dr Aggrey, and later to be renamed Makisi Mbwana Street after one of the founding fathers of TANU" (p. 71)

Mdadisi,
Kuhusu dereva wa Abdulwahid Sykes Burma.

Huyu wakati naandiika alikuwa hai na cheo kikubwa katika JWT nikaona uzito
kuweka jina lake.

Hata leo sioni umuhimu wa kulitaja jina hilo ingawa amefariki.
Ila nitakupa ''hint'.'

Huyu mtu anatoka Musoma.
 
Na huu hapo chini ni uthibitisho wa jinsi navyouheshimu mchango wa Mohamed Said, sasa nakisoma tena hicho kitabu na kila napokutana na hivyo vitu ambavyo vinanitatiza naviuliza hapa, na sio lazima ajibu yeye tu, wengine mnaojua jibuni pia.

"With slight modification the same argument can be extended to Mohamed Said’s (1998) Abdulwahid Sykes (924-968): The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika. Nyerere and Sykes were both elites as far as their social status in the colonial context and political position in the struggle for independence were concerned, however, one became marginalized in the nationalist historiography presumably because he belonged to a religious group that was ostensibly being forced into becoming a subaltern category" - http://udadisi.blogspot.com/2013/10/nationalist-historiography-of.html

cc: Mohamed Said
Udadisi,

Nimesoma hiyo blogspot yako, naona wewe mwenywewe umejitambulisha tu kama Chambi, hakuna picha wala profile yako. Makala zako ziko anonymous and yet unafyonza kwenye intelectual peoperties za watu na kufanya tahakiki.

Sasa ndugu yangu ona hapo wewe kama ni mwandishi au researcher huoni kuna kasoro hapo. Mimi hapo nina mashaka nawe na hiyo unayoifanya sidhani kama it is with good intention.
 
Last edited by a moderator:

usidhani, tafiti zaidi
 
Mdadisi,
Kuhusu dereva wa Abdulwahid Sykes Burma.

Huyu wakati naandiika alikuwa hai na cheo kikubwa katika JWT nikaona uzito
kuweka jina lake.

Hata leo sioni umuhimu wa kulitaja jina hilo ingawa amefariki.
Ila nitakupa ''hint'.'

Huyu mtu anatoka Musoma.

Mpaka leo, katika hizi enzi za baada ya Nyerere, bado unaona "uzito" kulitaja hilo jina?
 
Karibu kwenye ukurasa wa maswali na majibu kuhusu Kitabu cha 'The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The Untold Story of the Muslim Struggles Against British Colonialism in Tanganyika'. Ukurasa huu ni tofauti na ile mingine hivyo tunaomba isiunganishwe. Hapa tunajikita katika kuhakiki maandishi halisi yaliyomo humo ili kukiboresha kitabu n.k.

Hivyo, ni ukurasa unaoratibiwa. Nitakuwa naweka maswali yanayohitaji ufafanuzi/uthibitisho. Tuanze na hayo hapo chini.

1. "Aziz Ali Dosa was the first African to own a car and was always chauffer driven" (p. 30)

2. "The two [Kleist Sykes and Aziz Ali] were the only Africans in Dar es Salaam permitted by the government to drink beer" (p. 31)

3. "The Germans halted fighting [in World War 1] throughout Tanganyika for seven days in honour of Affendi Plantan [a.k.a. "Mohosh", "Chief of the Imhambane" and husband of "Sykes Mbuwane's sister"] (p. 35)

4. "In a strange twist of fate, Abdulwahid's driver [?] in Burma came to be one of the top brass in the Tanganyikan army" (p. 55)

5. "It was here [Imphal, Burma] on Christmas eve of 1945 that Abdulwahid and other askaris, including his young brother Ally and James Mkande, made a pact to found a political party when they returned home after the war...The name of the party was to be Tanganyika African National Union (TANU). Ally Sykes remembers that Abdulwahid wrote the name of the proposed party in his diary" (p. 57-58)

6. "he [Abdulwahid], certainly no match for [Erika] Fiah" (p. 69)

7. "Stanley [Street] (called Aggrey Street after independence in honour of Dr Aggrey, and later to be renamed Makisi Mbwana Street after one of the founding fathers of TANU" (p. 71)

Mdadisi,
Kuhusu TANU na Abdulwahid Kalieni Camp, India baada ya Vita Kuu
ya Pili wakati wanasubiri kurudhishwa Tanganyika hili wala si kubwa.

