Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Yaani mkuu watu8 kati ya vitu nilivyoshindwa kuelewa ni pamoja na haya mambo ya torrents. Ninayo u torrents lakini nimejaribu namna ya kuitumia nimeshindwa licha ya kupitia nyuzi mbalimbali zinazoelekeza namna ya ku-download movies.
Ingekuwa ni mtihani basi ningenyosha mikono kuwa nimefeli katika hili somo la torrents,,,,,,,,,,huyo jamaa usimcheke hana tofauti sana na mimi hahahaaah!!

Mkuu ni easy sana hujaamua tu. Ukiamua hata dk.3 tayari unaanza kudownload!
 
Last edited by a moderator:
Yaani mkuu watu8 kati ya vitu nilivyoshindwa kuelewa ni pamoja na haya mambo ya torrents. Ninayo u torrents lakini nimejaribu namna ya kuitumia nimeshindwa licha ya kupitia nyuzi mbalimbali zinazoelekeza namna ya ku-download movies.
Ingekuwa ni mtihani basi ningenyosha mikono kuwa nimefeli katika hili somo la torrents,,,,,,,,,,huyo jamaa usimcheke hana tofauti sana na mimi hahahaaah!!

Ha ha ha ha!!! hata sio kuwa namcheka ni vile tu lugha aliyoitumia imenifurahisha...

Jaribu kufuatilia maelezo katika kiunganishi hiki chini

3 Ways to Download Torrents - wikiHow
 
Ha ha ha!!!

Mleta mada amejaribu kutuelezea "Best torrent sites for movies" kwa mtazamo wake na watu wengine pia wameeleza uzoefu wao katika suala hilo.

Sasa mkuu si unajua "torrent site" ni ile mitandao ambayo huifadhi makbrasha mbalimbali kwa ajili ya watu kuweza kupakua huko ambapo huwa ni movies, tv series, vitabu, softwares nk.

Kilichonichekesha ni namna jamaa yangu alivyouliza, eti hizi "Best torrent sites for movies" kwa hapa Dar zinapatikana wapi?
Hapo nimeshindwa kujua kama yupo serious au alikuwa anafurahisha genge tu...!!!

Ha ha ha ha ha ha!

Nilicheka sana baada ya kuelewa.
 
Matatizo yako yote yataisha kwa kuanza na kudownload torrent client ambapo mi nakurecommend download bitcomet (nenda www.bitcomet.com) pakua then ufanye installation. Baada ya hapo utaweza sasa kwenda sawa na sisi na iyo ishu ya eset simple sana, ukishakua na hiyo software ya torrent, nenda kat.ph halaf search eset nod32 watakuletea kibao tu, chagua inayoendana na system yako (kama ni 32bit au 64bit) then off you go.

Jamani nimerudi kutoa mrejesho.
Shukrani nyingi zimfikie #donlucchese na wadau wote waliochangia kwenye huu uzi, maana nimetumia maelekezo yao mpaka nimefanikiwa.
Nimefanikiwa kushusha movie "White House Down 2013" na Software mbili(Avast & IDM).
Mbarikiwe sana.
 
Amina mkuu, shukrani!
 
KUNA HII NYINGINE glowgaze.com/‎ NA AMBAYE ATAKUWA NA SITE YA KOREAN SERIES
 
Hapa napunjwa,nataka kuidownload na kuinstall..nifanyeje?

Afu pia antvirus(ESET NOD32 Antivirus) nayo imekua outdated(license expired)...natakiwa kufanyaje?

Cc Young Master

Umefanikiwa kutatua tatizo lako? kama bado nijuze nikupatie license key ya mwaka 1 bure kabisa.
 
KUNA HII NYINGINE glowgaze.com/‎ NA AMBAYE ATAKUWA NA SITE YA KOREAN SERIES

Mkuu korean series niliweka software kabisa, jaribu kusearch thread imeandikwa software for downloading korean series
 
Wakuu zile series za Telemundo like...behind closed doors, my heart beat for Lola, Aurora+++ nazipata wapi? Nimesearch sasa hadi usingizi.
 
Back
Top Bottom