Kuna aina mbalimbali za kudownload mafile kama kutumia torrents, kutumia file sharing sites kama mediafire, ku-capture video za online nk lakini aina zote hizo hazifikii kudownload file direct. Nikisema direct namaanisha ukiclick tu file linaanza kudownload bila msaada wa software yoyote au kusubiri.
Njia hii pia ni maarufu kwa wale wanaotumia proxy, au internet zenye restriction ya kudownload torrents na kustream, hapa nimejaribu kutafuta site ambazo utadownload directs bila matatizo yoyote.
Kudownload movies na series
Kama unataka kudownload movie na series bila longo longo website ni hii hapa
tumia hii hapa movie
Index of /Masih/Film/
-animation hapa
Index of /admin/Animation/
-top 250 movies hapa
Index of /admin/250-IMDB/
-series hapa
Index of /TV.Show/
Utaclick serial kama ni series na film kama ni movie
Kwenye movie kuna miaka kama unajua mwaka movie iliotoka utaclick na pia kuna collection ya movie zenye parts, mfano home alone kuna part 1 hadi 5
link nyengine ya movie kama za juu zinasumbua
Index of /Data/Film/
Kudownload games
hapa ni oceanofgames, even games kama gta v unalipata kwa single link na ma gb yake yote.
Ocean of Games
Kudownload software za PC
ukitaka operating systems, software za 3d, photoshop nk utazipata hapa
Get Into PC - Download Free Your Desired App
Apps na games za android
hizi utazipata hapa direct links
OceanofAPK - Dive & Get Your Famous APK
Una site nyengine za direct links? Usisite kuzitaja ni update thread