Hasiejua maana haambiwi maana!
Tayeb,
"Bwimbwi la Bint Baka utamuye aujua mwariye"!...Teeh! Teeh! Teeh!
Yaleyale ya..."John wa Mwinyiheri,kunyimwa "Chambi" na Hauye-Selemani Madondo! Duuh!
Ahsanta sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasiejua maana haambiwi maana!
asante kaka
Tayeb,
"Bwimbwi la Bint Baka utamuye aujua mwariye"!...Teeh! Teeh! Teeh!
Yaleyale ya..."John wa Mwinyiheri,kunyimwa "Chambi" na Hauye-Selemani Madondo! Duuh!
Ahsanta sana.
Wewe kweli Kituko halafu unataka kujibiwa majibu gani kama siyo ya kipuuzi.
Wapi Mohamed Said kataja mambo ya bia, ndiyo maana nakuambia unawashwa wewe si bure.
Alichoandika Mohamed Said na ulichoandika wewe tofauti, halafu nani kakuambia mimi mtoto wa mjini.kaka Mkubwa Ritz kumbe na wewe hujakisoma kitabu cha Mohamed Said, kwenye ukurasa wa 31 kinasema hivi
"The two [Kleist Sykes and Aziz Ali] were the only Africans in Dar es Salaam permitted by the government to drink beer"
sasa na wewe ni "mtoto" wa mjini, ndio nilikuwa naoma ufahamu na uelewa wako kuhusu hili
Kaka Kituko,mbona waleta vituko!?
Naona pana pahala umenitaja jina langu na kusingizia jambo!?...mbona wapenda kunionea na watakanizulia,jamani!?
Tafadhali,jitahidi usijekawa kama yule Remote!...mie mwenzio nakupenda mno na pia nakustahi!
Mie wala sina hiyo darja yenu ya "fundi Mwanamarundi"...mie hapa ni msomaji mtiifu tu!
Salaam zao!
Ahsanta.
Alichoandika Mohamed Said na ulichoandika wewe tofauti, halafu nani kakuambia mimi mtoto wa mjini.
Mimi na wewe tatizo letu kunitaja na kunisingizia upuuzi.
Hivi kuna mtu amekulazimisha kukiamini kitabu cha Mohamed Said, kama unaona mzee wako alikuwa serikalini kapunjwa muandikie kitabu tatizo lipo wapi.pole Kaka kama nimekukwaza, hebu nifafanulie Mzee Mohamed Said alikuwa anamaanisha nini?
Kituko !kama wewe unakiona hivyo (cha kijiweni) sawa, lakini mimi nakipa uzito, nimeyajua mengi kupitia hichi kitabu, ninakipa credit sana, ila kwenye walakini na mashaka ndio unahitajika ufafanuzi
Kituko !
Mbona unaleta rusha roho kwenye uzi wa maana kama huu!
Basi inekuwa kama wale wapiga ngoma za mchiriku!?
Hebu kuwa na nidhamu kidogo kijana!
Kituko dhumuni la jukwaa hili HURU ni kukupa wewe na mimi na yeyote yule haki ya kuchangia au kuuliza swali lolote ulitakalo!Kaka kahtaan,
huu ni uzi mzuri sana na ulianza kwa heshima sana, Mwanzisha ( Mdadisi )mada alitoa hoja nzuri na Mzee Mohamed Saidi alikuwa anajizibu kwa ufasaha sana, lakini pamoja na hayo palikuwa na maswali mengine yaliyokuwa yanazaliwa ndani ya majibu,
tatizo lililojitokeza ni kile kitendo cha mimi kutaka ufafanuzi huku nikiwamention baadhi ya wana JF wenzangu
ngoja niwe msomaji tu, japo kuna vitu naona vinapita ingali vinahitaji ufafanuzi
Kituko dhumuni la jukwaa hili HURU ni kukupa wewe na mimi na yeyote yule haki ya kuchangia au kuuliza swali lolote ulitakalo!
Tatizo linakuja pale unapoanza kuwaita wadau wengine watoto wa mjini na vitu vingine vya ajabu!
Haifai namna hio!
Nashukuru kwa Busara zako kaka gombesugu, Babu yangu alikuwa akinywa Beer sana pale Mision Kota, sasa naona anapunjwa kwa kusema vibali vya mwanzo vilikuwa vya Kleist na Azizi tu
Ewe! Kituko wa Vituko,
Yaani "umenivunja mbavu" kwa kicheko,na ndo nimezidi kukupenda! Daah! Teeh! Teeh! Teeh!
Kwa hayo masuali yako ya "kitaaluma",sidhani kama Bwana Mohamed Said anayo majawaba yake!?...labda tuzidi kufanza sabra!?
Sasa,huyo Babuyo hukumbuki yeye kufanza lolote wakti huo wa kupigania uhuru...zaidi ya yeye kushinda pale "Mission Quarters"-Mchikichini akinywa pombe/Beers,tu!? Duuh!
Basi mwaonaje pia,labda tukamwomba yeye Bwana Udadisi kuandika pia Biographies/Encyclopedia za watu walokua "mashuhuri" kwa ulevi/walevi wakti ule...lakini wenzao wangine wakishughulika na harakati za uhuru!?
Shukran kwa kuzungumza nawe kiduchu...Kwaheri!
Ahsanta.
Kituko dhumuni la jukwaa hili HURU ni kukupa wewe na mimi na yeyote yule haki ya kuchangia au kuuliza swali lolote ulitakalo!
Tatizo linakuja pale unapoanza kuwaita wadau wengine watoto wa mjini na vitu vingine vya ajabu!
Haifai namna hio!
asante kaka kwa kero yako kutoka kwangu, lakini hiyo watoto wa mjini niliiwekea mabano kwa juu, mjadala hauwezi kwenda bila vijembe na utani wa hapa na pale,
Jana waziri Mkuu Wa Israel alitoa hotuba akawambia Wapalestine kwamba Ni Wakati sasa Wa kuitabua Israel Km taifa la wayahudi na wasahau kabisa mambo ya history!
Hii Ni sawa na kwa ndugu Mohamed Said na kwa wale wengine wenye mawazo Km yake! Ni Wakati sasa Wa kutambua mchango mkubwa Wa Mwalimu Nyerere ata Km ktk Hilo vuguvugu la kugombania uhuru kulikua na watu Wa imani mbalimbali, lkn aliesimamia na kuingia ikulu Ni Nyerere!
Tunatambua Kua kuna michango ya kila Hali iliyotolewa na watu mbalimbali ktk uhuru, kudai tu kwamba upande Fulani ndio ulioumia huo Ni ubaguzi mkubwa sawa na wajukuu Wa Ibrahim pale Israel!