Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure


Mkuu ni easy sana hujaamua tu. Ukiamua hata dk.3 tayari unaanza kudownload!
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha ha!!! hata sio kuwa namcheka ni vile tu lugha aliyoitumia imenifurahisha...

Jaribu kufuatilia maelezo katika kiunganishi hiki chini

3 Ways to Download Torrents - wikiHow
 

Ha ha ha ha ha ha!

Nilicheka sana baada ya kuelewa.
 

Jamani nimerudi kutoa mrejesho.
Shukrani nyingi zimfikie #donlucchese na wadau wote waliochangia kwenye huu uzi, maana nimetumia maelekezo yao mpaka nimefanikiwa.
Nimefanikiwa kushusha movie "White House Down 2013" na Software mbili(Avast & IDM).
Mbarikiwe sana.
 

Amina mkuu, shukrani!
 
KUNA HII NYINGINE glowgaze.com/‎ NA AMBAYE ATAKUWA NA SITE YA KOREAN SERIES
 
Hapa napunjwa,nataka kuidownload na kuinstall..nifanyeje?

Afu pia antvirus(ESET NOD32 Antivirus) nayo imekua outdated(license expired)...natakiwa kufanyaje?

Cc Young Master

Umefanikiwa kutatua tatizo lako? kama bado nijuze nikupatie license key ya mwaka 1 bure kabisa.
 
KUNA HII NYINGINE glowgaze.com/‎ NA AMBAYE ATAKUWA NA SITE YA KOREAN SERIES

Mkuu korean series niliweka software kabisa, jaribu kusearch thread imeandikwa software for downloading korean series
 
Wakuu... Samahan, Nawezaje kudownload movies nkiwa na ipad2?!!
 
Wakuu zile series za Telemundo like...behind closed doors, my heart beat for Lola, Aurora+++ nazipata wapi? Nimesearch sasa hadi usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…