Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure


Mkuu, afadhali upo kwa line kiongozi.

Nimepitia hii link kwenye series hapo ila nimekosa series nnayotaka kui-download mkuu.

Naulizia Supernatural mkuu. Nataka nitumie simu kuishusha kupitia UC msaada wako broh.

Thanks Broh.
 
Kudownload movies na series
Kama unataka kudownload movie na series bila longo longo website ni hii hapa
Index of /
Mkuu Chief-Mkwawa hii link imekufa, unaweza ku update kiongozi?
Haijafa kama unazikumbuka directories. Mfano mimi nakumbuka za series. So mfano nataka series ya vampire diaries naandika hivi dl.fardadownload.ir/Serial.. then mwishoni naweka VD so itasomeka dl.fardadownload.ir/Serial/VD/ na kama nahitaji the mentalist nitaandika dl.fardadownload.ir/Serial/The Mentalist kumbuka Kuanza na hizo herufi kubwa zinamatter sana. Hiyo sehemu ya (Serial na jina la series)
Good luck
 
fardadownload ilikuwepo hapo juu lakini niliitoa inaonekana kama jamaa alimaliza bandwidth sababu mwisho wa mwezi alikua hapatikani lakini mwezi wa nne ulivyoanza akaanza kupatikana. ngoja tumuangalie na mwezi huu itakuaje
Mkuu alafu nasaka direct link ya kupakua wrestlemania ya jpil iliyopita..msaada kama unayo aisee
 
haina season au episode?

300mbfilms.co huwa anaeka wwe ana ana direct link sema kuna viprocess kidogo na anahost kwa .rar hadi uextract ukishadownload.

cheki hii
WWE Monday Night RAW 2016.04.04 HDTV 575MB NItRo | 300mbfilms.Com
Nimeingia mkuu

Ikanipeleka kwene hii page. Nika skip

Nikaweka passwd

Then nikachagua link ila zote zinagoma.

Inagomea hapa..

Natumia adaway kama adblock ya matangazo. Nikiiturn off sifiki hata hapo penyewe. Matangazo yananipeleka playstore.
Ukipata link nyingne itakuwa powa zaidi.
Shukrani.
 
click direct link hio ya juu hapo
 
haina season au episode?

300mbfilms.co huwa anaeka wwe ana ana direct link sema kuna viprocess kidogo na anahost kwa .rar hadi uextract ukishadownload.

cheki hii
WWE Monday Night RAW 2016.04.04 HDTV 575MB NItRo | 300mbfilms.Com

Chief sorry broh naomba unisaidie nahitaji ku-download movie moja inaitwa SPLASH.

Ni ya zamani kiasi nakumbuka tulikuwa wadogo hivi, naomba msaada wa link yake broh.

Na pia NUTTY PROFESSOR kiongozi ntashkuru mno mkuu nimekuwa nikizitafuta hizo movies broh ila sijafanikiwa kuzipata kiongozi.

So thanks mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…