Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Seedr ni nzuri ila size limit ya 2gb ni ndogo, kuna hii byteloader.com hawalimit size ila ni muda wa storage ndio wana limit, pia ina ads.

bytesloader.com matangazo yake siezi vumilia. Nimezoea ki-ublock origin changu
 
Hapana huitaji ku download uttorent, unachotakiwa kufanya ni kama alivyoeleza mkuu hapo juu, torrent unazotaka download zinakuwa downloaded kwenye cloud storage za online halafu wewe na idm au downloder yoyote unazipakua moja kwa moja kutoka kwenye hizo seedbox.

Big up. Nimeelewa vyema. Nitazingatia maelezo ya July Fourth hapo juu. Ila naona hii FDM nayo inazingua, inaniambia 'compatible with Windows Xp. Hii PC ina Window 7.

-Kaveli-
 
Pouwa mkuu. Ngoja nidownload hiyo IDM from google.

-Kaveli-
Chukua hii ya 6.28 build 16. Maelekezo yapo kwene zip file baada ya kuextract Index of /downloads
a13f895972b1c4e843511dfbb9ee5bb4.jpg
 
mfano kama una simu ya android unaweza ukatumia videorder kwenye link ya 123movies utapata movie za 360p ambazo ni around mb 300 mpaka 400 hivi kwa movie moja.
Chief naomba direct link ya series ya IF LOVING YOU IS WRONG
 
Samahani mkuu, una link ambayo naweza pata movies ambazo tayari ziko compressed for mobile view? Mimi nafaham fzmoviez.org,mycoolmovies,hdmp4mania etc. Ila nao wamekua wavivu kuupdate list zao, then baadh ya sites wanataka udownload muvi in parts na siyo file zima hiyo kitu hua inanikera

Sent using Jamii Forums mobile app
download in parts afu u mage mi ndo huwa nafanyaga hivyo tena inakuwa faster sanaa

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Mfano kama una simu ya android unaweza ukatumia videorder kwenye link ya 123movies utapata movie za 360p ambazo ni around mb 300 mpaka 400 hivi kwa movie moja.
Mkuu mkwawa ukiingia deepweb kuna darksites zina movies balaaaaa na ni hd quality sasa sijui kwa nn hawajaziruhusu zioparate kwenye clear net umeshajaribu hii kitu mkuu.

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Mkuu mkwawa ukiingia deepweb kuna darksites zina movies balaaaaa na ni hd quality sasa sijui kwa nn hawajaziruhusu zioparate kwenye clear net umeshajaribu hii kitu mkuuu

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Deepweb ndo nini? link?
 
deepweb ndo nini? link?
Kikawaida websites zoote unazlingia ambazo zipo valid na zinatambulika na mamilioni ya watu huitwa clearweb na ni 4% only ya clear web ndo hutumiwa na watu wote.ila hiyo inayobaki (96%) un-touched ndo huitwa deepweb ambapo huwa ni sio valid kwa kuwa websites nyingi huwa zinaviolate sheria mfano kuna kitu wanaita black market kama umeshawahi kusikia kitu kama hicho ambapo biashara haramu nyingi hufanyika kama uuzwaji haramu wa silaha, madawa na taka nyingine pia kuna ma-hackers ambao wao muda mwingi hushinda huko ili ku make hela na huwa hawatumii pesa za kawaida ila BITCOINS au digital moneys ambayo kwa sasa hupata umaarufu sanaaaa.

Ok tuachane na hapo.pia hauwezi ku access deep web bila kuwa na browser maalum ambayo ina ku keep anonymous muda wote ili kuepuka ku be hacked au ku be traced ambayo browsers hizo huwa zina support tor browsing ambazo kwa simu unaweza tumia browsers maalum kama ORBOT ambayo itakupa access kwa kukukeep anonymous na kuna ORFOX pia ambayo hufanya kazi sambamba na ORBOT zote zipo playstore ukishazichukua itabidi ujikonnect na Tor kwa kutumia ORBOT na kisha u ACCESS deep web kwa kutumia ORFOX ila kama ukishachukua utaingia google na kuandika hivi (deepweb links) zitakuja utacheki na kuzitumia.

Haya ni maneno tu mkuu sidhani kama kuna utofauti kama huo, labda kwa huko ulaya ila kibongo bongo ip moja mnashare watu kibao sidhani kama kuna mtu anaeweza kukutrace unless mitandao ya simu iamue kukufuatilia.

Na issue kama za movie huku kwetu hata ukizitaka hizo original kuzipata ni kazi labda ununue online, cd feki zinalipishwa kodi na ndio tunazouziwa, hivyo hakuna sheria ya kwamba movie hii ni halali na hii ni feki.

Movie watu wanadownload kila siku na browser za kawaida hakuna deep web wala kifananiacho ni hizi hizi protocal za kila siku iwe http, torrent, ftp etc sema hao wanaojifanya deepweb wana tabia ya kutisha watu wanunue vpn au ku encrypt mawasiliano yao ili ku promote bidhaa zao.
 
haya ni maneno tu mkuu sidhani kama kuna utofauti kama huo, labda kwa huko ulaya ila kibongo bongo ip moja mnashare watu kibao sidhani kama kuna mtu anaeweza kukutrace unless mitandao ya simu iamue kukufuatilia.

na issue kama za movie huku kwetu hata ukizitaka hizo original kuzipata ni kazi labda ununue online, cd feki zinalipishwa kodi na ndio tunazouziwa, hivyo hakuna sheria ya kwamba movie hii ni halali na hii ni feki.

movie watu wanadownload kila siku na browser za kawaida hakuna deep web wala kifananiacho ni hizi hizi protocal za kila siku iwe http, torrent, ftp etc sema hao wanaojifanya deepweb wana tabia ya kutisha watu wanunue vpn au ku encrypt mawasiliano yao ili ku promote bidhaa zao.
Sidhani mm ni mtumiaji mkubwa wa deepweb na nimeona tofauti yake na hizi clear web mkuu.

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
sidhani mm ni mtumiaji mkubwa wa deepweb na nimeona tofauti yake na hizi clear web mkuu

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
eka mfano wa link ya movie ya hio "deepweb"
 
Ila ata ivo kuna tetesi kuwa tor browser sio safe washai patch u.s.a

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tor ni network ya proxies, unapotembelea website ile request yako inapitishwa kwenye proxy nyingiii hadi kuja kuipata. hivyo inakuwa ngumu kwa mwenye site au isp kujua identity yako, ni ngumu kujulikana ila sio 100% proof kwamba hutajulikana, hasa kama proxy zinazotumika ni zile zile kila siku, watazizoea tu.
 
mkuu tor ni network ya proxies, unapotembelea website ile request yako inapitishwa kwenye proxy nyingiii hadi kuja kuipata. hivyo inakuwa ngumu kwa mwenye site au isp kujua identity yako, ni ngumu kujulikana ila sio 100% proof kwamba hutajulikana, hasa kama proxy zinazotumika ni zile zile kila siku, watazizoea tu.
Ila sijawah kutana na deepsite za movie wala software. Je, ni kweli kuna hilo jambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom