Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Soma hii inaweza kukusaidia kama utakuwa unauwezo wa kutumia simu - App za Kudownload Movie Kwenye Simu - JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi naitaji movie ya jean claude van damme hard target naitafutaga sana siipati msaadaIngia hii website
Filechef.com
Kisha search movie ama series yoyote unayotaka kisha search.
Hio website itakusaidia kugoogle upate direct link ya hio movie ama series.
Utaingia site husika na kucopy kisha utapaste kwenye vlc na kuangalia.
Kupate kwenye vlc utaclick file kisha network stream.
Alternative taja unachotaka kuangalia nikuwekee direct link.
Tumia videorder ama idm kwa simu/pcMkuu mimi naitaji movie ya jean claude van damme hard target naitafutaga sana siipati msaada
Mkuu shukrani sana uwa napenda sana movie za kizamani nikizitafuta kwenye mtandao sizipatiTumia videorder ama idm kwa simu/pc
Watch Hard Target (1993) Full Movie on FMovies.to
Ipo pia part 2 yake ame act boyka (scott Adkins)
Mkuu PC yangu imegoma ku-run utorrent na KMPlayer ghafla tu, inajiandika error not valid win32 app, nimejaribu kuziondoa na kuweka mpya lakini tatizo bado lipo.Tumia videorder ama idm kwa simu/pc
Watch Hard Target (1993) Full Movie on FMovies.to
Ipo pia part 2 yake ame act boyka (scott Adkins)
Ant virus haili hizo programs? Au kirusi chengine? Hebu jaribu kuzieka av yako ikiwa offMkuu PC yangu imegoma ku-run utorrent na KMPlayer ghafla tu, inajiandika error not valid win32 app, nimejaribu kuziondoa na kuweka mpya lakini tatizo bado lipo.
Mmmh labda ni virus mkuu maana ina wndw 7 64-bit, na tatizo limeanza baada ya dogo kuchukua movie kwa flash, ile flash nikiweka folder inatokea na exe mfn. New folder then linakuja na file lingn linajiandika new folder exe, nafix vipi mkuu na kupiga window mpya nitapoteza settings nyingAnt virus haili hizo programs? Au kirusi chengine? Hebu jaribu kuzieka av yako ikiwa off
Mkuu nimekucheki pm.Ant virus haili hizo programs? Au kirusi chengine? Hebu jaribu kuzieka av yako ikiwa off
jaribu kudownload malware bytes hata trial tu kisha scan pc yakoMmmh labda ni virus mkuu maana ina wndw 7 64-bit, na tatizo limeanza baada ya dogo kuchukua movie kwa flash, ile flash nikiweka folder inatokea na exe mfn. New folder then linakuja na file lingn linajiandika new folder exe, nafix vipi mkuu na kupiga window mpya nitapoteza settings nying
Kama kitatoka kwenye pc na ukaformat flash tatizo litaisha, ila kama still kipo hata uflash flash tatizo litarudi. Hapo ni kuondoa source ya tatizo kwanza. Scan na hio flash ukiweza.Good ngoja nijaribu hii, vipi kuhusu yale mafile yanayojitokeza kwny flash
Mkuu hiyo program nayo inagoma kuinstallKama kitatoka kwenye pc na ukaformat flash tatizo litaisha, ila kama still kipo hata uflash flash tatizo litarudi. Hapo ni kuondoa source ya tatizo kwanza. Scan na hio flash ukiweza.
MOBDROKama heading hapo juu huku job wameblock FB, INSTA, YOUTUBE na PUTLOCKER sasa sometimes nikichoka nataka kuburudika kidogo nisaidien LINKS ZA KUANGALIA/DOWNLOAD MOVIES kuingia fb nk.
wajuzi tafadhali
Boot na safe mode, ukiwa kwenye safe mode tumia ant virus ya sasa kuscan.Mkuu hiyo program nayo inagoma kuinstall
Nimefanya kama ulivyoelekeza, malwarebyte imekubali but setup yake ishaharibika nayo, nimescan imekamata vitu kadhaa na hata kwenye flash havitokei tena, tatizo lililobakia ni hilo la setups exe kuharibika nikishazodownload, zinakuwa hazifanyi kazi nikitaka kuinstall.Boot na safe mode, ukiwa kwenye safe mode tumia ant virus ya sasa kuscan.
Hizo .exe zinakuwa na icon halisi za program ama hata icon zake zinabadilika rangi?Nimefanya kama ulivyoelekeza, malwarebyte imekubali but setup yake ishaharibika nayo, nimescan imekamata vitu kadhaa na hata kwenye flash havitokei tena, tatizo lililobakia ni hilo la setups exe kuharibika nikishazodownload, zinakuwa hazifanyi kazi nikitaka kuinstall.
Mkuu wakati nimemamaliza kudownload exe ya malbytes ilikuwa na icon yake fresh tu, but ikikaa kidogo baada ya kudownld inaharibika, hata icon inapotea na exe ynyw inakuwa invalidHizo .exe zinakuwa na icon halisi za program ama hata icon zake zinabadilika rangi?