Maswali na Majibu kuhusu Kitabu cha Mohamed Said

11. "[TAA memorandum to the Constitutional Development Committee] surfaced at the TANU founding conference on 7th July, 1954 and was to form the basis of Julius Nyerere's speech before the Trusteeship Council of the United Nations in New York in March 1955" (p. 92)

12. "There are old men, TANU veterans, who believe to this day that the March 1955 speech by Julius Nyerere before the Trusteeship Council was written by Abdulwahid, and, so was the constitution of Tanganyika. The author has come across this story several times in his interviews with early members of TANU. The reason for this belief is that the document was drafted by the TAA Political Subcomittee in 1950" (p. 92)

Mdadisi,
Bahati mbaya sana unakwenda kule kule hata hao waliokuta hilo walikukimbia
na hadi wanaaingia kaburini na kitabu wamesoma walikaa kimya.

Hukupata kusikia au kusoma hayo unayoona katika kitabu changu.
Kwa nini hutosheki na hayo?
 
Mdadisi huelekei kama umekuja kupiga goti kusoma kwangu. Wewe umekuja kuwaonyesha watu kuwa mimi si lolote.
 
Udadisi

Nikushukuru kuurudisha mjadala wa mwaka jana katika mfumo tofati lengo likiwa kuboresha historia na sio kubeza jumla kazi ya mzee wetu Mohamed Said,

Nipo nae kwenye mtandao mwingine wa MF tunayahadili yakufanana na hayahaya, nitakuwa mtulivu hapa nikifuatilia majibu ya mzee wetu huyo japo ana tatizo la asili lakutokujibu maswali na kuweka rejea za yaleyale tunayomhoji, ninachokushukuru nikuwa mbinu uliyotumia kujenga maswali hayo umefungailango ya yeye kujibu kwakuleta links zake.
 
Last edited by a moderator:
Mdadisi huelekei kama umekuja kupiga goti kusoma kwangu. Wewe umekuja kuwaonyesha watu kuwa mimi si lolote.

Imekuwaje tena mzee wangu? Ndio nimevuka ukurasa wa 100 sasa na maswali/masuala yanayohitaji uhakiki/uthibitisho ni 12 tu? Mkuu huoni hii inadhihirisha kuwa uko juu? Kama kweli wewe sio lolote si ningekuwa zaidi ya maswali 100 hadi sasa?

Kwa nini unakuwa na hofu kuwa nia yangu ni kuwaonyesha watu kuwa wewe si lolote? Ungekuwa si lolote Mzee si tungetupa kitabu chako jalalani? Naam kama ungekuwa si lolote si tungeacha kukitumia kitabu chako kama rejea kwenye tafiti zetu?
 
Wanaukumbi,
Eleweni kuwa siko katika mjadala na yeyote ila huchangia pale nionapo kosa.
 
Mdadisi huelekei kama umekuja kupiga goti kusoma kwangu. Wewe umekuja kuwaonyesha watu kuwa mimi si lolote.

Mzee Said inaelekea umezoea ile mijadala ya wewe kusikilizwa tu na kupigiwa makofi (I could be wrong on that). Lakini siku zote mada ikianzishwa humu jamvini hata uliyoianzisha mwenyewe akitokea mtu kutaka ufafanuzi wa kina au ushahidi timilifu lazima tafuta tafuta ianze wewe ni nani? una msimamo gani kwenye hili na lile, umetumwa?????? Sasa huo si utaratibu mzuri na unadunisha mjadala.

Kumbuka katika mijadala inayokuhusu una wapiga makofi wako permanently, hawa umeandika mstari mmoja tayari wameshaanza kushangilia eti wanafyonza ilm. Lakini pia kuna watazamaji/wasikilizaji na pia wanaotaka kujifunza kupitia critiques. Sasa hizi presumptions za uswahili, wewe si chochote, au unakejeliwa zinakuwa hazina mashiko usipozijengea hoja. I believe you are far much bigger than that hayo ungewaachia vijana wako.
 
Mnyepe,
Mie nimeathirika sana na hasad ya watu hawa.

Ikiwa mie nimeandika historia ya uongo nini kinachowazuia
wao kuandika ukweli ulivyokuwa?

Imekuwa wao kunichokonoa kila kukicha kiasi sasa naghadhibika.
 
Mzee Said inaelekea umezoea ile mijadala ya wewe kusikilizwa tu na kupigiwa makofi (I could be wrong on that). Lakini siku zote mada ikianzishwa humu jamvini hata uliyoianzisha mwenyewe akitokea mtu kutaka ufafanuzi wa kina au ushahidi timilifu lazima tafuta tafuta ianze wewe ni nani? una msimamo gani kwenye hili na lile, umetumwa?????? Sasa huo si utaratibu mzuri na unadunisha mjadala.

Kumbuka katika mijadala inayokuhusu una wapiga makofi wako permanently, hawa umeandika mstari mmoja tayari wameshaanza kushangilia eti wanafyonza ilm. Lakini pia kuna watazamaji/wasikilizaji na pia wanaotaka kujifunza kupitia critiques. Sasa hizi presumptions za uswahili, wewe si chochote, au unakejeliwa zinakuwa hazina mashiko usipozijengea hoja. I believe you are far much bigger than that hayo ungewaachia vijana wako.

Cool running unaongea na mtu mzima tena mwenye busara sana kuliko unavyomfikiria. Ni vyema kama unaitaji elimu maneno yenye muelekeo ya kupotosha au kejeli yakaepukwa ili kuendeleza mjadala huu. Mimi nipo kitambo katika mjadala huu nafuatilia kwa makini na sipendi ufungwe bali nataka niendelee kupata ujuzi wa historia ya nchi yangu.
 
Chamviga,
Ahsante sana.

Ndugu zetu wanachomwa sana na historia hii kama vile Mjerumani Krapf
alivyochomwa na ustaarabu wa Chifu Kimweri alipomkuta Vuga.

Kamkuta Kimweri na wanae wote wanajua kusoma na kuandika na waungwana.
Krapf kaja kukutana na ''washenzi'' anakutana na wastaarabu.

Hii saikolojia bado wanayo hawa ndugu zetu.
Duniani kote nilikoalikwa kuhadhir Alhmadulilah nimepongezwa na kupigiwa makofi.

Cha ajabu kipi hapa JF?
 
Mpaka hapo sijafahamu aidha unalalamika au unanitisha, nilichokiongea ni straight forward, naomba tu nikufahamishe kuwa namfahamu mzee Saidi kwa karibu sana kuliko unavyofikiri na pia namuheshimu. BTW did i mention in any how kuwa mjadala ufungwe au usitishwe?
 
Mzee wangu mimi ninachompongeza bwana Udadisi ni pale aliposema sasa yumo ukurasa wa 80 lakini maswali yake bado hayajazidi kumi(10) kuhusu kitabu chako dalili kwamba anakubaliana na asilimia 90 ya maandishi yako. Ninachowashangaa ni hawa ndugu zetu wanaosema hata kama bado hawajasoma kitabu chako lakini kwa mjadala huu tayari wameshapata picha halisi(-ve na +ve) wakirely zaidi ktk negative. Mimi kwa ufahamu wangu mdogo hakuna mwandishi anaenda weza kutengeneza kitabu/makala/majarida n.k ikakosa makosa madogo madogo na kuteleza. Ila yeye kukubaliana na wewe ni dalili ya kuwa kitabu chako kipo vizuri kwakiasi kikubwa. Hao wachache wanaoona kuna madhaifu yakukufanya uandike chapisho lingine wao bora wangeandika vyakwao ili kucritisize chakwakwo na ndio njia wasomi wanapaswa kufanya.
 
Last edited by a moderator:
Mpaka hapo sijafahamu aidha unalalamika au unanitisha, nilichokiongea ni straight forward, naomba tu nikufahamishe kuwa namfahamu mzee Saidi kwa karibu sana kuliko unavyofikiri na pia namuheshimu. BTW did i mention in any how kuwa mjadala ufungwe au usitishwe?

Ok twende pamoja katika kufuatilia mnakasha huu.
 
Cool running unaongea na mtu mzima tena mwenye busara sana kuliko unavyomfikiria. Ni vyema kama unaitaji elimu maneno yenye muelekeo ya kupotosha au kejeli yakaepukwa ili kuendeleza mjadala huu. Mimi nipo kitambo katika mjadala huu nafuatilia kwa makini na sipendi ufungwe bali nataka niendelee kupata ujuzi wa historia ya nchi yangu.

Mkuu CHAMVIGA alichosema Huyo ndugu cool juu ya Mzee wetu Mohamed Said yuko sawa!

Kwanza Mzee Mohamed Said naweza sema ni mbaguzi na yuko Na zarau, niombe radhi kwa kusema hivi Lkn imebidi niseme! Huyu Mzee akiona ameulizwa swala na hasa mtu km Yeye anamhisi Kua ni mkristo Au CDM basi Huyu Mzee hajibu kabisa ata km mada awe ameanzisha Yeye!

Kwa mfano kuna mada alianzisha hapa JF iliyokua Inahusu mambo ya kule Vijijini vya lwande kule tanga kwamba ni ugaidi Au ni vita dhidi ya Uislam! Binafsi nilimuuliza maswali na wakati mwingine niliitaji awepo aje atoe maelezo Zaidi! Lkn hakufanya hivyo! Na hii inatokana na kiburi cha kuona Yeye ni bora Zaidi Au anaelewa Zaidi kuliko Wengine kitu ambacho anakosea! Na bahati mbaya akipata Watu wanamsapoti basi Yeye huona yuko sawa kumbe anapoteza Maana ya kile alicho nacho!

Niombe radhi kwa kusema hivi Lkn Huyu Mzee anapaswa kufaham kuna Watu Wana maoni mazuri km Yake ata km hawako sawa kiimani na kiitikadi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom