monoclinic
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 262
- 322
Mawili ya Geology.Hawakutoa yaliyobase kwenye geology?
1) Characteristics of depositional environment
2)stages of Minerals exploration
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawili ya Geology.Hawakutoa yaliyobase kwenye geology?
fresh sema hayo uhakikaMawili ya Geology.
1) Characteristics of depositional environment
2)stages of Minerals exploration
Hahahahaaa, huko ndio stress za kukandwa.Sas yule dada alisahu kuandika namba yake ya mtihan alkuw anawaza nn akawa anatuchelwesh kusepa LT 2 half sijapend ule utaratib wao wa kusign out
Duuh mbona ukishaingia una sign na namba yako ipo pale!! Ila pia ukisahau wanakupa pia.Hahahahaaa, huko ndio stress za kukandwa.
Mimi pia niliwahi kusahau kunote namba yangu kwenye kikaratasi, nilipofika kwenye kiti tayari kwa kusubiri tukawiwe pepa, nikakumbuka nakaomba ruhusu nikafungue simu mbele nilipoweka begi then niingie online, nilog in na kuiandika.
Duuuhh, sikuwa najua hili.Duuh mbona ukishaingia una sign na namba yako ipo pale!! Ila pia ukisahau wanakupa pia.
Hahahahaa.Kwa wale wa STATISTICIANS
Movie inaanza
Qn1. Imekuja calculation inataka utafute mean ilikua ni ungrouped data lakini sasa sio mean ya kawaida ile swali lilikua linataka Geometric mean. Je hio formula ya kutafuta GM unaikumbuka??? Hapo hata calculator huna nyie utumish [emoji3][emoji3]
Qn2. Perfomance audit- kaanza kuielezea performance audit maana yake then swali lilikua linataka uelezee mambo ya kufanya ili performance audit iendelee kuwa bora zaidi hivyo
Qn3. Swali limekuja kama wewe ni ofisa wa NAOT utatakiwa kukagua miradi mbalimbali ya serikali na blahblah kibao. Afu swali alilouliza lilikua la mtego (5 preassumptions…… blah blah nimesahau) kama lilikua linataka umpe zile 5stages za audit
Qn4. Aspects of statistics
Pepa ni ya akili sana na kutuliza ubongo sana
😂😂😂😂Halafu ni dakika 40??au waliongeza muda?Kwa wale wa STATISTICIANS

Hahahahaa.
Pepa ilikuwa na dk ngapi?
Hapo kutoboa ni mpaka God apende tu kwa huo muda40 tu,
Poleni sana40 tu,
Swali namba mbili limejirudia hadi Mchumi Daraja la pili NAOT.Kwa wale wa STATISTICIANS
Movie inaanza
Qn1. Imekuja calculation inataka utafute mean ilikua ni ungrouped data lakini sasa sio mean ya kawaida ile swali lilikua linataka Geometric mean. Je hio formula ya kutafuta GM unaikumbuka??? Hapo hata calculator huna nyie utumish [emoji3][emoji3]
Qn2. Perfomance audit- kaanza kuielezea performance audit maana yake then swali lilikua linataka uelezee mambo ya kufanya ili performance audit iendelee kuwa bora zaidi hivyo
Qn3. Swali limekuja kama wewe ni ofisa wa NAOT utatakiwa kukagua miradi mbalimbali ya serikali na blahblah kibao. Afu swali alilouliza lilikua la mtego (5 preassumptions…… blah blah nimesahau) kama lilikua linataka umpe zile 5stages za audit
Qn4. Aspects of statistics
Pepa ni ya akili sana na kutuliza ubongo sana
Kuna watu mna experience wadau, so Kuna wana tokea 2017 mpaka Leo Bado wana battle na Pepa za utumishi ?Hahahahaa mkuu hausahau tu, hata mimi nakumbuka ilikuwa 2017
Naona unatuingiza Disco mida mibaya ndugu yangu.
Thanks mkuu, kitabu chake kinaitwaje?
Ulifanya NAOT au HESLB?Ule mtiani kama nimefeli Ni kwa uzembee wangu ulikuwa Ni mmoja Kat ya mitiano mwepesi mm kufanya ,Kama nitafeli nitajuta San maanake ndio penat ilikuwa ya wasi kwangu
Pale Kuna maswla maane ila mawili yakikuwa yako very clear San ..nawawza San je nitapita round inayofata