Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Habarini ndugu zangu wana JF,

Naomba msaada wa websites ambazo tapata muvi nzuri na kuzipakua bila malipo.

Msaada wenu jamani.
 
Mbona muvi uwa mm uwa na download bule siku zote uwa naangalia muvi youtube nikiipenda naenda kwenye pogram inayoitwa videoder naiandika inakuja na download tena mp4 labda kama hauna videoder [\color] nikulushie ni nzuri kwa kupakua kitu chochote
 
Lakini wakati unatafuta vya bure kwenye mitandao ujue nyuma yake kina gharama kubwa. Usi download vitu vya bure kwa kutumia kompyuta au simu unayofanyia shughuli zako za maana maana keyloggers zitakuhusu na taarifa zako muhimu unakuwa umeziweka rehani. Remember; there is nothing the so called free lunch.
 
mkuu ingia Muvika Online - Download Korean Drama, Taiwanese Drama, Bollywood and Movies For Free
 
Kwa namna moja ama nyingine wengi wetu tunapenda filamu (Movies) au Tamthilia (Series) na kama wewe ni mmoja wa wengi hao basi hii ni kwaajili yako. Njia hii ni rahisi sana na itakusaidia kuangalia Movies mpya au Series ambazo hata hazijafika kwenye baadhi ya kumbi za sinema hapa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, moja kwa moja twende tukaanze mafunzo yetu.!



LINK MAALUM
1. Download App ya Movies Hapa Download Terrarium TV-Premium-1.5.6.apk
(UPDATE ya Toleo Jipya la App ya Movies Download Terrarium TV-Premium-1.5.7.apk)
2. Download Download Manager Hapa Download Download Accelerator Plus v20170319 Premium APK.apk
3. Download MX Player Hapa MX Player - Android Apps on Google Play au Kupitia Play Store Tafuta "MX Player"
4. Maelezo Zaidi hapa Jinsi ya Kudownload Movies na Series Mpya Kupitia Simu Yako

Kama makala hii imekusaidia unaweza ku like na kucomment hapo chini kama una swali lolote au kama kuna mahali umekwama. Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownloadApp ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga nachannel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja yote ya teknolojia kwa njia ya video.
 
Back
Top Bottom