Labda ungeniuliza jinsi alivyowaoganaizi askari wa Burma Infantry 6
Battalion wengi wao wakiwa kutoka Tanganyika na kuwaambia kuwa
wakirudi nyumbani waanzishe chama cha siasa.

Labda swali lako lingeanzia hapo.

Au ukipenda uanze na baba yake Kleist Sykes na kuasisi African
Association mwaka wa 1929 na Al Jamiatul Islamiyya 1933 fi Tanganyika
vyamaviwili ambavyo ndivyo vilivyokuja kutoa uongozi katika TANU 1954.

Mdadisi,

Pole sana najua shida na tabu iliyokufika na hii si wewe peke yako.

Unawaza vipi mbona historia imerokodi Nyerere ndiye aliyeanzisha TANU?
Mbona kwa miaka hii yote haya asemayo Mohamed Said hayakufahamika?

Mimi msimamo wangu siku zote umekuwa kuwa inawezekana Nyerere alikuwa
na TANU katika kichwa chake toka yuko Butiama.

Hili halina tatizo, tatizo ni pale ''version'' nyingine ya TANU hii ya Abdu Sykes
inapopigwa vita.
 
Karibu kwenye ukurasa wa maswali na majibu kuhusu Kitabu cha 'The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The Untold Story of the Muslim Struggles Against British Colonialism in Tanganyika'. Ukurasa huu ni tofauti na ile mingine hivyo tunaomba isiunganishwe. Hapa tunajikita katika kuhakiki maandishi halisi yaliyomo humo ili kukiboresha kitabu n.k.

Hivyo, ni ukurasa unaoratibiwa. Nitakuwa naweka maswali yanayohitaji ufafanuzi/uthibitisho. Tuanze na hayo hapo chini.

1. "Aziz Ali Dosa was the first African to own a car and was always chauffer driven" (p. 30)

2. "The two [Kleist Sykes and Aziz Ali] were the only Africans in Dar es Salaam permitted by the government to drink beer" (p. 31)

3. "The Germans halted fighting [in World War 1] throughout Tanganyika for seven days in honour of Affendi Plantan [a.k.a. "Mohosh", "Chief of the Imhambane" and husband of "Sykes Mbuwane's sister"] (p. 35)

4. "In a strange twist of fate, Abdulwahid's driver [?] in Burma came to be one of the top brass in the Tanganyikan army" (p. 55)

5. "It was here [Imphal, Burma] on Christmas eve of 1945 that Abdulwahid and other askaris, including his young brother Ally and James Mkande, made a pact to found a political party when they returned home after the war...The name of the party was to be Tanganyika African National Union (TANU). Ally Sykes remembers that Abdulwahid wrote the name of the proposed party in his diary" (p. 57-58)

6. "he [Abdulwahid], certainly no match for [Erika] Fiah" (p. 69)

7. "Stanley [Street] (called Aggrey Street after independence in honour of Dr Aggrey, and later to be renamed Makisi Mbwana Street after one of the founding fathers of TANU" (p. 71)

Mdadisi,

Kuhusu suala la sita.

Abdu Sykes alikuwa ni kijana mdogo sana kwa Erika Fiah.

Fiah wa kupambananae alikuwa Kleist na kwa hakika walikuwa ni chui na paka
kiasi kwamba mwaka 1933 Kleist alisusa uongozi wa wa African Association kwa
ajili ya vijembe vya Fiah katika gazeti lake ''Kwetu.''

