Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata unitag na mimi
Unatumia kifaa gani? sometime movie za x265 ambazo ni HD zinakuwa na.mb.kidogo kuliko za 480p.Naomba link ya Harry potter 480p Complete tafadhali
unatumia kifaa gani? sometime movie za x265 ambazo ni HD zinakuwa na.mb.kidogo kuliko za 480p.
natumia computer, old model Dell D630 tatizo sio MB
pia unataka 480p sababu ya MB?
sidhani kama hio computer haiplay HD 720p. unatumia player gani? jaribu media player classic kisha tafuta video yoyote ya HD play halafu leta mrejesho.Natumia Computer Sema ni old model dell D630 na pia sababu ya data lkn kama hizo x265 kwenye kuplay na size nzur sawa tu naomba
yeah natumia HMPC na sometime VLC inaplay fresh 720p hata zikiwa .mkvsidhani kama hio computer haiplay HD 720p. unatumia player gani? jaribu media player classic kisha tafuta video yoyote ya HD play halafu leta mrejesho.
zote hizi zina harry potteryeah natumia HMPC na sometime VLC inaplay fresh 720p hata zikiwa .mkv
simu gani? una expect quality gani? na movie iwe na mb kama ngapi?Samahani mkuu, una link ambayo naweza pata movies ambazo tayari ziko compressed for mobile view? Mimi nafaham fzmoviez.org,mycoolmovies,hdmp4mania etc. Ila nao wamekua wavivu kuupdate list zao, then baadh ya sites wanataka udownload muvi in parts na siyo file zima hiyo kitu hua inanikera
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano kama una simu ya android unaweza ukatumia videorder kwenye link ya 123movies utapata movie za 360p ambazo ni around mb 300 mpaka 400 hivi kwa movie moja.Samahani mkuu, una link ambayo naweza pata movies ambazo tayari ziko compressed for mobile view? Mimi nafaham fzmoviez.org,mycoolmovies,hdmp4mania etc. Ila nao wamekua wavivu kuupdate list zao, then baadh ya sites wanataka udownload muvi in parts na siyo file zima hiyo kitu hua inanikera
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwepo yiffy wakam sue (sijui ka asharudi) alafu akaja copy cat wa yiffy na yy nasikia alishawekewa vikwazo so kilichobaki ni kukomaa na kat.cr
Ingia zooqle.com au rarbg.to au 1337x.to then copy torrent address ya iyo kitu unayotaka kudownload.. then ingia seedr.cc then paste iyo link.. ikimaliza kujiupload, idownload kwa FDM au IDMmkuu July Fourth , what's the latest ground kwa sasa? nataka kudownlaod free movies. nime-install FDM.
-Kaveli-
Seedr ni nzuri ila size limit ya 2gb ni ndogo, kuna hii byteloader.com hawalimit size ila ni muda wa storage ndio wana limit, pia ina ads.Ingia zooqle.com au rarbg.to au 1337x.to then copy torrent address ya iyo kitu unayotaka kudownload.. then ingia seedr.cc then paate iyo link.. ikimaliza kujiupload, idownload kwa FDM au IDM
Ingia zooqle.com au rarbg.to au 1337x.to then copy torrent address ya iyo kitu unayotaka kudownload.. then ingia seedr.cc then paate iyo link.. ikimaliza kujiupload, idownload kwa FDM au IDM
Seedr ni nzuri ila size limit ya 2gb ni ndogo, kuna hii byteloader.com hawalimit size ila ni muda wa storage ndio wana limit, pia ina ads.
Hapana huitaji ku download uttorent, unachotakiwa kufanya ni kama alivyoeleza mkuu hapo juu, torrent unazotaka download zinakuwa downloaded kwenye cloud storage za online halafu wewe na idm au downloder yoyote unazipakua moja kwa moja kutoka kwenye hizo seedbox.Thanks bro kwa kuchangia. Nime-install FDM pekee. Je inanilazimu ni-install na uTorrent pia? yani nataka download yenye speed nzuri.
-Kaveli-
Weka link ya file unalotaka download tuende taratibu ili ujue pa kuanzia.Thanks bro kwa kuchangia. Nime-install FDM pekee. Je inanilazimu ni-install na uTorrent pia? yani nataka download yenye speed nzuri.
-Kaveli-