ikizu
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 431
- 56
sawa mkuu nimekuelewa lakini mnachelewa kuchua hatua hadi wadau tumekuwa na wasiwasi na utendaji kazi wako na kamati zako.
kwanza-- suala la YANGA kufanya vurugu Shinyanga mpaka sasa hakuna aliyeadhibiwa,
pili --- kuna vurungu zinatokea uwanja wa kirumba mwanza na kusababisha mechi mbili hazikuisha, mechi ya Police Dodoma na Toto haikuisha mpaka sasa hakuna hatua zozote zililizochukuliwa mbali na mwamuzi kupigwa na mechi ya Police Tabora na Toto nayo mechi ilivunjika na wewe umekaa kimya hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na habari zilizoko mtaani inasemekana wewe unaitaka Toto ipande daraja naomba ulitolee taarifa hili kabla halijakuchafua zaidi Rais wangu.
kwa suala la Mara umefanya vizuri maana lilikuweka vibaya maana kuna baadhi ya viongozi wako walichaniwa nguo na kupigwa ni aibuuu mkuu.
NASISITIZA TOA MAAMUZI KUHUSU MECHI ZA TOTO MKUUUUUUUUUUU LITAKUHARIBIA NA ULITOLEE TAARIFA MAANA MPAKA WANASEMA WAKITAKA REFA YOYOTE UNAWAPA KAMA ULIVYOFANYA MECHI YA MWADUI