Maswali ya interview NAOT na HESLB

Maswali ya interview NAOT na HESLB

Tupe maswali sasa kama Ilikua nyepesi
Paper alikuwa jepesi watu tumekandwa , wameuliza vitu maswali ambayo sio common na kutegemea mtu atapitia, nikusanue tu wameuliza Auditing approaches majibu yake yapo kwenye B3 kachungulie uone kama ni rahisi kwa mtu kuotea kuzisoma, ndo maana imeitwa interview na sio mtihani mwenye bahati yake aliyeongozwa na mungu kusoma iyo sehemu ameshatusua maana nahisi watakaopita oral watakuwa na marks 0-50 kuvuka sio rahisi
 
Huwa naamini kila pepa hata iwe nyepesi lazima inaugumu wake tu
 
Paper alikuwa jepesi watu tumekandwa , wameuliza vitu maswali ambayo sio common na kutegemea mtu atapitia, nikusanue tu wameuliza Auditing approaches majibu yake yapo kwenye B3 kachungulie uone kama ni rahisi kwa mtu kuotea kuzisoma, ndo maana imeitwa interview na sio mtihani mwenye bahati yake aliyeongozwa na mungu kusoma iyo sehemu ameshatusua maana nahisi watakaopita oral watakuwa na marks 0-50 kuvuka sio rahisi
Maswali mengine ni yapi mkuu? Kesho tukakandwe,tupate hata ABCs
 
M

Matokeo wanayatoa lini mkuu ? Mimi nimepiga ya HESLB na ndo Pepa yangu ya kwanza ya utumishi, it was kinda challenging naweza sema
Challenging kivipi mkuu?
Kule kwenye venue yetu msimamizi mkuu alitutangazia kuwa wataanza kuyatoa kuanzia 2nd November.
 
M

Matokeo wanayatoa lini mkuu ? Mimi nimepiga ya HESLB na ndo Pepa yangu ya kwanza ya utumishi, it was kinda challenging naweza sema
Jana tuliambiwa matokeo tarehe 2, bila shaka yatakuwa around hizo tarehe
 
Mkuu kyagata wameuliza maswali gani?
Ntayaandika kwa kifupi jinsi mimi nilivyoelewa coz yalikua yameulizwa kwa mfumo wa maelezo marefu.
1.objectives of loans board management.
2.Discuss the reasons for establishing loans board.
3.Criteria for one to be eligible for loan from heslb.
4.What are expectations of government of Tanzania on Heslb finance?
 
Hii kidogo inajibika
 
Back
Top Bottom