haya ni maneno tu mkuu sidhani kama kuna utofauti kama huo, labda kwa huko ulaya ila kibongo bongo ip moja mnashare watu kibao sidhani kama kuna mtu anaeweza kukutrace unless mitandao ya simu iamue kukufuatilia.
na issue kama za movie huku kwetu hata ukizitaka hizo original kuzipata ni kazi labda ununue online, cd feki zinalipishwa kodi na ndio tunazouziwa, hivyo hakuna sheria ya kwamba movie hii ni halali na hii ni feki.
movie watu wanadownload kila siku na browser za kawaida hakuna deep web wala kifananiacho ni hizi hizi protocal za kila siku iwe http, torrent, ftp etc sema hao wanaojifanya deepweb wana tabia ya kutisha watu wanunue vpn au ku encrypt mawasiliano yao ili ku promote bidhaa zao.