Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Pirate of Caribean: dead men tell no one ina link moja ambayo ina mb 15 tu, msaada wa kuipata full movie HD
 
Mkuu kwa Laptop tunafanyeje? Simu imekubali ila Laptop full mizunguo kwangu.
 
Nataka 24 legacy ipi app nidownload?

Njia rahisiii zaidi ingia Google then search 'index of 24 legacy' utadownload epsod moja moja kwa quality nzuri sn...km unatumia pc ni vzr ukawa na idm na kama unatumia simu ni vzr ukawa na uc browser.
 
Maswali
Terrerium yenyewe inadownload jee hii imekaaje kuhusu uonekane wa picha
Picha nzuri lazima zenye hd tu nyengine hazina
Ni link ipi itakua ina vision nzuri na hd tupe ujanja ndugu.
Ila ahsante nimezinduka sasa naweza kudownload ila nijibu masuali yangu kabla zijaweka maGb yangu
Ngoja nikusaidie ndugu,,inategemea ni wp unataka kuangalia movie yako,,,kama unaidownloud then unaiweka kwa pc unaweza chagua ukubwa unaotaka hapa

fa2484b10e12e9296a0853c983e652fd.jpg

Halafu kama unaangalia tu kwa simu unaweza pakua hapa kwa 480 Hasti 180 MB.. Inakua na quality bora kabsa ila kama unaweka kwa pc ni nzur ukiipakua hd kuanzia mb 300 inakua na quality bora kbsa... Ila kwangu mm nikiweka hata hii 180 mb naipata fresh sana
a86aaea33d953bb9986c91819d67ce81.jpg
 
Wakuu ma pirates tangia jana nashindwa kushusha ma torrent viph kunatatizo na kwenu huko au mimi Tu Msaaada please
 
torrent haiwezi kuwa na tatizo, ni tracker mbili tatu zitafungiwa ila yenyewe itabaki vile vile.

umehakikisha hio torrent ina seeder wa kutosha?
 
Najua wengi wetu tumeshazoea kudownload Movies na Tv series kupitia torrent sites ama index sites lakini kwa wengine torrent ni usumbufu na haina speed kwao hivyo nimeamua kushare nanyi website 8 bora zaidi kwa kudownload na Kutazama movies pamoja na Tv series bure na hara zaidi,Na hapa nazungumzia Movies mpya za 2017 pamoja series mpya tu ndo utapata kwenye website hizi:


todaytvseries.com (MY BEST OF ALL)




FMovies.se




Mydownloadtube.com




moviewatcher.io




housemovie.to




MovieFlixter.to




GoMovie.at




watchstreams.to




watch-free.me




Mr.trickx
 
Back
Top Bottom