Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Na kuna jinsi yakuongeza spidi ya u-torrent..kwa kutumia settings zake


Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Ungeelezea mkuu upo sehemu gani kama ni cafe etc. Na wamezuia kitu gani hapo pasi shaka utapata msaada!

Mkuu siyo cafe nipo moja ya nchi za ucommunists zinalinda maadili ya nchi zao!!

sp
 
vuze ndio my favorite kwa sasa
  • Mkuu hiyo vuze mi nimeiacha kitambo sana
  • Nilianza na Utorrent -> Frostwire ->SoMud -> Vuze -> Kwa sasa nimetulia na hii TIXATI
  • Ijaribu uione performance yake
 
OMG!!!...mkuu umenifanya nicheke sana kwa hii post...don't know if ya damn serious or ya trippin

Kwani amemaanisha kitu gani mkuu watu8?

Mimi sijamuelewa. Hebu nijuze na mimi nicheke.
 
Last edited by a moderator:
  • Mkuu hiyo vuze mi nimeiacha kitambo sana
  • Nilianza na Utorrent -> Frostwire ->SoMud -> Vuze -> Kwa sasa nimetulia na hii TIXATI
  • Ijaribu uione performance yake


nilifanya head to head kati ya deluge , tixati na vuze, kwa vigezo vya features na performance... nikaamua kuiacha tixati maana iko kama utorrent kwenye baadhi ya features, nikatulia na vuze, kweli tangu nianze kuitumia sijajuta.
 
Unatumia modem gan,zantel,voda,zain.tigo. Etc
  • Yamkini anatumia modem ya ZTE au HUAWEI yenye download speed 7.2mb/s
  • Ila inaonekana ISP{rangi ya blue hapo juu} wake eneo hilo yuko poa.
  • Ngoja mkweli wa mabo atuambie ni modem gani kwa ISP yupi
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa maelekezo donlucchese
 
Last edited by a moderator:
Kwani amemaanisha kitu gani mkuu watu8?

Mimi sijamuelewa. Hebu nijuze na mimi nicheke.

Ha ha ha!!!

Mleta mada amejaribu kutuelezea "Best torrent sites for movies" kwa mtazamo wake na watu wengine pia wameeleza uzoefu wao katika suala hilo.

Sasa mkuu si unajua "torrent site" ni ile mitandao ambayo huifadhi makbrasha mbalimbali kwa ajili ya watu kuweza kupakua huko ambapo huwa ni movies, tv series, vitabu, softwares nk.

Kilichonichekesha ni namna jamaa yangu alivyouliza, eti hizi "Best torrent sites for movies" kwa hapa Dar zinapatikana wapi?
Hapo nimeshindwa kujua kama yupo serious au alikuwa anafurahisha genge tu...!!!
 

Yaani mkuu watu8 kati ya vitu nilivyoshindwa kuelewa ni pamoja na haya mambo ya torrents. Ninayo u torrents lakini nimejaribu namna ya kuitumia nimeshindwa licha ya kupitia nyuzi mbalimbali zinazoelekeza namna ya ku-download movies.
Ingekuwa ni mtihani basi ningenyosha mikono kuwa nimefeli katika hili somo la torrents,,,,,,,,,,huyo jamaa usimcheke hana tofauti sana na mimi hahahaaah!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…