Kleist hakurudi kuongoza AA hadi alipoombwa kwa barua na rais wa wakati
ule wa AA Mzee bin Sudi arejee kwenye uongozi.

Kuna barua ambayo Kleist kaiandika akianza na ''Bismillah Rahman Rahim...,''
kujibu barua ya Mzee bin Sudi akimkubalia kurekea katika AA.

Haya nimekueleza ili kukuonyesha utu uzima wa viongozi hawa ambao
Abdu kwao alikuwa bado kijana mdogo hata kwa mazingira yale ya 1949.

Silaha kubwa aliyokuwa anaitegemea Abdu katika uongozi wakati ule ilikuwa
jina la baba yake.

Utakuta mengi ya Abdu katika sakata la Dar es Salaam Dockworkers Union
akiwa Secretary General.

Waingereza hawakumpenda Fiah kwa ajili ya msimamo wake akiwapinga na
kuwaandikia tahariri kali katika gazeti lake la ''Kwetu,''
 
Karibu kwenye ukurasa wa maswali na majibu kuhusu Kitabu cha 'The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The Untold Story of the Muslim Struggles Against British Colonialism in Tanganyika'. Ukurasa huu ni tofauti na ile mingine hivyo tunaomba isiunganishwe. Hapa tunajikita katika kuhakiki maandishi halisi yaliyomo humo ili kukiboresha kitabu n.k.

Hivyo, ni ukurasa unaoratibiwa. Nitakuwa naweka maswali yanayohitaji ufafanuzi/uthibitisho. Tuanze na hayo hapo chini.

1. "Aziz Ali Dosa was the first African to own a car and was always chauffer driven" (p. 30)

2. "The two [Kleist Sykes and Aziz Ali] were the only Africans in Dar es Salaam permitted by the government to drink beer" (p. 31)

3. "The Germans halted fighting [in World War 1] throughout Tanganyika for seven days in honour of Affendi Plantan [a.k.a. "Mohosh", "Chief of the Imhambane" and husband of "Sykes Mbuwane's sister"] (p. 35)

4. "In a strange twist of fate, Abdulwahid's driver [?] in Burma came to be one of the top brass in the Tanganyikan army" (p. 55)

5. "It was here [Imphal, Burma] on Christmas eve of 1945 that Abdulwahid and other askaris, including his young brother Ally and James Mkande, made a pact to found a political party when they returned home after the war...The name of the party was to be Tanganyika African National Union (TANU). Ally Sykes remembers that Abdulwahid wrote the name of the proposed party in his diary" (p. 57-58)

6. "he [Abdulwahid], certainly no match for [Erika] Fiah" (p. 69)

7. "Stanley [Street] (called Aggrey Street after independence in honour of Dr Aggrey, and later to be renamed Makisi Mbwana Street after one of the founding fathers of TANU" (p. 71)

Mdadisi,

Dk. Kwegyir Aggrey ndiyo aliyemshauri Kleist Sykes aanzishe African Association
alipokuja Tanganyika mwaka 1924.

Sijajua unataka kufahamu nini zaidi hapa.

Habari hizi zipo kwenye mswada wa Kleist na ukitaka taarifa zaidi iko semina paper
ya Daisy Sykes, ''The Life of Kleist Sykes,'' East Africana, Maktaba ya Chuo Kikuu
Cha Dar es Salaam.

Mzee Makisi Mbwana alikuwa kiongozi wa Uzaramo Union ni mmoja wa wazee mashuhuri
wa Dar es Salaam katika wakati wake.
 
Barabara ya Aggrey si bado ipo Dar?
 
9. "Kleist served on the Dar es Salaam Municipal Council, the second African to do so in colonial Tanganyika...He joined the Chamber of Commerce and was probably the first African to do so" (p. 80)

10. "Among the members of the [TAA Political Subcommittee, 1950] Abdulwahidi was the only person representing a multiplicity of interests" (p. 81)
 
Back
Top Bottom