Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Brakelyn. Kama umeshindwa kuresume mediafire,ULIZA uelekezwe!Mbona mi naresume tu kama kawaida? Torrents unaweza download movie ya zamani ndani ya dakika 15? Na wasipokuwepo seeders wengi je? Tena wengine mi pc yao imejaa VIRUS!
 
Nijulisheni kama una dowload movie bure na bundle wanakata kutegemea na MB zenyewe za movie ambayo una download?
 
nijulisheni kama una dowload movie bure na bundle wanakata kutegemea na MB zenyewe za movie ambayo una download?..
umepatia haswa. pigia mstari jibu lako
 
mzee tufahamishe vipi tunaresume kutoka mediafire. hatujui
 

yes! Hapo ndo penyewe umefika.
 
Reactions: JS
Any 1 anaye jua website yaku download series kwa free naomba anipe ila isiwe torrent website
 
Hiyo ni kampuni kubwa guys na inamiliki website nyingi kama hizi hapa

1) moviesmobile.net ambayo ni movie za simu zenye format ya avi

2) TV series, shows/Cartoon, Anime, Manga/Documentaries for mobiles in avi/3gp format - Fztvseries hii ni kudownload tv series kwa ajili ya simu za kawaida, smartphones, tabs zipo aina 3 3gp, avi na mp4 hizi mp4 ni high quality kiasi

3)FzMovies - Bollywood, Hollywood, Dubbed Hollywood high quality movies for mobiles, iphone, ipads, tabs, notes in 3gp and mp4 format. Also stream movies on your mobile hii ni ya kudownload movies za high quality za simu. Kuna 3gp, mp4 na high quality mp4

4) friendz4m.com - online dating Resources and Information. This website is for sale! hii ni forum mama ya site zote hizo ndo mwanzilishi. Pia hii forums ina vitu karibia vyote vya site zake utapata movies na series za simu na pc

Site zao nyengine
-fzdownloads
-fzuploads
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…