Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Wakuu naomba msaada wenu link ya ku-download window 10 full version

Amen [emoji1545]
 
Natumia Computer Sema ni old model dell D630 na pia sababu ya data lkn kama hizo x265 kwenye kuplay na size nzur sawa tu naomba
sidhani kama hio computer haiplay HD 720p. unatumia player gani? jaribu media player classic kisha tafuta video yoyote ya HD play halafu leta mrejesho.
 
Samahani mkuu, una link ambayo naweza pata movies ambazo tayari ziko compressed for mobile view? Mimi nafaham fzmoviez.org,mycoolmovies,hdmp4mania etc. Ila nao wamekua wavivu kuupdate list zao, then baadh ya sites wanataka udownload muvi in parts na siyo file zima hiyo kitu hua inanikera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu, una link ambayo naweza pata movies ambazo tayari ziko compressed for mobile view? Mimi nafaham fzmoviez.org,mycoolmovies,hdmp4mania etc. Ila nao wamekua wavivu kuupdate list zao, then baadh ya sites wanataka udownload muvi in parts na siyo file zima hiyo kitu hua inanikera

Sent using Jamii Forums mobile app
simu gani? una expect quality gani? na movie iwe na mb kama ngapi?

maana wanaohost movie youtube unakuwa.na choice ya kuchagua quality mbali mbali.
 
Samahani mkuu, una link ambayo naweza pata movies ambazo tayari ziko compressed for mobile view? Mimi nafaham fzmoviez.org,mycoolmovies,hdmp4mania etc. Ila nao wamekua wavivu kuupdate list zao, then baadh ya sites wanataka udownload muvi in parts na siyo file zima hiyo kitu hua inanikera

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano kama una simu ya android unaweza ukatumia videorder kwenye link ya 123movies utapata movie za 360p ambazo ni around mb 300 mpaka 400 hivi kwa movie moja.
 
Alikuwepo yiffy wakam sue (sijui ka asharudi) alafu akaja copy cat wa yiffy na yy nasikia alishawekewa vikwazo so kilichobaki ni kukomaa na kat.cr

mkuu July Fourth , what's the latest ground kwa sasa? nataka kudownlaod free movies. nime-install FDM.

-Kaveli-
 
mkuu July Fourth , what's the latest ground kwa sasa? nataka kudownlaod free movies. nime-install FDM.

-Kaveli-
Ingia zooqle.com au rarbg.to au 1337x.to then copy torrent address ya iyo kitu unayotaka kudownload.. then ingia seedr.cc then paste iyo link.. ikimaliza kujiupload, idownload kwa FDM au IDM
 
Ingia zooqle.com au rarbg.to au 1337x.to then copy torrent address ya iyo kitu unayotaka kudownload.. then ingia seedr.cc then paate iyo link.. ikimaliza kujiupload, idownload kwa FDM au IDM
Seedr ni nzuri ila size limit ya 2gb ni ndogo, kuna hii byteloader.com hawalimit size ila ni muda wa storage ndio wana limit, pia ina ads.
 
Ingia zooqle.com au rarbg.to au 1337x.to then copy torrent address ya iyo kitu unayotaka kudownload.. then ingia seedr.cc then paate iyo link.. ikimaliza kujiupload, idownload kwa FDM au IDM

Thanks. So inanilazimu ni-install uTorrent kwanza?

-Kaveli-
 
Seedr ni nzuri ila size limit ya 2gb ni ndogo, kuna hii byteloader.com hawalimit size ila ni muda wa storage ndio wana limit, pia ina ads.

Thanks bro kwa kuchangia. Nime-install FDM pekee. Je inanilazimu ni-install na uTorrent pia? yani nataka download yenye speed nzuri.

-Kaveli-
 
Thanks bro kwa kuchangia. Nime-install FDM pekee. Je inanilazimu ni-install na uTorrent pia? yani nataka download yenye speed nzuri.

-Kaveli-
Hapana huitaji ku download uttorent, unachotakiwa kufanya ni kama alivyoeleza mkuu hapo juu, torrent unazotaka download zinakuwa downloaded kwenye cloud storage za online halafu wewe na idm au downloder yoyote unazipakua moja kwa moja kutoka kwenye hizo seedbox.
 
Thanks bro kwa kuchangia. Nime-install FDM pekee. Je inanilazimu ni-install na uTorrent pia? yani nataka download yenye speed nzuri.

-Kaveli-
Weka link ya file unalotaka download tuende taratibu ili ujue pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom