donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Yaani mkuu watu8 kati ya vitu nilivyoshindwa kuelewa ni pamoja na haya mambo ya torrents. Ninayo u torrents lakini nimejaribu namna ya kuitumia nimeshindwa licha ya kupitia nyuzi mbalimbali zinazoelekeza namna ya ku-download movies.
Ingekuwa ni mtihani basi ningenyosha mikono kuwa nimefeli katika hili somo la torrents,,,,,,,,,,huyo jamaa usimcheke hana tofauti sana na mimi hahahaaah!!
Mkuu ni easy sana hujaamua tu. Ukiamua hata dk.3 tayari unaanza kudownload!
Last edited by a moderator: