Dully mtoto mdogo unatuletea mifano ya watoto, teh teh teh.Kumbe, kusema ukweli mimi nilidhani 'watoto wa mjini' limetumika kwa maana ambayo Dully Sykes alilitumia kwenye mahojiano fulani (nadhani ni haya http://www.youtube.com/watch?v=ZzXyrhFjeBY); kama nilimsikia na kumwelea vizuri alisema kuna watoto wa mjini, yaani waliozaliwa mjini Dar es Salaam (Gerezani n.k.) kama yeye na watoto wa mjini wa miji mingine ya Tanzania au ambao wapo Dar es Salaam ila sio wazaliwa wa mjini hasa, ama kitu/tafsiri kama hicho/hiyo.
Unauliza suali halafu unajijibu mwenyewe kuwa familia ya Mwapachu walikuwa karibu na Nyerere, kisha unataka Mohamed Said akujibu nini tena, nakushauri ukitaka kupata historia nzuri ya Tanganyika tafuta kitabu cha historia kilichoandikwa Chuo cha Kivukoni.Ndugu zangu tuendelee na mjadala, ngoja leo niulize swali ambalo kwa kiasi kikubwa linatokana na kitabu jadidi cha Mzee wetu Mohamed Said japo hapa sitaweka nukuu ya moja kwa moja kutoka kwenye kitabu chake.
Kwenye hicho kitabu inaonekana Hamza Kibwana Mwapachu yuko/alikuwa karibu sana na msomi mwenzake wa enzi hizo Nyerere na kwa uelewa wangu watoto wake waliendelea kuwa karibu na Nyerere. Je, na yeye/wao waliminywa katika historia kama kina Abdulwahid Sykes na Dosa 'Benki' Aziz? Kwa nini? Hebu turejee kidogo hii nukuu kutoka kwa Juma V. Mwapachu:
Steeped in knowledge of law, constitutionalism and politics and immediately re-linking with his friend Nyerere in Tabora who was by then President of the Tabora TAA Branch but also preparing to leave for Edinburgh to pursue a degree course later that year, Hamza became the intellectual voice and conscience in TAA politics in Dar-es-Salaam.
...
For example, writing to Nyerere in Edinburgh in late 1951, Hamza noted his pleasure at discovering a brilliant young Paul Bomani in Mwanza who would be an important asset in our struggle
...
With the advent of Responsible Government in 1958, Hamza was transferred from the Local Government School, Mzumbe, Morogoro where he had become a close friend of Khalfan Mrisho Kikwete, President Jakaya Kikwetes father as well as of Cecil Kallaghe, later an Ambassador, to Dar-es-Salaam to become Nyereres first Personal Assistant as Chief Minister. What goes round comes round! Nyerere wanted his friend and confidant to be his principal advisor on the eve to Tanganyikas independence.
Then tragedy struck. Hamza began to develop a serious heart ailment in mid 1960. Hamza had been a chain smoker all his life. So indeed was Nyerere till Hamza died! Nyerere did all he could to save his friend. Hamza was sent to the best hospital in the world, Hammersmith Post Graduate Hospital in London where he underwent heart surgery. However, by September 1962, the weak heart could no longer withstand the continued work pressure and Hamzas ardent commitment to the service of his newly independent country. Hamza passed away at Princess Margaret Hospital, now Muhimbili National Hospital, on 17th September, 1962.
CHANZO: The Life and Times of Hamza Mwapachu | Vijana FM
Mdadisi, Kama kweli una nia ya kuboresha nakushauri kaboreshe kitabu cha Historia ya
TANU kilichoandikwa na Chuo Cha Kivukoni.
Unauliza suali halafu unajijibu mwenyewe kuwa familia ya Mwapachu walikuwa karibu na Nyerere, kisha unataka Mohamed Said akujibu nini tena, nakushauri ukitaka kupata historia nzuri ya Tanganyika tafuta kitabu cha historia kilichoandikwa Chuo cha Kivukoni.
Mnanichanganya
"After completing his primary education at the Mission of Rutabo, where he learned to read and write his native dialect, besides English, Latin, Italian and Swahili, Laurean [Rugambwa] entered the Regional Grand Seminary of Katigondo, Uganda, under the care of the White Fathers. Ordained to the Priesthood at 31 years of age on December 12, 1943, by Bishop Burkhard Huwiler M.Afr., he pursued further studies at the Scientific Missionary Institute De Propaganda Fide in Rome, Italy, between 1948 and 1951, obtaining a Doctorate Magna Cum Laude in Canon Law" - Cardinal Laurean Rugambwa (1912 - 1997) - Find A Grave Memorial
Bwana Udadisi,
Hivi Ilm/taaluma kama hii ya Kadinali Rugambwa,si ndo yashabihiana kama na ya yule Dr Padri Slaa,au!?
Amma kweli,"duniani ni waili waili"!
Ahsanta.
Bwana Udadisi,
Kwa jinsi mjadala huu uendavyo,nakhis utachanganyikiwa/"watakuchanganya" saana tu! Daah! Teeh! Teeh! Teeh!
Pole!
Ahsanta sana.
Mkuu nilijua tu kuna mtu atalileta hilo na kuanza kututoa nje ya mada, hapo hoja ni nani hasa alikuwa "the most educated African in the land" wakati huo - Nyerere, Rugambwa, Makwaia, Bantu, Mwindadi, Kibwana ama?
Unauliza suali halafu unajijibu mwenyewe kuwa familia ya Mwapachu walikuwa karibu na Nyerere, kisha unataka Mohamed Said akujibu nini tena, nakushauri ukitaka kupata historia nzuri ya Tanganyika tafuta kitabu cha historia kilichoandikwa Chuo cha Kivukoni.
Ritz,
Picha hii ilipigwa mwaka wa 1968.
Katika picha hii kuna vijana kutoka ukoo wa Tambaza, Sykes, Mwapachu na Mtemvu.
Wazee wa hao wote wameacha alama katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Inawezekanaje mimi nisiijue historia ya watu hawa na mchango wao katika kupigania uhuru
wa Tanganyika?
Mimi ni mmoja wa hao waliopo kwenye picha hiyo.
Ritz,
Picha hii ilipigwa katikati ya miaka ya 1950 wakati harakati za uhuru ziko moto sana.
Picha hii ilipigwa Mtoni kwenye shamba la Sheikh Abdallah Idd Chaurembo ambae kwenye picha ni huyo alievaa
hegal kakaa chini mkono wa kulia wa picha.
Mtafute Nyerere kwenye picha hii.
Mtafute Rupia kwenye picha hii.
Hawa unaowaona wamemzunguka Nyerere ndiyo waliokuwanaye wakati wa kupigania uhuru.
Hawa ndiyo wazee wetu waliokujasahauliwa na historia zao kufutwa.
Sharif kulia kwa JKN ni Bilal Mshorwa liwali kutoka Tabora na kulia Ahmed Saleh liwali Dar. Ntakufahamisha kuhusu Mangara Tabu.
Sheikh Mohamed Said
Ritz,
Picha hii ilipigwa mwaka wa 1968.
Katika picha hii kuna vijana kutoka ukoo wa Tambaza, Sykes, Mwapachu na Mtemvu.
Wazee wa hao wote wameacha alama katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Inawezekanaje mimi nisiijue historia ya watu hawa na mchango wao katika kupigania uhuru
wa Tanganyika?
Mimi ni mmoja wa hao waliopo kwenye picha hiyo.
Ritz,
Picha hii ilipigwa katikati ya miaka ya 1950 wakati harakati za uhuru ziko moto sana.
Picha hii ilipigwa Mtoni kwenye shamba la Sheikh Abdallah Idd Chaurembo ambae kwenye picha ni huyo alievaa
hegal kakaa chini mkono wa kulia wa picha.
Mtafute Nyerere kwenye picha hii.
Mtafute Rupia kwenye picha hii.
Hawa unaowaona wamemzunguka Nyerere ndiyo waliokuwanaye wakati wa kupigania uhuru.
Hawa ndiyo wazee wetu waliokujasahauliwa na historia zao kufutwa.