monoclinic
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 262
- 322
Kile kitu cha NAOT Geology sijaona mtu aliyetumia pepa mbili kujibia,labda walikuwa wanaita kimya kimya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu naomba maswali yake mzeeKile kitu cha NAOT Geology sijaona mtu aliyetumia pepa mbili kujibia,labda walikuwa wanaita kimya kimya...
😂😂😂Walitaka kuwauwa?Kile kitu cha NAOT Geology sijaona mtu aliyetumia pepa mbili kujibia,labda walikuwa wanaita kimya kimya...
Halafu huwa inauma sana ukika kusikia watu walikuwa na jiwe ila hawajakupasiaNaona walikuwa na kimemo huko back bencher
Ilikuwa tight hadi kukawa na mdororo wa points ??Kile kitu cha NAOT Geology sijaona mtu aliyetumia pepa mbili kujibia,labda walikuwa wanaita kimya kimya...
Inauma mzee unakuta unasoma sana afu kuna watu wala hawana shida yakuhangaikaHalafu huwa inauma sana ukika kusikia watu walikuwa na jiwe ila hawajakupasia
😂😂😂😂geology lazima iwe ngumu maana hao wanapelekwa kwenye gas kule kuna hela sanaIlikuwa tight hadi kukawa na mdororo wa points ??
Sas yule dada alisahu kuandika namba yake ya mtihan alkuw anawaza nn akawa anatuchelwesh kusepa LT 2 half sijapend ule utaratib wao wa kusign outNtayaandika kwa kifupi jinsi mimi nilivyoelewa coz yalikua yameulizwa kwa mfumo wa maelezo marefu.
1.objectives of loans board management.
2.Discuss the reasons for establishing loans board.
3.Criteria for one to be eligible for loan from heslb.
4.What are expectations of government of Tanzania on Heslb finance?
Hivi kwa harakaharaka jumla ya watu waliofanya ile pepa ya HESLB ni kama wangapi
Jumla ya venue zilizofanyika kufanya usahili ni ngapi?
Hataree kusign out wanatumia muda mrefu sana aixee.. mkisha saini wanahesabu tena. Pepa ni dk 40 ila kina masaa mawili ya ukaguzi na ku signSas yule dada alisahu kuandika namba yake ya mtihan alkuw anawaza nn akawa anatuchelwesh kusepa LT 2 half sijapend ule utaratib wao wa kusign out
HESLB si tulifanya asubuhiAsa simulikuwa post tofauti tofauti au??
Kwahiyo mlijaza zile theater zote au??😂😂😂😂😂HESLB si tulifanya asubuhi
Ndio zilikua nyingi sanaHamna sema naona kama venue zilikuwa nyingi
aseeeh mlikuwa wengi maana zile theater zinabeba watu hata bukuVenue zilikua nyingi...College of education, College of business, College of social sciences, College of informatics
Venue zilikua nyingi...College of education, College of business, College of social sciences, College of informaticsNdio zilikua nyingi sana
Watu kibao yaniaseeeh mlikuwa wengi maana zile theater zinabeba watu hata buku
Aisee mawili ya ki NAOT yalikuwa marefu sana ..Hebu naomba maswali yake mzee
Hawakutoa yaliyobase kwenye geology?Aisee mawili ya ki NAOT yalikuwa marefu sana ..
Moja madhani linataka basis za communication when auditing somebody.
Pili nadhani linataka sijui how to conduct professional judgement..
Nimeyaachia apo apo sijataka niyakumbuke mana sioni future yake