Maswali ya interview NAOT na HESLB

Maswali ya interview NAOT na HESLB

Sas yule dada alisahu kuandika namba yake ya mtihan alkuw anawaza nn akawa anatuchelwesh kusepa LT 2 half sijapend ule utaratib wao wa kusign out
Hahahahaaa, huko ndio stress za kukandwa.

Mimi pia niliwahi kusahau kunote namba yangu kwenye kikaratasi, nilipofika kwenye kiti tayari kwa kusubiri tukawiwe pepa, nikakumbuka nakaomba ruhusu nikafungue simu mbele nilipoweka begi then niingie online, nilog in na kuiandika.
 
Duuh mbona ukishaingia una sign na namba yako ipo pale!! Ila pia ukisahau wanakupa pia.
 
Kwa wale wa STATISTICIANS
Movie inaanza

Qn1. Imekuja calculation inataka utafute mean ilikua ni ungrouped data lakini sasa sio mean ya kawaida ile swali lilikua linataka Geometric mean. Je hio formula ya kutafuta GM unaikumbuka??? Hapo hata calculator huna nyie utumish [emoji3][emoji3]

Qn2. Perfomance audit- kaanza kuielezea performance audit maana yake then swali lilikua linataka uelezee mambo ya kufanya ili performance audit iendelee kuwa bora zaidi hivyo

Qn3. Swali limekuja kama wewe ni ofisa wa NAOT utatakiwa kukagua miradi mbalimbali ya serikali na blahblah kibao. Afu swali alilouliza lilikua la mtego (5 preassumptions…… blah blah nimesahau) kama lilikua linataka umpe zile 5stages za audit

Qn4. Aspects of statistics

Pepa ni ya akili sana na kutuliza ubongo sana
 
Hahahahaa.

Pepa ilikuwa na dk ngapi?
 
😂😂😂😂Halafu ni dakika 40??au waliongeza muda?
 
Swali namba mbili limejirudia hadi Mchumi Daraja la pili NAOT.
 
NAO
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2022-10-30 at 10.50.10 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2022-10-30 at 10.50.10 PM.jpeg
    82.8 KB · Views: 33
Ule mtiani kama nimefeli Ni kwa uzembee wangu ulikuwa Ni mmoja Kat ya mitiano mwepesi mm kufanya ,Kama nitafeli nitajuta San maanake ndio penat ilikuwa ya wasi kwangu
Pale Kuna maswla maane ila mawili yakikuwa yako very clear San ..nawawza San je nitapita round inayofata
 
Ulifanya NAOT au HESLB?
 
Back
Top Bottom