RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Paper alikuwa jepesi watu tumekandwa , wameuliza vitu maswali ambayo sio common na kutegemea mtu atapitia, nikusanue tu wameuliza Auditing approaches majibu yake yapo kwenye B3 kachungulie uone kama ni rahisi kwa mtu kuotea kuzisoma, ndo maana imeitwa interview na sio mtihani mwenye bahati yake aliyeongozwa na mungu kusoma iyo sehemu ameshatusua maana nahisi watakaopita oral watakuwa na marks 0-50 kuvuka sio rahisiTupe maswali sasa kama Ilikua nyepesi