Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Nakumbuka the @Bold aliwahi kuweka uzi unao shabihiana na huu, na mwisho aliishia kupigwa ban tu
 
Maelezo yanajitosheleza lkn mbona nimeshindwa kudownload.
 
Mkuu naona ungetupa instructions zaidi, binafsi nimefanikiwa kuinstall na imekubali pamoja na kuleta option ya movies na series nyingi tuu, ila namna ya kudowload hamna instructions
 
Mkuu naona ungetupa instructions zaidi, binafsi nimefanikiwa kuinstall na imekubali pamoja na kuleta option ya movies na series nyingi tuu, ila namna ya kudowload hamna instructions
Asante Emmanuel nemes kwa kupitia uzi huu, kama unataka maelezo zaidi tembelea ukurasa huu tume elezea vizuri kabisa pia unaweza kuangalia hapa kama utakuwa umekwama. Kama bado utakuwa umekwama tafadhali tuandikie maoni yako kwenye uzi huu nasi tutakujibu. Enjoy!
 
Sawa wataalamu wetu Tanzania tech, ngoja niingie hko na kama nikikwama tena nitarudi kuomba msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…