Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Ingia hii website
Filechef.com

Kisha search movie ama series yoyote unayotaka kisha search.

Hio website itakusaidia kugoogle upate direct link ya hio movie ama series.

Utaingia site husika na kucopy kisha utapaste kwenye vlc na kuangalia.

Kupate kwenye vlc utaclick file kisha network stream.

Alternative taja unachotaka kuangalia nikuwekee direct link.
Mkuu mimi naitaji movie ya jean claude van damme hard target naitafutaga sana siipati msaada
 
Unataka ku download kutumia simu au pc.
1. Kwa pc kuna Internet Downloader Manager ni software poa sana ya kudownload kwa pc. Ukiwa na hiyo una download movies, songs from any website.
2. Mim natumia simu zaid kudownload, kuna telegram app, instal kwenye sim yako then nenda ka search movies utapata links za kutosha we unafanya ku join tu badae upitie hizo telegram groups uchague movie uitakayo iwe tv series au short movies uidownload. Very simple. Pia kwenye sim kuna app inaitwa popcorn time na nyingine showbox, best apps for movies in android not much sure kama zipo compatible kwenye iphones. Nafikir nimesaidia kidogo hapo mkuu.
 
Kuwa na torrent kwenye laptop na nadhani unayo, kwa sababu za uzi wako uendelee ngoja nijibu tu. Google hizi website torrent, piratebay.org rargb.movie kickass torrent, yts torrent, otorrent, ziko nying sana hizo ni za movie Hd na latest, kushusha hizo movie sio la kuelekezwa najua uko smart enough.
 
Mkuu PC yangu imegoma ku-run utorrent na KMPlayer ghafla tu, inajiandika error not valid win32 app, nimejaribu kuziondoa na kuweka mpya lakini tatizo bado lipo.
Ant virus haili hizo programs? Au kirusi chengine? Hebu jaribu kuzieka av yako ikiwa off
 
Ant virus haili hizo programs? Au kirusi chengine? Hebu jaribu kuzieka av yako ikiwa off
Mmmh labda ni virus mkuu maana ina wndw 7 64-bit, na tatizo limeanza baada ya dogo kuchukua movie kwa flash, ile flash nikiweka folder inatokea na exe mfn. New folder then linakuja na file lingn linajiandika new folder exe, nafix vipi mkuu na kupiga window mpya nitapoteza settings nying
 
jaribu kudownload malware bytes hata trial tu kisha scan pc yako
 
Good ngoja nijaribu hii, vipi kuhusu yale mafile yanayojitokeza kwny flash
 
Good ngoja nijaribu hii, vipi kuhusu yale mafile yanayojitokeza kwny flash
Kama kitatoka kwenye pc na ukaformat flash tatizo litaisha, ila kama still kipo hata uflash flash tatizo litarudi. Hapo ni kuondoa source ya tatizo kwanza. Scan na hio flash ukiweza.
 
Kama kitatoka kwenye pc na ukaformat flash tatizo litaisha, ila kama still kipo hata uflash flash tatizo litarudi. Hapo ni kuondoa source ya tatizo kwanza. Scan na hio flash ukiweza.
Mkuu hiyo program nayo inagoma kuinstall
 
Kama heading hapo juu huku job wameblock FB, INSTA, YOUTUBE na PUTLOCKER sasa sometimes nikichoka nataka kuburudika kidogo nisaidien LINKS ZA KUANGALIA/DOWNLOAD MOVIES kuingia fb nk.

wajuzi tafadhali
MOBDRO
 
Boot na safe mode, ukiwa kwenye safe mode tumia ant virus ya sasa kuscan.
Nimefanya kama ulivyoelekeza, malwarebyte imekubali but setup yake ishaharibika nayo, nimescan imekamata vitu kadhaa na hata kwenye flash havitokei tena, tatizo lililobakia ni hilo la setups exe kuharibika nikishazodownload, zinakuwa hazifanyi kazi nikitaka kuinstall.
 
Hizo .exe zinakuwa na icon halisi za program ama hata icon zake zinabadilika rangi?
 
Hizo .exe zinakuwa na icon halisi za program ama hata icon zake zinabadilika rangi?
Mkuu wakati nimemamaliza kudownload exe ya malbytes ilikuwa na icon yake fresh tu, but ikikaa kidogo baada ya kudownld inaharibika, hata icon inapotea na exe ynyw inakuwa invalid
 
Back
Top Bottom