Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Na kuna jinsi yakuongeza spidi ya u-torrent..kwa kutumia settings zake

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
vuze ndio my favorite kwa sasa
  • Mkuu hiyo vuze mi nimeiacha kitambo sana
  • Nilianza na Utorrent -> Frostwire ->SoMud -> Vuze -> Kwa sasa nimetulia na hii TIXATI
  • Ijaribu uione performance yake
sm_xfers_peerstab.png
 
OMG!!!...mkuu umenifanya nicheke sana kwa hii post...don't know if ya damn serious or ya trippin

Kwani amemaanisha kitu gani mkuu watu8?

Mimi sijamuelewa. Hebu nijuze na mimi nicheke.
 
Last edited by a moderator:
  • Mkuu hiyo vuze mi nimeiacha kitambo sana
  • Nilianza na Utorrent -> Frostwire ->SoMud -> Vuze -> Kwa sasa nimetulia na hii TIXATI
  • Ijaribu uione performance yake
sm_xfers_peerstab.png

nilifanya head to head kati ya deluge , tixati na vuze, kwa vigezo vya features na performance... nikaamua kuiacha tixati maana iko kama utorrent kwenye baadhi ya features, nikatulia na vuze, kweli tangu nianze kuitumia sijajuta.
 
Unatumia modem gan,zantel,voda,zain.tigo. Etc
  • Yamkini anatumia modem ya ZTE au HUAWEI yenye download speed 7.2mb/s
  • Ila inaonekana ISP{rangi ya blue hapo juu} wake eneo hilo yuko poa.
  • Ngoja mkweli wa mabo atuambie ni modem gani kwa ISP yupi
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa maelekezo donlucchese
Matatizo yako yote yataisha kwa kuanza na kudownload torrent client ambapo mi nakurecommend download bitcomet (nenda BitComet - A free C++ BitTorrent/HTTP/FTP Download Client) pakua then ufanye installation. Baada ya hapo utaweza sasa kwenda sawa na sisi na iyo ishu ya eset simple sana, ukishakua na hiyo software ya torrent, nenda kat.ph halaf search eset nod32 watakuletea kibao tu, chagua inayoendana na system yako (kama ni 32bit au 64bit) then off you go.
 
Last edited by a moderator:
Kwani amemaanisha kitu gani mkuu watu8?

Mimi sijamuelewa. Hebu nijuze na mimi nicheke.

Ha ha ha!!!

Mleta mada amejaribu kutuelezea "Best torrent sites for movies" kwa mtazamo wake na watu wengine pia wameeleza uzoefu wao katika suala hilo.

Sasa mkuu si unajua "torrent site" ni ile mitandao ambayo huifadhi makbrasha mbalimbali kwa ajili ya watu kuweza kupakua huko ambapo huwa ni movies, tv series, vitabu, softwares nk.

Kilichonichekesha ni namna jamaa yangu alivyouliza, eti hizi "Best torrent sites for movies" kwa hapa Dar zinapatikana wapi?
Hapo nimeshindwa kujua kama yupo serious au alikuwa anafurahisha genge tu...!!!
 
Yaani mkuu watu8 kati ya vitu nilivyoshindwa kuelewa ni pamoja na haya mambo ya torrents. Ninayo u torrents lakini nimejaribu namna ya kuitumia nimeshindwa licha ya kupitia nyuzi mbalimbali zinazoelekeza namna ya ku-download movies.
Ingekuwa ni mtihani basi ningenyosha mikono kuwa nimefeli katika hili somo la torrents,,,,,,,,,,huyo jamaa usimcheke hana tofauti sana na mimi hahahaaah!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom