Maswali na ushauri kwa Malinzi

Maswali na ushauri kwa Malinzi

sawa mkuu nimekuelewa lakini mnachelewa kuchua hatua hadi wadau tumekuwa na wasiwasi na utendaji kazi wako na kamati zako.
kwanza-- suala la YANGA kufanya vurugu Shinyanga mpaka sasa hakuna aliyeadhibiwa,
pili --- kuna vurungu zinatokea uwanja wa kirumba mwanza na kusababisha mechi mbili hazikuisha, mechi ya Police Dodoma na Toto haikuisha mpaka sasa hakuna hatua zozote zililizochukuliwa mbali na mwamuzi kupigwa na mechi ya Police Tabora na Toto nayo mechi ilivunjika na wewe umekaa kimya hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na habari zilizoko mtaani inasemekana wewe unaitaka Toto ipande daraja naomba ulitolee taarifa hili kabla halijakuchafua zaidi Rais wangu.
kwa suala la Mara umefanya vizuri maana lilikuweka vibaya maana kuna baadhi ya viongozi wako walichaniwa nguo na kupigwa ni aibuuu mkuu.

NASISITIZA TOA MAAMUZI KUHUSU MECHI ZA TOTO MKUUUUUUUUUUU LITAKUHARIBIA NA ULITOLEE TAARIFA MAANA MPAKA WANASEMA WAKITAKA REFA YOYOTE UNAWAPA KAMA ULIVYOFANYA MECHI YA MWADUI
 
huyo Ndumbalo kwanza kafungwa miaka michache hiyo saba alitakiwa maisha maana hilo kosa lake ni sawa na uhahini
 
tff sisi mashabiki tunastahili kuwashitaki mlitutangazia kuna mechi ya ligi kuu mpira wa miguu kati ya yanga na jkt ruvu tukalipa viingilio kumbe ni mechi ya mpira wa ragbi.kwa maana hiyo mmetutapeli kwanza mechi hizo hazipo hapa nchini kama ruvu walitumwa kucheza hivyo watafutwe au kuifuta kabisa hizo timu pamoja na polisi waliofanya fujo huko nyuma
 
vyombo husika vya TFF vinafuatilia huo mchezo
 
tff sisi mashabiki tunastahili kuwashitaki mlitutangazia kuna mechi ya ligi kuu mpira wa miguu kati ya yanga na jkt ruvu tukalipa viingilio kumbe ni mechi ya mpira wa ragbi.kwa maana hiyo mmetutapeli kwanza mechi hizo hazipo hapa nchini kama ruvu walitumwa kucheza hivyo watafutwe au kuifuta kabisa hizo timu pamoja na polisi waliofanya fujo huko nyuma

Yeboyebo mnashitaki?
 
Jamal Malinzi nikupongeze wewe cjui niwapongeze TRA juu ya hatua yao ya kudhamini timu ya taifa kupitia bidhaa yao ya EFD machine..
Source..mwananchi ya leo...
 
Last edited by a moderator:
ikizu katiba ya TFF inaruhusu uundwaji wa kamati kama hizi.Tahadhari nitachukua kuhusu ulilolisema. Uchaguzi Mara na Morogoro tunaandaa.

Mkuu kwanza nashukuru kwa uwepo wako mpaka leo hapa jamvini pamoja na changamoto zote hapa Jf wengi huwa wanakimbia..Big up sana mkuu usichoke wala kukeleka na haya yote hapa endelea kutujuza..
Mimi naungana na Ikizu hapo juu kuhusu kamati zako naona kama hazikusaidii au kuna watendaji hapo TFF wanakuzunguka hebu lifanyie kazi hili ili soka letu likae kwa mstari.
 
Last edited by a moderator:
Nilivyosikia fedha za FIFA zitatumika kujengea Maduka Karume nikachoka na malinzi.

Acha na yeye apite kama wengine, Tanzania iendelee kuwa kichwa cha mwendawazimu.
 
kwa miaka yote tff imekuwa omba omba kwa hyo cyo mbaya wakawa na chanzo cha mapato cha uhakika ili mambo yakikwama waweze kuyamaliza bila kusubiri wadhamini nadhan kuna siku tutawaelewa tff kwa hili
 
TFF ni lazima iwe makini zaidi, kwa sasa ligi imegeuka vita. Ladha ya soka safi inapotea na kinachoanza kuota mizizi ni kukamiana na rafu chafu zenye kuhatarisha uhai kwa wachezaji. Itafika wakati tutashindwa kuona tactical holding, piercing and physical confrontation kwa sababu wachezaji wataogopa kukaa na mpira au kulazimisha move kati kati ya msitu wa mabeki kwa kuogopa kilichompata Emanuel Okwi na Amis Tambwe. Kuna njia rafiki za kuchukua mpira kwa adui kama tackling and tactical obstruction ( refa akipeta poa) lakini huu uhuni mtauana. Marefa muwe makini . Faulo walizofanyiwa Tambwe na Okwi technically and tactically zina muathiri mchezaji kisaikolojia.
FAIR PLAY PLEASE Jamal Malinzi
 
Revocatus Kashaga katika kupambana na hili ipo haja ya kufanyia marekebisho kanuni za mashindano ili nazo ziendane na hali halisi ya mpira wetu,hii itasaidia kuimarisha control ya TFF kwa wanasoka na viongozi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna sheria yoyote ya FIFA inayolazimisha makato ya mechi yapelekwe
TFF
TAFCA
CHAMA CHA MAREFA na kwingine kote?
 
Jamali malinzi,

Vipi kuhusiana na utata wa Amri Kiemba kuwapo katika Benchi la Wachezaji wa Akiba wa Azam ilihali kuna Makubaliano yakuwa Asicheze dhidi ya Timu yake ya Zamani ambyo ni Simba?
 
Last edited by a moderator:
RAIS,
Vipi inaruhusiwa njumbe wa kamati ya utendaji kuingia kwenye chumba cha waamuzi na kutoa maelekezo kwa kwa waamuzi akidai kuwa yanatoka kwako wakati wa mapumziko? hili limetokea vkatika mechi mbalimbali alizocheza Toto African ya mwanza.
na leo inacheza Arusha na yanasemwa mengi juu yako take care Rais
 
The Boss hakuna makato yanapelekwa kwenye vyama vya makocha wala waamuzi.TFF ndiye msimamizi wa mpira nchini na ndiyo inaamua kipi kiende wapi kwa faida ya mpira wetu.
 
Last edited by a moderator:
Jamali malinzi,

Vipi kuhusiana na utata wa Amri Kiemba kuwapo katika Benchi la Wachezaji wa Akiba wa Azam ilihali kuna Makubaliano yakuwa Asicheze dhidi ya Timu yake ya Zamani ambyo ni Simba?
sina uhakika na hili,itabidi kupitia mkataba wa makubaliano kati ya vilabu hivi viwili.
 
Last edited by a moderator:
RAIS,
Vipi inaruhusiwa njumbe wa kamati ya utendaji kuingia kwenye chumba cha waamuzi na kutoa maelekezo kwa kwa waamuzi akidai kuwa yanatoka kwako wakati wa mapumziko? hili limetokea vkatika mechi mbalimbali alizocheza Toto African ya mwanza.
na leo inacheza Arusha na yanasemwa mengi juu yako take care Rais

ikizu kamwe siwezi kuagiza jambo kama hilo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom