Maswali na ushauri kwa Malinzi

Maswali na ushauri kwa Malinzi

Malafyale una hoja nzuri lakini jitahidi kubadili njia ya uwasilishaji wa hoja zako kwa jinsi unavyowasilisha kwa shutuma na kumuhukumu waziwazi malinzi sidhani kama ni lengo la jukwaa hili na mimi nadhani usipobadilika mkuu utaharibu utamu na maudhui ya ukurasa huu mahususi please please uungwana ni matendo badilika tusonge mbele.

na ndio maana nimeamua nisimjibu Malafyale. ingawa majibu ninayo.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu HAMNA niliopotumi LUGHA isiyo na staha,ila mm ni muumini wa kusema ukweli!Hayo niliyoandika hapo Jamal Malinzi HANA MAJIBU yake!

Jamani watz kiongozi mbabaisaji aitwe mbabaishaji tu asipambwe!miezi tu ya uongozi wa Jamal Malinzi kafanya madudu mengi zaidi ya miaka 8 ya Mzee Tenga!

Anafikia hatua ya kutuaminisha sasa kuwa kapelaka team yetu Mbeya kwenye baridi ETI SABABU mechi na Zimbabwe itachezewa nje ya Dar probably sehemu yenye baridi kama Mbeya au Arusha,do you buy that?Why Malinzi hawezi kukubali kosa?Uongozi gani huu?

Kuipelaka team Mbeya ni uchemshaji wa hali ya juu;kipaumbele chake sasa jina jipya la Taifa Stars kachemka,na kumpa team kocha iliyoteuliwa na Mayanga asiyejua lolote kwenye soka la kisasa ni kilele chake chas kuchemka!

"Spade I will call a Spade,not a BIG spoon"
 
Ukweli ni kuwa HUNA jibu la maswali yangu na wengineo hapa!Unataka sasa utuaminishe kuwa Taifa Stars vs Zimbabwe itachezwa sehemu yenye baridi kama Mbeya jambo ambalo si kweli!!
 
mzee Ndolanga mchango wake kwenye mpira wa Tanzania ni mkubwa na ninamuheshimu sana.Kumbuka pamoja na kutokuwa na udhamini kwenye 90's Tanzania ilifikia namba 65 kwenye FIFA rankings.

Kama role model wako ni uongozi wa Mzee Ndolanga uliosifika kwa kukosa ethics za utawala basi kazi watz tunayo na soka letu!Ni bora tuwe wa 100 kwenye FIFA RANKINGS lkn tuwe na utawala bora!

Kufuatilia masuala ya Domayo hadi kupelaka mwanasheria wakati HAMNA team yyt kati ya hizo 2 iliyokuletea malalamiko kimaadishi ni matumizi mabaya ya madaraka yako na ukosefu wa utawala bora!

Pls usiturudishe kwenye utawala wa hovyo hovyo wa Ndolanga na Rage
 
Ahsante.....let me assure you Malafyale i am not a fool,i know exactly what i am doing and where i am leading football into,katika uongozi wa mpira toka nikiwa katibu mkuu Yanga nimekutana na characters difficult to deal with nyingi tu hivyo comments zako,rough as they are,i can deal with.Tusubiri tuone who will laugh last.

I never call you any bad names and I never use any abusive languages towards you!
Ila nashangazwa tu na baadhi ya maamuzi yako kama Rais wa TFF ndipo wewe ukiulizwa kwako unachukuliwa kama unaongelewa vibaya!

Uwe tayari kukosolewa ndiyo utakuwa kiongozi bora!
 
Jamal Malinzi;umesema kuwa tubadili jina la Taifa Stars sababu halina maana kwetu!

Je si ni vyema ukaanza kubadili jina la Team ya Mkoa wa Kagera ambao wewe ni Mwenyekiti ?Hili jina la Team ya mkoa wa Kagera"Lweru Eagles" likiwa na maana ya "Tai mweupe"lina maana gani kwa wana Kagera?Kuna Tai weupe Kagera?

Nashauri libadilishwe kwanza hili la Kagera then ifuatie Taifa Stars
CC: rubaman MKALIKENYA
 
Last edited by a moderator:
Mkuu HAMNA niliopotumi LUGHA isiyo na staha,ila mm ni muumini wa kusema ukweli!Hayo niliyoandika hapo Jamal Malinzi HANA MAJIBU yake!

Jamani watz kiongozi mbabaisaji aitwe mbabaishaji tu asipambwe!miezi tu ya uongozi wa Jamal Malinzi kafanya madudu mengi zaidi ya miaka 8 ya Mzee Tenga!

Anafikia hatua ya kutuaminisha sasa kuwa kapelaka team yetu Mbeya kwenye baridi ETI SABABU mechi na Zimbabwe itachezewa nje ya Dar probably sehemu yenye baridi kama Mbeya au Arusha,do you buy that?Why Malinzi hawezi kukubali kosa?Uongozi gani huu?

Kuipelaka team Mbeya ni uchemshaji wa hali ya juu;kipaumbele chake sasa jina jipya la Taifa Stars kachemka,na kumpa team kocha iliyoteuliwa na Mayanga asiyejua lolote kwenye soka la kisasa ni kilele chake chas kuchemka!

"Spade I will call a Spade,not a BIG spoon"

Kaka huna sababu ya kumuita Malinzi mbabaishaji kwa kipindi hiki kifupi tena unamuita majina hayo eti kwa sabab kuchukua hatua fulani kama hiyo ya maboresho mimi nadhani kiongozi wa hovyo na mbabaishaji ni yule asiyechukua uamuzi na kuwa na uthubutu wa kujaribu mawazo mbalimbali, sisi wadau kama tunaona hayataleta tija ni kumshauli si kumshutumu sababu ata yeye naamini anajaribu yote hayo ili kuleta tija kwenye soka letu.
 
MKALIKENYA aliyekuambia Tanzania vs Zimbabwe itachezewa uwanja wa Taifa ni nani?

Ndugu Rais tumezoea kipindi cha hivi karibuni kuona mechi zote za mashindano za timu ya Taifa zinachezwa uwanja wa Taifa, well labda nitumie fursa hii kukuuliza ndugu Rais mechi hiyo itachezwa uwanja upi?
 
Kaka huna sababu ya kumuita Malinzi mbabaishaji kwa kipindi hiki kifupi tena unamuita majina hayo eti kwa sabab kuchukua hatua fulani kama hiyo ya maboresho mimi nadhani kiongozi wa hovyo na mbabaishaji ni yule asiyechukua uamuzi na kuwa na uthubutu wa kujaribu mawazo mbalimbali, sisi wadau kama tunaona hayataleta tija ni kumshauli si kumshutumu sababu ata yeye naamini anajaribu yote hayo ili kuleta tija kwenye soka letu.

Hili ndiyo tatizo la watz KUOGOPA viongozi wao!
1.Taifa stars vs Zimbabwe nina uhakika 100% itachezwa Dar wala sio Mbeya au Arusha kwenye baridi kali team ilipoweka kambi!Huu sio ubabaishaji?
2.Kumleta kocha team ya Taifa weeks 2 kabla ya mashindano makubwa kuliko yote Africa sio ubabaishaji?
3.Kumpa kocha team ambayo wala haijui wala hajaichagua kwenye mashindano makubwa ya AFCON sio ubabaishaji?
4.Kutaka kubadili jina la Taifa Stars kwa sababu halina maana na kuacha jina la Lweru Eagles mkoa anao ongoza kisoka sio ubabaishaji?

Tusimpambe bali tumueleze kweli tena kweli tupu ajirekebishe!Malinzi ana nafasi bado ya kuwa kiongozi bora akifuata ushauri kabla hajachukua hatua!
 
Ndugu Rais tumezoea kipindi cha hivi karibuni kuona mechi zote za mashindano za timu ya Taifa zinachezwa uwanja wa Taifa, well labda nitumie fursa hii kukuuliza ndugu Rais mechi hiyo itachezwa uwanja upi?

Maswali mepesi kama haya ndiyo Jamal Malinzi anayapenda kujibu ingawaje nina uhakika 100% mechi hii itakuwa Dar!
MKALIKENYA mm ni mpenda sana soka na nimeenda mara kadhaa kuishangilia Stars ikicheza nje ya TZ;Nilienda Algeria na Ivory coast mwaka juzi na nikaenda Morocco mwaka jana!Kwenye mechi hizo 3 hasa ya Algeria na Ivory coast ugenini Stars iliacha jina na tukawa tunaona future nzuri ya Stars!

Lkn sasa uozo mtupu!Mechi na Burundi kweli ile ndiyo team yetu?Kuna wachezaji pale hata team ya mtaa wetu hapati namba!Malawi kaleta teens isiyo na mchezaji hata mmoja wa akiba toka team ya wakubwa!Kwa mechi hizi 2 za majaribio kweli tutamfunga Zimbabwe yenye wachezaji wengi ligi mbalimbali Africa hata Ulaya?

Tusiogope kumuambia Malinzi akikosea na tuache kumpamba kwa viswali vyepesi!
 
Last edited by a moderator:
Malafyale unaonekana una uchungu kuliko hata mama anayekaribia kujifungua uuuuwiiiiii;
Ina maana Malafyale ulitaka kuwa rais wa tff au una yako mengine?.

Sijawahi gombea uongozi wowote wa kupigiwa kura!TFF ni chama cha watz kiwaongoze kwenye soka na si vinginevyo!

Madudu haya ya Malinzi sio ya kufumbiwa macho;ajirekebishe tusonge mbele!Tuna cheza siku 10 zijazo na team ngumu ya Zimbabwe lkn bado tuna team mbovu mno!

Mechi ya Stars vs Malawi pale Mbeya ni mechi iliyokera kwa kiwango!Mechi na Burundi uliiona kiwango chetu Mamndenyi?
 
Last edited by a moderator:
Maswali mepesi kama haya ndiyo Jamal Malinzi anayapenda kujibu ingawaje nina uhakika 100% mechi hii itakuwa Dar!
MKALIKENYA mm ni mpenda sana soka na nimeenda mara kadhaa kuishangilia Stars ikicheza nje ya TZ;Nilienda Algeria na Ivory coast mwaka juzi na nikaenda Morocco mwaka jana!Kwenye mechi hizo 3 hasa ya Algeria na Ivory coast ugenini Stars iliacha jina na tukawa tunaona future nzuri ya Stars!

Lkn sasa uozo mtupu!Mechi na Burundi kweli ile ndiyo team yetu?Kuna wachezaji pale hata team ya mtaa wetu hapati namba!Malawi kaleta teens isiyo na mchezaji hata mmoja wa akiba tu team ya wakubwa!Kwa mechi hizi 2 za majaribio kweli tutamfunga Zimbabwe yenye wachezaji wengi ligi mbalimbali Africa hata Ulaya?

Tusiogope kumuambia Malinzi akikosea na tuache kumpamba kwa viswali vyepesi!

Malafyale mimi naamini wewe ni mdau muhimu wa mpira na unaweza kuwa ni mtu muhimu kwenye ukarasa huu kikubwa nachotofautiana na wewe ni aina ya uwasilishaji wa hoja zako kama utakuwa umenielewa tutafanikisha mengi kupitia ukurasa huu.

Halafu kwa mechi ya burundi sidhani kama kulikuwa na ubaya kujaribu kikosi kile cha maboresho sababu kwanza haikuwa ata mechi ya kwenye ratiba za FIFA lakini pia tumepata kitu cha kujifunza juu ya mpango huo wa maboresho sababu ilikuwa ni dhana lazima tuijaribu.

Kwa mechi ya Malawi nadhani kikosi tayari kilikuwa na wachezaji wazoefu wote waliokatika viwango bora kwenye ligi yetu otherwise uniambie ni nani kaachwa na yupo kwenye kiwango bora.
 
Mkuu mm napenda mno soka hasa team yetu ya Taifa!Mm sio muumini wa vilabu vya TZ sababu mfumo wao ukiondoa Azam hauupi nafasi team kufanya vyema na kuingiza faida;soka ni biashara!

Lkn nakereka sana tunaporudi nyuma kila mwaka!Maandalizi mabovu ndiyo yanaiumiza team yetu!Anyway acha mm nimalizie hapa na tutaandika zaidi baada ya mechi ya marudiano ya Zimbabwe!

Mkuu naomba uniulizie baadae mechi ya marudiano kule Zimbabwe itakuwa Harare au Bulawayo?Nataka nikate tiketi yangu mapema niende kushangilia
 
Malafyale kweli una uchungu na soka ya nyumba, sawa;

Badala ya kutumia nguvu nyingi sana kumlaumu Jamal Malinzi,
Ungeangalia chanzo cha mpira wetu kufikia hapo ulipo,
siamini kama chanzo ni huyo unayemtuhumu ambaye hata hiyo ofisi hajaikalia hata msimu mmoja;

Hata mkuu wa kaya aliwahi kuweka nguvu kwenye soka la nyumbani
naamini na yeye amenyoosha mikono juu.

Angalia mzizi kwanza ndo ushambulie matawi;

Hata wewe Malafyale ni mmoja wa kulaumu kuhusiana na soka la nyumbani
Ulikuwa wapi kutoa ushauri hadi hali ikafikia hapa ulipo?

Kwa hizi siku zilizobakia ni kwamba tutegemee miujiza tu;
lakini huwezi kubadili kitu chochote leo, sana sana ni kuzidi kuwachanganya hao wachezaji.

Sijawahi gombea uongozi wowote wa kupigiwa kura!TFF ni chama cha watz kiwaongoze kwenye soka na si vinginevyo!

Madudu haya ya Malinzi sio ya kufumbiwa macho;ajirekebishe tusonge mbele!Tuna cheza siku 10 zijazo na team ngumu ya Zimbabwe lkn bado tuna team mbovu mno!

Mechi ya Stars vs Malawi pale Mbeya ni mechi iliyokera kwa kiwango!Mechi na Burundi uliiona kiwango chetu Mamndenyi?
 
Last edited by a moderator:
Kaka yangu Jamal Malinzi... Kuna mambo ambayo unayafanya tangu uchukue urais wa TFF sisi wadau tunashindwa kukuelewa. Nitakupa mifano....
1:ulipoingia tu ukabadili kila kitu pale karume kwa maana ya watendaji kama technical director na general secretary.
2:ukamtimua Kim Paulsen with no good reason
3.ukaja na program ya kung'amua vipaji ambayo obvious ime prove failure
4.na sasa umejiingiza hata ktk suala usajili wa Domayo kwenda Azam.. Je ni jukumu la tff kudeal na issue za usajili? Unakumbuka jinsi yanga walivyo msajili yondani akiwa kambini timu ya taifa? Kuna hatua yyt ilichukuliwa? Ushauri Wangu kwako..
1.acha kufanya maamuzi kwa kuongozwa na utashi binafsi
2.pia uyanga weka pembeni
 
Malafyale kweli una uchungu na soka ya nyumba, sawa;

Badala ya kutumia nguvu nyingi sana kumlaumu Jamal Malinzi,
Ungeangalia chanzo cha mpira wetu kufikia hapo ulipo,
siamini kama chanzo ni huyo unayemtuhumu ambaye hata hiyo ofisi hajaikalia hata msimu mmoja;

Hata mkuu wa kaya aliwahi kuweka nguvu kwenye soka la nyumbani
naamini na yeye amenyoosha mikono juu.

Angalia mzizi kwanza ndo ushambulie matawi;

Hata wewe Malafyale ni mmoja wa kulaumu kuhusiana na soka la nyumbani
Ulikuwa wapi kutoa ushauri hadi hali ikafikia hapa ulipo?

Kwa hizi siku zilizobakia ni kwamba tutegemee miujiza tu;
lakini huwezi kubadili kitu chochote leo, sana sana ni kuzidi kuwachanganya hao wachezaji.

Lkn dada Mamndenyi hata hili lililo chini ya uwezo wa Malinzi la kuajiri kocha wa team ya Taifa tusimlamu?Kwa nn kamleta kocha weeks 2 kabla ya mashindano haya makubwa?

Kama alikuwa hana uhakika wa kocha huyu kuwahi na programs za kuikabili Zimbabwe May 16 kwa nn alimfukuza kocha Kim?

Mambo mengine dada yanahusu directly utawala wa Malinzi na ni mapya kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Unataka kusema yeye anapenda timu ishindwe;

Kwanza hao wachezaji wenyewe wanahitaji elimu
ya saikolojia, hilo la kocha ni kutiana hasira tu.

Unaweza kumpeleka punda mtoni na akakataa kunywa maji pia;
utafanya nini.

Tumwachie malinzi ajenge timu; na ndiyo maana kila mara anasema wachezaji waandaliwe
toka wakiwa wadogo;

Lkn dada Mamndenyi hata hili lililo chini ya uwezo wa Malinzi la kuajiri kocha wa team ya Taifa tusimlamu?Kwa nn kamleta kocha weeks 2 kabla ya mashindano haya makubwa?

Kama alikuwa hana uhakika wa kocha huyu kuwahi na programs za kuikabili Zimbabwe May 16 kwa nn alimfukuza kocha Kim?

Mambo mengine dada yanahusu directly utawala wa Malinzi na ni mapya kabisa!
 
inaonekana huna idea yeyote katika mchezo wa mpira wa miguu

Huna lolote wewe la maana zaidi ya kutetea ukabila tu!Ideas zenu ndiyo hizi za kuokoteza wachezaji wa mitaani kuwaita wa maboresho?Ndiyo soka linavyo endelea hivyo?

Kuongea kuhusu soka na utawala wake na wewe ni kupoteza muda wangu adhimu hapa!

Watu kama nyie ndiyo yule Kenya's cartoonist Gayo aliwachora mkilamba miguu ya watawala!
 
tayari vitu unavyoviandika vinaonyesha wewe ni mtu wa namna gani?? low esteem inakusumbua sana, pole kijana wanazuoni wanasema if you can't beat them, join them!
inferiority complex uliyonayo inakusumbua hata kushindwa kujenge hoja vizuri na kukimbilia kwenye trivial matters za tribalism! pole sana i have no time
 
Hunijui lkn unaongea vitu vya ajabu kabisa kama vile low esteem!
Wewe ndiyo mwenye inferior complex kwa kuunga mkono issue yyt ile inayohusu mtu anayetoka ukanda wa kwenu na unajulikana kwa hilo!Mm sina la kuogopa na kama madudu haya ya bosi wako ataendelea kuyafanya nitazidi kuyasema tu!

1.Kumpa team kocha weeks 2 kabla ya mashindano makubwa kachemsha
2.Kupeleka team Tukuyu kwenye baridi kali wakati mechi itachezwa kwenye joto huyu bosi wako kachemsha
3.Priority yake sasa kubadili jina la Taifa Stars kama halina maana yyt lkn asianze kufanya hivyo kwa chama anachokiongoza Kagera na timu yenu Lweru Eagles kachemsha
4.Kuokota vijana mitaani eti ndiyo maboresho kachemsha
5.Kuingilia masuala ya usajili wa Domayo wakati hamna team yyt kati ya hizo 2 zimepeleka issue hii TFF kachemsha!

Tukimsema bosi wenu ajirekebishe mnakuwa wakali kweli kweli na kukimbilia kuwa sina ideas yyt ya soka!
 
Back
Top Bottom