Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Torrent inaweza kuwa faster kama unavyodownload idm ikiwa hio torrent ina seeders wa kutosha. Pia ni nadra kukuta service ya kuleech torrent ambayo hawalimit speed au size ya file.
 
Naombeni msaada jinsi ya kudownload Torrent Files kwa kutumia IDM ili niweze kudownload faster kama ma file mengine!!

Labda mkuu hujui kwa nini torrents nyingine ziko fasta nyingine zipo slow. Kutumia download manager haitokusaidia chochote.

Kwenye torrents kuna kitu kinaitwa "Seeders" na "Leechers" kabla ya kudownload torrent yako zingatia sana hivi vitu viwili,
Seeder ni mtu aliye na hilo file kwenye computer yake, kashamaliza kulidownload sasa anashare na wengine, yaani kwa lugha nyingine anakua kama server anastream hilo file kwako na wengine wanaodownload.

Leecher ni mtu ambaye yeye anadownload ila wakati huohuo anashare pieces ndogondogo ambazo alishadownload kwenye mashine yake.

Sasa kabla hujadownload ni vizuri kuangalia hivi vitu viwili, kama hakuna seeder hata moja kwenye hilo file tupilia mbali, hutoweza kulidownload kwa sababu hamna anayelishare.

Kama kuna seeders na leechers, angalia ratio, ratio = seeders/leechers, file lenye ratio kubwa lina probability kubwa ya kua na speed kubwa kwa sababu watu ambao washadownload hilo file na wanalishare ni wengi kuliko watu ambao wapo wanadownload kwa wakati moja.
 
Naombeni msaada jinsi ya kudownload Torrent Files kwa kutumia IDM ili niweze kudownload faster kama ma file mengine!!

Unaeza convert torrent to direct link, zipo site kibao ila wanalimit size. Kama unaweza lipia fanya hivyo kama huwezi lipia tafuta alternative way kama unarafiki or mtu yeyote akufanyie hivyo.
au nitafute nikuunganishe na jamaa wakufanyiage hivyo am very busy nowdays.
 
tumia zbigz.com niliwahi kudownload file with no seeders pia leechers.....ila ilichukua siku mbili kumaliza.....
 
Kuna aina mbalimbali za kudownload mafile kama kutumia torrents, kutumia file sharing sites kama mediafire, ku-capture video za online nk lakini aina zote hizo hazifikii kudownload file direct. Nikisema direct namaanisha ukiclick tu file linaanza kudownload bila msaada wa software yoyote au kusubiri.

Njia hii pia ni maarufu kwa wale wanaotumia proxy, au internet zenye restriction ya kudownload torrents na kustream, hapa nimejaribu kutafuta site ambazo utadownload directs bila matatizo yoyote.

Kudownload movies na series
Kama unataka kudownload movie na series bila longo longo website ni hii hapa
tumia hii hapa movie
Index of /Masih/Film/


-animation hapa
Index of /admin/Animation/
-top 250 movies hapa
Index of /admin/250-IMDB/
-series hapa
Index of /TV.Show/

Utaclick serial kama ni series na film kama ni movie
link nyengine ya movie
Index of /Film/
na series
Index of /Serial/

Kwenye movie kuna miaka kama unajua mwaka movie iliotoka utaclick na pia kuna collection ya movie zenye parts, mfano home alone kuna part 1 hadi 5

link nyengine ya movie kama za juu zinasumbua
Index of /Data/Film/

link nyengine za movie na series
s1.dl-movie.ir - /Serial/
Index of /Data/


Kudownload games
hapa ni oceanofgames, even games kama gta v unalipata kwa single link na ma gb yake yote.

Ocean of Games

Kudownload software za PC
ukitaka operating systems, software za 3d, photoshop nk utazipata hapa
Get Into PC - Download Free Your Desired App

Apps na games za android
hizi utazipata hapa direct links
OceanofAPK - Dive & Get Your Famous APK

Una site nyengine za direct links? Usisite kuzitaja ni update thread
 
Wee jamaa Chief-Mkwawa natamani nikukate hiko kichwa nikibandike kwangu dah...!.

Au hata ningeweza kukitoa photocopy aisee ningefanya hivyo mkuu, najivunia sana uwepo wako ndani ya JF.

MUNGU AKUPE MAISHA MAREF SANA MKUU.

THANKS A LOT BROH.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu CHIEF MKWAWA hio link ya kudownload movies and series ni kwa pc only au na kwa simu Za android zinakubali chief?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom